Wakuu natafuta shule ya kufundisha

Rhymez_

JF-Expert Member
Aug 9, 2022
541
1,061
Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya.

Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu katika masomo ya Geography na Kiswahili mwaka 2020.

Nimekuwa nikijaribu kutuma maombi shule mbalimbali lakini sijafanikiwa kupata nafasi ya kazi.

Ninajua humu kuna watu muhimu sana, na kuanzishwa kwa jukwaa hili ni kwa ajili ya kusaidiana pale nafasi zinapopatikana, hivyo basi kama kijana nimekuja kuandika pia Ili kama kuna anaefahamu shule inayohitaji mwalimu, iwe ya watoto au watu wazima aniunganishe nipate kazi pia. Nina jitihada kubwa isipokuwa nafasi tu ndio sijabahatika kupata.

Nawaombeni sana ndugu zangu popote pale mlipo mkipata nafasi ya kuona ujumbe huu na mna nafasi ya kunisaidia nitashukuru sana. Si vyema nikaeleza ugumu wa maisha ninaopitia ila mtambue nina uhitaji wa kazi

Ufaulu wangu ni 3.6 GPA, Ninapatikana mkoani Shinyanga lakini popote nitafika kwakuwa Nina uhitaji wa kazi.

Mawasiliano yangu: 0675254143 na 0693556283

NB: Nimeandika mawasiliano yangu kwa Nia njema tu.

Asanteni sana
 
Baunsampole

Member
Oct 27, 2016
95
163

Ushauri nenda kwa majiji makubwa ndo kuna shule nyingi hasa private

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom