UVCCM huu ni muda kupinga ufisadi wa TAMISEMI

Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
1,088
Points
2,000

Bishweko

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
1,088 2,000
Wasalaam, ni siku sasa nchi nzima imeshuhudia mpango kabambe unaoendelea kutengenezwa na wakuu wa TAMISEMI ili kula pesa za umma asa kupitia posho.

Kwakua nchi hii ipo chini ya Serikali ya CCM ni muda muafaka na sahii kabisa vijana wa UVCCM kupinga na kuzuia hii rushwa,ufisadi na wizi wa pesa za mlipa kodi. Pesa hizi zinapangwa kupigwa kwa kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa.

Huku kila mtu akijua kua CCM imepita bila kupigwa nchi nzima.Kanuni zipo wazi,pale inapotokea hakuna wagombea zaidi ya mmoja kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,kitongoji na mtaa basi huyo ambae ameteuliwa utangazwa mshindi.

Sasa inakuaje TAMISEMI wanataka kuhitisha uchaguzi huku wakijua CCM tumepita bila kupigwa nchi nzima. Huu ni ufisadi na watu wako tayari kupiga hizi pesa kama posho nk.

Vijana wote Wazalendo wa UVCCM ni muda sasa wa kupata sauti kupinga ili...pesa hizo zielekezwe kwenye ununuzi wa madawa au vitabu kwa mashule na zahanati zilizopo chini ya TAMISEMI.

UVCCM TUSIMAME IMARA
UVCCM TUPINGE NA KUKATAA HUU UFISADI
UVCCM TUMSAIDIE MH.MAGUFULI
CCM TUMEPITA BILA KUPINGWA SASA UCHAGUZI NIWA NINI.
 
Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
1,088
Points
2,000

Bishweko

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
1,088 2,000
CCM ni ukoo wa panya, kama hao uvccm Baba zao walikwapua mabilioni ya EPA wao watapata wapi ujasiri wa kukemea ufisadi?
Mkuu unakosea sana...UVCCM tutasimama imara na Mh.Magufuli kupinga huu ufisadi..Nchi nzima tumepita bila KUPINGWA alafu eti tunafanya uchaguzi.

Huu ni ufisadi
 
Twamo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2017
Messages
1,619
Points
2,000

Twamo

JF-Expert Member
Joined May 27, 2017
1,619 2,000
Mmepita bila kupingwa au mmepitishwa bila kupingwa! Mmenajisi uchaguzi sababu tu ya tamaa za madaraka! Afu muhoji pia mchakato wa kujenga uwanja wa ndege kule kijijini Chatle ulivyofanyika!
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Messages
9,498
Points
2,000

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2013
9,498 2,000
Wasalaam, ni siku sasa nchi nzima imeshuhudia mpango kabambe unaoendelea kutengenezwa na wakuu wa TAMISEMI ili kula pesa za umma asa kupitia posho.

Kwakua nchi hii ipo chini ya Serikali ya CCM ni muda muafaka na sahii kabisa vijana wa UVCCM kupinga na kuzuia hii rushwa,ufisadi na wizi wa pesa za mlipa kodi. Pesa hizi zinapangwa kupigwa kwa kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa.

Huku kila mtu akijua kua CCM imepita bila kupigwa nchi nzima.Kanuni zipo wazi,pale inapotokea hakuna wagombea zaidi ya mmoja kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,kitongoji na mtaa basi huyo ambae ameteuliwa utangazwa mshindi.

Sasa inakuaje TAMISEMI wanataka kuhitisha uchaguzi huku wakijua CCM tumepita bila kupigwa nchi nzima. Huu ni ufisadi na watu wako tayari kupiga hizi pesa kama posho nk.

Vijana wote Wazalendo wa UVCCM ni muda sasa wa kupata sauti kupinga ili...pesa hizo zielekezwe kwenye ununuzi wa madawa au vitabu kwa mashule na zahanati zilizopo chini ya TAMISEMI.

UVCCM TUSIMAME IMARA
UVCCM TUPINGE NA KUKATAA HUU UFISADI
UVCCM TUMSAIDIE MH.MAGUFULI
CCM TUMEPITA BILA KUPINGWA SASA UCHAGUZI NIWA NINI.
Uvccm mnaitwa huku
tapatalk_1573837543902.jpeg
 
Forum statistics

Threads 1,379,241
Members 525,346
Posts 33,739,406
Top