Kurudi kwa Shisha!

Kurudi kwa Shisha!

Hebu nielezeni madhara ya shisha. Nafikiria kutest.
Bangi na shisha ipi ina madhara?
 
Daaah hii thread ifutwe JamiiForums tafadhari.. unakuta huyu kashindwa kununua mtungi wa 15,000 kashindwa kupata shupi yakuondoka nayo analeta hate hapa.
TULIA DAWA IKUINGIE
 
Wana Jamii Forum habari za mapumziko ya siku ya 14.10.2021! Ikiwa leo ni miaka 22 tangu kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere! Nakumbuka hii siku nilikua nachunga Ng'ombe huko kijijini kwetu,baada yakumaliza kufanya mtihani wa darasa la saba!

Naomba kurudi kwenye mada yetu sasa!

Mwaka 2017 serikali ya Hayati Jonh Pombe Joseph Magufuli ilitangaza/ ilipiga marufuku kabisa matumizi ya shisha kwenye bar na kumbi zetu za starehe za usiku!

Hii nakumbuka sana Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa,alitoa onyo kali kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam wa kipindi kile Bwana Albert Daud Bashite maarufu kama Paul Christian Makonda,kwamba asipokua makini na kupambana na shisha,basi atawajibishwa yeye mwenyewe bwana Albert Daud Bashite maarufu kama Paul Christian Makonda!

Bwana Albert Daudi Bashite,kwa kuonyesha na yeye ni bingwa akasema kwamba RPC wa Dar Es Salaam special zone, bwana Simon Nyakoro Sirro,anakula mrungula toka kwa wauza shisha,ni mambo ambayo kwa kweli yalileta shida sana,hadi bwana Simon Nyakoro Sirro,alipopanda cheo na kua IGP napo alienda kutana na Bwana Lugola akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani,napo alionja joto ya jiwe kweli kweli!

Mh Waziri Mkuu,nilikua dodoma wiki mbili zilizopita,nilienda kwenye club moja ya usiku,nilikuta watu wanavuta shisha!

Mh Waziri Mkuu kwani,wewe unapotoa agizo,hilo hua ni agizo la serikali na kila mtu anapaswa kulitii,nenda kwenye hizi club za usiku,au tuma vijana wako,utawakuta watu wanavuta tena bila ya uoga!

Mh Waziri Mkuu,kama Bangi sasa hivi ni jinai,ukikutwa nayo! Kwa nini pia Shisha isitungiwe sheria kali?? Sasa hivi ukikamatwa unachoma nyasi ni kesi kubwa,mmea sasa hivi ni jinai!

Naomba hili suala la shisha likemewe kwa nguvu zote! Linaharibu sana nguvu kazi za taifa letu!
Nchi inaongozwa na sheria na sio matamko, ndio maana kipindi cha mwendazake waliokuwa wanaona mbali walishauri hayo mambo kuliko kutamkwa majukwaani kuyalinda lazima yatungiwe sheria, kwani ukitoka tu madarakani nayo yanapotea!!!sasa kama hizo shishi Bashite ndio alipiga marufuku , wakati hakuna sheria inayozuia, mahakamani utampeleka kwa kuvunja sheria gani?!!
 
Kama sigara na tumbaku zinaruhusiwa....kwanini shisha hairuhusiwi maana nayo ni tumbaku tuu iliyowekwa flavor! .. Naomba kuelewa zaidi.
 
Nishangaa kuona watoto wa kike wanaongoza kuvuta shisha, tunakoelekea siko, hadi baa za mitaani ni mwendo wa shisha tu.
 
Wana Jamii Forum habari za mapumziko ya siku ya 14.10.2021! Ikiwa leo ni miaka 22 tangu kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere! Nakumbuka hii siku nilikua nachunga Ng'ombe huko kijijini kwetu,baada yakumaliza kufanya mtihani wa darasa la saba!

Naomba kurudi kwenye mada yetu sasa!

Mwaka 2017 serikali ya Hayati Jonh Pombe Joseph Magufuli ilitangaza/ ilipiga marufuku kabisa matumizi ya shisha kwenye bar na kumbi zetu za starehe za usiku!

Hii nakumbuka sana Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa,alitoa onyo kali kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam wa kipindi kile Bwana Albert Daud Bashite maarufu kama Paul Christian Makonda,kwamba asipokua makini na kupambana na shisha,basi atawajibishwa yeye mwenyewe bwana Albert Daud Bashite maarufu kama Paul Christian Makonda!

Bwana Albert Daudi Bashite,kwa kuonyesha na yeye ni bingwa akasema kwamba RPC wa Dar Es Salaam special zone, bwana Simon Nyakoro Sirro,anakula mrungula toka kwa wauza shisha,ni mambo ambayo kwa kweli yalileta shida sana,hadi bwana Simon Nyakoro Sirro,alipopanda cheo na kua IGP napo alienda kutana na Bwana Lugola akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani,napo alionja joto ya jiwe kweli kweli!

Mh Waziri Mkuu,nilikua dodoma wiki mbili zilizopita,nilienda kwenye club moja ya usiku,nilikuta watu wanavuta shisha!

Mh Waziri Mkuu kwani,wewe unapotoa agizo,hilo hua ni agizo la serikali na kila mtu anapaswa kulitii,nenda kwenye hizi club za usiku,au tuma vijana wako,utawakuta watu wanavuta tena bila ya uoga!

Mh Waziri Mkuu,kama Bangi sasa hivi ni jinai,ukikutwa nayo! Kwa nini pia Shisha isitungiwe sheria kali?? Sasa hivi ukikamatwa unachoma nyasi ni kesi kubwa,mmea sasa hivi ni jinai!

Naomba hili suala la shisha likemewe kwa nguvu zote! Linaharibu sana nguvu kazi za taifa letu!
Nilikutana nayo Geneva miaka fulani. Ni kitu hatari sana.
 
Back
Top Bottom