Sherehe njema

Sherehe njema

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
55,947
Reaction score
55,959
Habari wana MMU, nawatakia mwisho wa mwaka mzuri. Pia msherekee kwa amani mwaka mpya, nitakosekana kwa siku 2 tatu hapa jukwaani. Kwa kuwa naenda kuzisaka za kuanza kutumia 2014. Advice: dont drink and drive, even though you havent a car drive safely your body.
 
Asante sana.
Awabariki Mungu Mwenyezi, + Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu!
 
nawe pia mkuu. mungu akubariki na kukuinua.akuonyeshe njia ya kuweza kupita majaribu yote yanayokukabiri...
 
Back
Top Bottom