Search results

  1. Jobless_Billionaire

    Tujadili kidogo kuhusu baadhi ya tabia ambazo watu huziona za kawaida ila zinakera sana

    Wasalaaam.. Nina imani mko poa na mnatekeleza majukumu yenu kama ilivyo ada. Kabla ya yote, watu tunafanya mambo kulingana na uhitaji wetu, na tunafanya kwa makadirio ya kuridhika na kitu ambacho tunafanya. Kwa mfano, nikiwa nina hamu ya soda nitanunua kwa lengo la kunywa ili kukidhi ile kiu...
  2. Jobless_Billionaire

    Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

    Wasalaaam, naamini mu wazima wa afya. Wale mnaojiandaa na sikukuu basi ikawe njema kwenu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Wiki kama mbili nyuma kuna rafiki yangu ambae tumefahamiana kutokana na kazi tunazofanya kuwa za kufanana na muda mwingine kupeana deals mbalimbali zinapotokea alipatwa na...
  3. Jobless_Billionaire

    Barakah Da Prince asusia interview

    Msanii wa muziki Barakah Da Prince aliyewahi kutamba na nyimbo kama Siachani nawe, Siwezi na Sometimes, jana ameondoka kwa gadhabu kwenye interview ambayo aliifanya na MJINI TV. Interview hiyo ni sehemu ya media tour anayoifanya baada ya kuachia wimbo wake mpya kwa jina la Goodbye. Katika...
  4. Jobless_Billionaire

    Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya. Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate kujifunza na wengine. Sikuwahi kujua kama mwanamke anaweza kuwa chanzo cha kuharibika kwa maisha ya mtu...
  5. Jobless_Billionaire

    Kuwa makini na Apps za Mikopo

    Ili Ukope huko yabidi uwe na vitu gani vya msingi?
  6. Jobless_Billionaire

    Wakuu natafuta shule ya kufundisha

    Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya. Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu katika masomo ya Geography na Kiswahili mwaka 2020. Nimekuwa nikijaribu kutuma maombi shule mbalimbali...
Back
Top Bottom