Search results

  1. M

    Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

    Wana Jamii From! Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu! Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena komandoo?? Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya...
  2. M

    Dkt Wilbroad Slaa anamjua hadi GENTAMYCINE

    Igwe wana JF! Jana Balozi Slaa alikua hewani Radio Mashujaa pale Lindi, Mengi sana alizungumza kuhusu siasa za Tanzania na mambo ya familia yake pia kuhusu maisha yake baada ya kustaafu! Pia kaandika kitabu kinaitwa Nyuma ya Pazia! Kina mambo Mengi sana mle ndani. Moja ya mambo yaliyonishitua...
  3. M

    Kurudi kwa Shisha!

    Wana Jamii Forum habari za mapumziko ya siku ya 14.10.2021! Ikiwa leo ni miaka 22 tangu kifo cha Baba wa Taifa
  4. M

    Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Rais Mstaafu Mzee Jakaya Mrisho Kikwete

    Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa! Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa waliokomaa! Kipindi cha uongozi wako, kulikuwa na uhuru sana, tofauti kabisa na awamu ya tano, watu...
  5. M

    Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

    Nawasalimu katika jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Wapendwa tumekua tukiona kwa macho yetu, kwamba Mh Rais Samia ana walinzi wenye mabunduki mazito mazito pindi anapokua kwenye tukio au sehemu yoyote hapa Nyumbani Tanzania! Wale wana usalama ni wenye miili mikubwa,warefu na wamekula...
  6. M

    Mitandao ya simu ya Tanzania ni ya hovyo sana

    Salamu kutoka kusini! Kusini Kuchele Naanza na malalamiko yangu kwa hii mitandao ya simu ya Tanzania! Moja. Hivi kuna ulazima gani, pindi mtu anaacha kutumia line ya mtandao flani au anafariki dunia,halafu hiyo line ya simu anapewa mtu mwingine baada ya miezi kadhaa? Hivi inakuaje aliyekua...
  7. M

    Ombi la Mafunzo

    Mh Rais Samia Suluhu Hassan, nakusalimu kwa jina la Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Kwanza pole sana na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa letu! Mh Rais! Baada yakuingia madarakani,umemteua Bwana Gerson Msigwa kua Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara Habari...
  8. M

    Wasaidizi wa Rais waseme ukweli

    Habari za Asubuhi wana Jamii! Ni matumaini yangu, Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema katuamsha salama, na kwa wale wenzetu wana changamoto za afya tunawaombea wapone haraka na warudi kwenye majukumu yao ya kila siku! Leongo la uzi huu, wasaidizi wa Rais wamekuwa na tabia yakusema jambo au mambo...
  9. M

    Mwananchi Communications Limited, mna shida gani siku hizi?

    Nimekua mfuatiliaji mkubwa sana wa Magazeti yenu,hasa Mwananchi na Mwanaspoti! Toka Mkurugenzi wenu akiwa Mzee Tido Mhando Master mind himself. Siku za hivi karibuni mmekua mnatoa habari za hovyo hovyo kweli,kwanza sio zile habari za kiuchambuzi, mmekua watu wa kusifu sana! Mbili makosa ya...
  10. M

    Gazeti la Mwananchi

    Kampuni ya National Media Group wamiliki wa Gazeti la Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti mnakwama wapi siku hizi?? Nakumbuka mwaka jana kupitia social media yenu ya Instagram, mlitoa boko la mwaka,kwamba Mh Rais Dkt Jonh Pombe Joseph Magufuli alikua Chato akinunua samaki, wakati hii video ni...
  11. M

    Putin mwisho wa utawala wako wa kibabe upo ukingoni

    Maandamano yamezuka kwenye miji zaidi ya 60 ya Urusi kudai kuwachiliwa huru kwa kiongozi wa upinzani Alexei Navalny, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Urusi. Waandamanaji zaidi ya 1,000 wamekamatwa. Mjini Moscow, karibu waandamanaji 5,000 waliujaza uwanja wa Pushkin katikati mwa mji huo...
  12. M

    Bado ni kitendawili waliofaidi mabilioni ya Justine Kasusura

    Jumapili January 17 2021 Kwa miezi 12 baada ya Ijumaa ya tarehe 2 Agosti, 2001, hakuna jina lililotawala vyombo vya habari kama la Justine Kasusura, aliyedaiwa kupora dola za Marekani milioni mbili (Sh4.4 bilioni) bila kutumia nguvu kubwa. Kiasi cha fedha alichodaiwa kupora, staili aliyotumia...
  13. M

    Rushwa ndani ya mchakato wa kura za maoni Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Kwenu viongozi wa CCM Taifa! Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama,Mwenyekiti wa CHAMA Cha Mapinduzi na Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Mh Dkt Jonh Pombe Joseph Magufuli!! Kwanza nakupa pole,na pili kabisa,napenda...
  14. M

    Tamaa ni mbaya. Angalia kilichomkuta huyu

    Habari za asubuhi wananchi wenzangu. Mimi ni kijana Mtanzania, mwajiriwa serikalini, mwenye miaka 35,nina watoto wawili na huyu mke wangu, ambaye nilifunga nae ndoa mwaka 2016, japo ni ndoa ya bomani na wala sio ya kanisani! Mimi na mke wangu tulipendana sana miaka ya nyuma, hakuwa msiri kwenye...
  15. M

    Mwananchi Communications Ltd

    Kwenu MCL
  16. M

    Wizi wa mtandaoni tuweni makini sana

    Wana Jamvi Poleni na majukumu ya kazi za ujenzi wa taifa letu, hasa kwenye suala la uumbaji, na mkuu wetu alishasema tufyatue tu, Serikali ipo. Wadau wangu twende kwenye mada iliyopo mezani. Nimekua na tabia yakufanya manunuzi online hasa bidhaa ili kuweza kupata kile nitakacho au nipendacho...
  17. M

    Sudan: Baraza la mpito limekubali kumkabidhi Rais wa zamani Omar al Bashir kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC)

    Baraza la mpito limekubali kumkabidhi rais wa zamani Omar al Bashir kwa mahakama ya kimataifa ya ICC. Rais huyo wa zamani anakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari, uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu, juu ya mzozo uliotokea katika mkoa wa Darfur mnamo 2003. Aliondolewa...
  18. M

    Hizi BAR za karibu na barabara mnasubiri maafa ndio mzipige marufuku??

    Habari waungwana.. Kwa wakazi wa Dar poleni na mvua kubwa, ni imani yangu kua mpo salama hamjasombwa na maji Naomba niende kwenye hoja moja kwa moja. Kumekua na tabia za ajabu sana kwa hapa Dar, watu wanaweka viti pembezoni mwa barabara nakukesha wakipiga maji, wakilewa pombe, hivi kwa mfano...
  19. M

    Heri ya siku ya kuzaliwa mzee Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete

    Tarehe kama ya leo 07.10.1950. Mzee Kikwete alizaliwa Heri ya siku yako yakuzaliwa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete.. Hongera sana Baba wa watoto 9 1. Ridhiwani 2. Khalfan 3. Rashid 4. Miraji 5. Salama 6. Ally 7. Mohammed 8. Mwanaasha 9. Khalifa
  20. M

    Jeshi la polisi kitengo cha barabarani ni kero sana

    Salam. Nipo safarini Tanga ,nimefika nimefika Tanga nakamatwa na Polisi kitengo cha barabarani kua gari inadaiwa deni kubwa zaidi ya Tshs 95,000 kwa makosa ya barabarani,yaliyotokea moja Kigamboni tarehe 25/8/2019 saa 11 alfajiri, huu mda nilikua nimelala kwangu, Kinzudi mtaa wa majengo, na...
Back
Top Bottom