Naipenda Tanzania, nimeamua kuwa mpelelezi wa jamii

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,281
2,423
Kama mada inavyosema wadau na wazalendo wa Taifa ili,nimefanya maamuzi sahihi ya kua mpelelezi binafsi wa jamii. Nchi yetu imekua na matukio ambayo kusema ukweli yamelitia doa Taifa letu .Taifa lililo jipatia sifa nzuri Duniani kwa kua Taifa la haki,usawa,amani,umoja na upendo.

Najua bila shaka kuna taasisi au watu wengine wenye uchungu na Taifa letu lakini labda wameshindwa kujitoa ili kulinda tunu zetu za Taifa. Katika upelelezi wangu wa jamii naomba kuwajulisha kua niyafanyia kazi yafuatayo.

1.Kupeleleza na kupata taarifa za kuwakamata watu au mtu alie husika kumlisha ( kumuwekea) sumu Mh.John Pombe Magufuli ambae kwasasa ndiye Rais wetu .Tukio lilitokea Dodoma kabla ajawa Rais

2.Kupeleleza na kuwezesha kuwakamata wale wote walio husika kumlisha sumu(kumtega) Mh.Mzee Mangula Philipp

3.Kupeleleza na kuwezesha kuwakamata wale wote walio husika kwenye mauaji ya Kibiti ili sheria ichukue mkondo wake

4. Kupeleleza na kuwezesha kukamatwa wahusika wa Shambulio la Mh.Lissu Antipas,kupotea kwa Azory Ngwanda,Ben Saanane.

Nitafuata taratibu zote zinazotakiwa ila sitaki malipo nk ninachokitaka ni maombi tu ili niweze kulitumikia na kulilinda Taifa Langu.

Naipenda Tanzania.

Cc Pascal, Etwege,BAKI,Bia Yetu,Chagu Malunde,Britanicca,Ecrypte,USSR,Nguvu.
 
QUOTE="Robot la Matope, post: 35451156, member: 283757"]
Omba kwanza bunge lipitishe sheria
[/QUOTE]
Mkuu sheria za kimataifa zina ruhusu upelelezi binafsi tu..kama ilivyo mashirika binafsi ya Ulinzi.
Sara zako tuu mkuu
 
Tunakuombea Mkuu!! Usisahau na waliovujisha pilau ya Mchungaji wangu Gwajima, hapa utateka baraka zako.🤣
 
Kwa resource gani uliyonayo??ni nani atakuamini nakama mengine yaliusisha state utawalazimisha wakubaliane na wewe??ungesema nitapigania kuelimisha jamii ili tudai Tanzania ipatikane katiba mpya amabayo inaweza kuruhusu kuwajibisha wale wanaofanya makosa ya kukiuka haki zabinadanu hata hata kama walitumwa na mamlaka.Hapo ungeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaija..bojo! Wewe niombee tu ..Hii kazi nimejitoa mimi na msije kusema natumiwa na mabeberu au wajamaa.Kiume yangu ni kuilinda Tanzania dhidi ya mafias.
 
Pale unapoota umelala na manzi kuamka unajikuta upo mkojo kitandani. Hasira zake ndo hupelèkea ndoto zingine kama hizi... sasa sijui ukiamùka utajikuta upo wàpi na unafanya nini. Lakini mwogope TELEZA...Ohooo

[JM]
 
Mawakala na watetezi wa mafia click
 
Back
Top Bottom