Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,414
- 3,055
Kila baada ya miaka mitano, Time ya Uchaguzi ( NEC) na ZEC wanaandaa na kusimamia changuzi kuu kama ubunge na urais. Nyie raia wa kawaida mkisha tupigia kula basi kaeni kimya maana mmekubali kua sisi ndiyo zaidi yenu.
Mkisha tuchagua tunafanya chochote bila shida.
Tunatunga sheria za kodi,ajira,ustawi wa jamii,habari ata na vyama vingi. Mkisha tuchagua hamna mamlaka ya kututuoa kwenye hizo nafasi kabla ya muda. Mnatuchagua sisi na sisi tunafanya maamuzi yoyote bila kuwategemea nyie.
Tunatumia kodi zenu kulidwa, kununua magari ya kifahari,mikopo mikubwa benki lakini pia tunakua na nguvu za kidola.
Mkisha tuchagua tunaweza kuwafunga gerezani,kuwachapa viboko,kuwakataza msiuze mazao yenu mnakotaka..Wakati wa kutafuta kula tunakua nanyi karibu ,tunacheza ngoma na kunywa ila mkisha tuchagua basi kunywa na nyie,kucheza na nyie au kushiriki na nyie mambo mbali mbali inakua hamna tena.
Mkisha tuchagua tunakosa imani na nyie ndiyo maana tunalindwa na mitutu na maji ya kuwasha.Mkisha tuchagua tunaweza kuamua mpigwe kipigo cha mbwa koko nk.
CHAGUA ILI UPOTEZE UHURU NA HAKI YAKO