Barakah Da Prince asusia interview

Jobless_Billionaire

JF-Expert Member
Aug 9, 2022
1,811
4,920
Msanii wa muziki Barakah Da Prince aliyewahi kutamba na nyimbo kama Siachani nawe, Siwezi na Sometimes, jana ameondoka kwa gadhabu kwenye interview ambayo aliifanya na MJINI TV.

Interview hiyo ni sehemu ya media tour anayoifanya baada ya kuachia wimbo wake mpya kwa jina la Goodbye.

Katika interview hiyo, presenters walimuuliza baraka kuhusiana na nidhamu yake na jinsi mashabiki wa muziki wanavyomchukulia. Mwanzo alieleza kadri ya alivyoweza na kutoa tahadhari kwa presenters wafocus kwenye wimbo wake ambao ndio aim ya interview.

Presenters walikosea zaidi baada ya kurudisha mjadala wa nidhamu kwa kuhusianisha na issue ya alikiba. Baada ya tukio hilo baraka aliamua kuondoka kwenye interview kwa gadhabu kali sana akiwaacha wahusika midomo wazi

Kazi kweli kweli

Screenshot_20231124-114439~2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom