Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Rais Mstaafu Mzee Jakaya Mrisho Kikwete

Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,392
3,017
kikwete-pic-data.jpg

Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa!

Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa waliokomaa!

Kipindi cha uongozi wako, kulikuwa na uhuru sana, tofauti kabisa na awamu ya tano, watu walikua wanapata ajira,pesa zilikuwepo na walikua wanaendesha maisha yao vizuri tu!

Nakutakia maisha marefu na yenye baraka tele, uweze kugonga hadi miaka 95 huko kama kina Mzee Madiba Nelson Mandela
 
Najua sio mahali pake, lakini siku inaruhusu! Ninaomba mkuu anayejua email yake anifahamishe...hata huko kwa inbox...
 
Mwaka huu anaisheherekea kwa amani (peace of heart and mind) mwendazake hayupo
 
Nawaletea Chuma Hiki........Mlisema Miye Mpole Dawa Kuleta Mkali
Nakwenda Zangu Msoga Nitalala Usingizi Safi........Haa


Heri Heri Nyingi Sana Mzee JK Kwa Kumbukizi Ya Kuzaliwa
 
Happy birthday to a role model who is like father figure, guiding light. You have taught me enrich my vision to achieve my dreams.

Yaani a star for all but superhero for me.

Thanks for inspiring me and many like me.

You have been and will always stay my role model.


Yaani You are not just an idol to me in one aspect, I inspire from you in every way of life.

I want to thank you and tell you that, We have never been disappointed by you whenever, We need your guidance.


Wish the happiest birthday to the most respected person of my life.

Long life!

images (90).jpeg
 
Mzee ana akili sana, sema kakosa uzalendo.

HBD to him.
JamiiForums mobile app
Kwa mtazamo wangu

Ni vile mtu anakua hawezi kuridhisha kila mtu, lakini huyu mzee ni miongoni mwa watu waelewa sana na wenye upendo sana. Pia ni mvumilivu sana i am sure.

Na ukiwa binadamu, ni kitu cha kawaida , huwezi kupendwa na kila mtu.

Mimi namuelewa sana huyu mzee

Mungu ampe maisha marefu tunaomba!
 
Mungu akujalie maisha marefu yenye afya njema na amani moyoni mwako.

Mapungufu kila mwanadamu anayo.

Kosa kubwa ulilowahi kulifanya ni kutopigania kuhakikisha nchi inapata kiongozi mzuri baada ya kipindi chako. Kosa hilo limeligharimu sana Taifa.

Tumia influence yako kuhakikisha nchi inapata katiba nzuri mpya ambayo itahakikisha nchi haitumbukii tena siku moja kwenye uongozi wa ajabu ajabu kama ilivyotokea 2015.
 
Back
Top Bottom