Search results

  1. Bishweko

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania. Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh. Mtatiro kwa kuteuliwa tena na Mh. Rais kua mkuu wa wilaya ya Shinyanga. Najua na kuamini utendaji kazi wako ndiyo msingi wa...
  2. Bishweko

    MKWAMO: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ijitafakarini haraka

    Niende moja kwa moja kwenye mada husika ndugu wanajamvi. Taifa lolote lazma liheshimu elimu inayotolewa nchini maana elimu ni msingi wa maendeleo ya Taifa au jamii husika. Tangu nchi hii tupate uhuru tumekua tukicheza sana hudhuma hii muhimu kwenye Taifa letu. Kila waziri anaepewa nafasi ya...
  3. Bishweko

    Wizaria ya Elimu na NECTA, Ni muda sasa mtumie weledi wenu vizuri kwenye Elimu yetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
  4. Bishweko

    Msaada wa Kisheria katika mgogoro huu wa kimkataba kati ya Mwajiri na Mwajiriwa

    Salaam wanajamvi, Msaada na ushauri unahitajika wadungu. Kuna jamaa alikua anafanyakazi na kampuni ya vinywaji Tanzania. Alikua na mkataba wa miaka miwili na uliisha lakini mwajiri hakumpa notisi ile ya miezi mitatu. Baada ya hapo mwajiri alimuandikia barua kuwa atoweza kuendelea nae kwahiyo...
  5. Bishweko

    Uchaguzi: Awamu hii ya mwisho kura yangu si kwa CCM tena

    Nimeshiriki Uchaguzi tangu nilipotimiza miaka ya kupiga kura na mara zote nimekua nikichagua chama tawala CCM ingawa 2015 sikua apa nyumbani. Sababu zangu za kutoipigia ccm kura Uchaguzi wa Oktoba 2020 ni nyingi ila zenye nguvu zaidi ni tatu. 1.Utawala wa awamu ya tano kuto heshimu katiba ya...
  6. Bishweko

    Uzalendo: Pongezi kwa Jeshi la Magereza na Wizara ya Mambo ya Ndani

    Wadau na wazalendo wa Taifa ili bila shaka tunajua maana ya Uzalendo. Naomba kwa machache tu mimi kama mzalendo mmojawapo nitumie fursa hii adhimu na adimu kulipongeza jeshi letu la Magereza, wafungwa wetu pamoja na Wizara ya Mambo ya Ndani. Kulipongeza jeshi la Magereza na Wafungwa wetu sina...
  7. Bishweko

    Naipenda Tanzania, nimeamua kuwa mpelelezi wa jamii

    Kama mada inavyosema wadau na wazalendo wa Taifa ili,nimefanya maamuzi sahihi ya kua mpelelezi binafsi wa jamii. Nchi yetu imekua na matukio ambayo kusema ukweli yamelitia doa Taifa letu .Taifa lililo jipatia sifa nzuri Duniani kwa kua Taifa la haki,usawa,amani,umoja na upendo. Najua bila shaka...
  8. Bishweko

    Wapiga kura 2020 ni wachache sana

    Wanajamvi mpo salama bila shaka. Wakati tunaejiandaa na kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa madiwani,ubunge na urais ukweli ni kua idadi ya wapiga kura itapungua sana ingawa idadi ya waliojiandikisha ni kubwa sana ukiringanisha na miaka ya nyuma. Kwahiyo tujue kua waliojiandikisha kwenye daftari...
  9. Bishweko

    Tume Zetu za Uchaguzi : Fanyeni haya kabla ya Uchaguzi 2020

    Habari za humu ,bila kupoteza wakati naomba nizishauri Tume zetu za Uchaguzi yaani NEC na ZEC. Kwasasa kuna wimbi la wanaodhani ni muda muafaka kua na Tume Huru ya Uchaguzi bila shaka wanazo sababu zao za msingi. Kwangu mimi kama mzalendo na mlipa kodi kwa serikali basi nashauri kua yafuatayo...
  10. Bishweko

    Wabunge jitolee mishahara na posho ya 2020

    Heshima kwenu wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( JMT). Nawaomba sana tena kwa heshima yenu kua wasaidieni vijana wetu waliopo Vyuo Vikuu ambao wamekosa mkopo wa Serikali ili waweze kuendelea na masomo yao. Vyuo mbali mbali apa nchi Tanzania kuna vijana watanzania wakike na...
  11. Bishweko

    OMBI: Watanzania Tuwachague wasomi watuongoze na kutuwakilisha

    Wanajamvi, kilio changu kwa muda mrefu ni kuona nchi ikiongozwa na watu ambao wamepata weledi na taaluma mbali mbali. Kwangu naona kuwa ni jambo la aibu sana na fedheha tena kwenye karne hii nchi yetu kuongozwa na watu ambao aslimia kubwa hawana taaluma au weledi. Wapo wanaodhani na kuamini...
  12. Bishweko

    UVCCM huu ni muda kupinga ufisadi wa TAMISEMI

    Wasalaam, ni siku sasa nchi nzima imeshuhudia mpango kabambe unaoendelea kutengenezwa na wakuu wa TAMISEMI ili kula pesa za umma asa kupitia posho. Kwakua nchi hii ipo chini ya Serikali ya CCM ni muda muafaka na sahii kabisa vijana wa UVCCM kupinga na kuzuia hii rushwa,ufisadi na wizi wa pesa...
  13. Bishweko

    Nani wa kumwombea msamaha na kumshauri Rais wa Jamhuri?

    Wanajamvi na wananchi kwa ujumla tunashuhudia wakati mgumu na mbaya kwenye nyaja ya siasa,umoja,upendo pia na amani kwa muda sasa. Apa sitomraum mtu ila nitamkumbusha mkuu pamoja na kusema ukweli. Yanayotokea kwa sasa apa ni zao la kauli,vitendo na amri ambazo mkuu wa nchi amekua akizitoa...
  14. Bishweko

    Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP)unatafuta nini ofisini?

    Habari wanajamvi,niende moja kwa moja kwenye mada. Bunge kupitisha sheria ya Mkurungezi wa Mashtaki ya Umma aikua bahati mbaya. Sheria hii ilitungwa ili kuweza kubaini wale wote wanao fanya makosa na kutenda tofauti na matakwa ya jamii. Mkurugenzi wa mashitaka ya umma pamoja na wajibu wake ni...
  15. Bishweko

    Tulikuunga mkono lakini katika ili hatuwezi kamwe

    Wanajamvi salam zenu, Niende sasa kwenye mada. Mwaka 2015 tulipiga kura kumchagua Rais wa nchi yetu Tanzania. Mgombea wa CCM Mh.Dr.John Pombe Magufuli aliibuka kidedea na kua mkuu wa nchi yetu . Kweli watanzania wote tunajua kua ukisha apishwa basi wewe ni wote. Wananchi watanzania wamekua...
  16. Bishweko

    Mlituchagua sasa kaeni kimya

    Kila baada ya miaka mitano, Time ya Uchaguzi ( NEC) na ZEC wanaandaa na kusimamia changuzi kuu kama ubunge na urais. Nyie raia wa kawaida mkisha tupigia kula basi kaeni kimya maana mmekubali kua sisi ndiyo zaidi yenu. Mkisha tuchagua tunafanya chochote bila shida. Tunatunga sheria za...
  17. Bishweko

    Kutembelewa na kuiga Apartheid ndani mwetu.

    Wanajamvi ,bila shaka tumetembelewa na kuiga Apartheid ya Makaburu. 1948 uongozi wa Dr. Mallan na P.W.Botha walipitisha sera ya ubaguzi asa kwa mtu mwenye ngozi nyeusi( Blacks). Hivyo hivyo kule Marekani ubaguzi wa mtu mweusi ulishamiri . Weusi walikatazwa kujumuhika,kufanya maandamano...
  18. Bishweko

    Baada ya Utawala wa Magufuli, nini kitatokea?

    Kadri siku zinavyoenda ubaya, visasi, utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kuwa tete. Si wale wapinzani hata wanaccm, wote wamepata kuonja machungu haya. Kuna uwezekano mkubwa Taifa likaingia kwenye visasi baada ya awamu hii kumaliza muda wake. Kuna...
  19. Bishweko

    ONYO: Polisi tuachie CCM yetu tunajiweza

    Wanajamvi habari zenu, Siku ya leo nimeangalia matukio mbalimbali ya kisiasa hapa nchini na kubaini sababu ya wananchi kukataa tamaa asa na uchaguzi. Jambo baya ambalo linawatatiza wananchi ni polisi na vyombo vingine kujitwika nafasi za uanachama wa CCM. Wakuu wa Idara hii tunakumbusha kuwa...
  20. Bishweko

    Mzee Kikwete ulijisahau sana kuijenga Chalinze

    Wanajamvi, Habari za humu bila shaka njema. Mara nyingi katika jamii yoyote ili mtu akipata mafanikio ni muhimu kuikumbuka jamii yake anakotoka. Lakini ilikuwa tofauti sana na Rais mstaafu wa awamu ya nne ambaye alifanikiwa kushika nafasi ya juu hapa nchini lakini akashindwa au akasahau kuleta...
Back
Top Bottom