Wizaria ya Elimu na NECTA, Ni muda sasa mtumie weledi wenu vizuri kwenye Elimu yetu

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,281
2,423
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika mtaala,ufundishaji,usimamiaji na utekelezaji wa sera ya Elimu.

Ni jambo la ajabu sana kua kila awamu au kiongozi apatapo nafasi ya kuingia ofisi hizo ,basi upata tiketi ya kufanya awazavyo au anachofuraia yeye.

Mwaka huu viongozi hao nao wamekuja na mifumo yao hasa katika kuandaa mithani, mitaala na kupanga matokeo pamoja na kuandaa mitihani. Maana yake viongozi hawa wapya nao wamewaza hivyo basi wakafanya maamuzi ya kuanzisha mifumo yao kwa mamlaka yao jambo ambalo linatutia mashaka.

Ikumbukwe kuna shule walizo sema zimefanya udanganyifu na matokeo yao kufutwa wakafanya tena mitihani na kufauru zaidi huku wengine mpaka leo awajui kama watafanya hiyo mitihani tena kama Rweikiza.

Leo hii NECTA na Wizara wwanasema kua mfumo wa kupanga kua hii ni shule ya kwanza na hii shule ya mwisho sio sawa kwakua wanafunzi wanasoma mazingira tofauti. Huu utetezi kwa mtu mwenye uelewa na uzalendo kwwa Taifa lake atalipinga tu.

Jana wakati Waziri ana jibu Bungeni na kupigiwa makofi kulinishangaza sana...nikajiuliza hivi hao wabunge wanaelewa? Hivi kwanini tusiboreshe mazingira yawe sawa?

Hivi Waziri anataka kusema kua ajui kua katika upangaji wa matokeo shule upangwa kwa wingi wa watahiniwa?

Mfano shule yenye wanafunzi zaidi ya 40 na shule iliyopo chini ya watahiniwa 40. Shule hizi upangwa tofauti katka kutafuta shule bora ila Mh.Waziri amenishangaza kutojua ili.

Katibu wa NECTA na Waziri wanasema mfumo wa zamani ulikua unajenga mazingira ya wizi wwa mitihani..aaah.

Kwamba kwa kutoa matokeo yenye kuweka GPA ya shule kunashindwa kuonyesha kua hii ndiyo shule bora? Mfano leo hii KEMEBOS wana GPA kubwa huku wakifuatiwa na Giryaki, St. Francis nk sasa ni mjinga gani atashindwa kujua kua shule iliyofanya vizuri kitaifa ni hii hapa?

Mwisho kabisa, nimeshangaa kua leo wakuu wa shule wanafanya mikataba na walimu wao ya kufaurisha kama moja ya kutekeleza Ilani ya CCM . Ili limeenda mpaka shule za binafsi, hivi tunaweza kujiuliza kua mtindo huu sio kuwa unaenda kutengenza mazingira ya vijana kukalili na kupewa majibu ili mwalimu kuonyesha kua anatimiza wajibu wake? Si hapo walimu waenda kutoa ata mitihani isiyo na kiwango ili kuonyesha kufaurisha kwa kiongozi wake?

Mikataba hii imefika mpaka shule binafsi, hivi ni lini Wizara uwasaidia walimu au watumishi walioko shule binafsi pindi wasipo tendewa haki? Ni lini Wizara iliwai kufuatilia kuona walimu hao wapo kwenye vyama vya wafanyakazi kama CWT ambayo imetekwa na walimu wa shule za umma tu.

Wizara inaweza leo kuja na majibu kua kwanini mtoto afundishwe miaka minane kwa lugha ya Kiswahili alafu miaka minne afundishwe kwa Kiingereza badala ya kuendelea kufundishwa kwa Lugha alio anza nayo masomo.

Wito kwa wahusika, kabla atujafanya maamuzi ni muhimu sana kufanya ata tafiti na tadhimini sio sawa kwa waziri au kaimu katibu kutamumka na kuamua kufanya vitu visivyo na tija kwa Taifa letu.

KUCHEZEA ELIMU NI KUCHEZEA TAIFA
ELIMU NI MOYO NA DAMU YA TAIFA
BISHWEKO-AKIBAZI ITAHWA.
 
Waziri yupo sahihi, Kwa mtu mwenye akili timamu wazir Yuko Sawa kabisa , labda changamoto ya mfumo mpya wa upimaji ambao ni complex na unahtaj lot of skilled man power na budget kubwa ndo Nina Mashaka kama utafanikiwa , mfumo wa kutangaza kama zamani ni mfumo wa hovyo ulipokuwa unanufaisha wafanya biashara wa elimu wenye vishule binafsi unless we kama ni mmoja wa wamiliki wa hvyo vshule na hvyo unaona umepigwa chenga ya mwili
 
Hivi kuna nchi nyingine yoyote duniani ambayo inatumia lugha mbili tofauti za kufundishia kutokana na ngazi za elimu?

Primary&Secondary- English,

College & University -Portuguese.
 
Siamini kama umelifikria vizuri mkuu ili ulilo liandika. Shule za umma zilikua azifanyi vizuri na kwasasa azifanyi vizuri sasa tuseme ili litazifanye zifanye vizuri? Eliimu ni huduma na huduma lazma iwe na ushindani....ukisema kisa ni za biashara wakati hizo hizo ndiyo utoa elimu bora na matokeo mazuri sijui kama utakua sahihi kwenye andika lako.
 
Hivi kuna nchi nyingine yoyote duniani ambayo inatumia lugha mbili tofauti za kufundishia kutokana na ngazi za elimu?

Primary&Secondary- English,

College & University -Portuguese.
Labda nchi inayoelea angani wanafanya hivyo, kwamba primary- kigiriki, secondary-kispanish!!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika mtaala,ufundishaji,usimamiaji na utekelezaji wa sera ya Elimu.

Ni jambo la ajabu sana kua kila awamu au kiongozi apatapo nafasi ya kuingia ofisi hizo ,basi upata tiketi ya kufanya awazavyo au anachofuraia yeye.

Mwaka huu viongozi hao nao wamekuja na mifumo yao hasa katika kuandaa mithani, mitaala na kupanga matokeo pamoja na kuandaa mitihani. Maana yake viongozi hawa wapya nao wamewaza hivyo basi wakafanya maamuzi ya kuanzisha mifumo yao kwa mamlaka yao jambo ambalo linatutia mashaka.

Ikumbukwe kuna shule walizo sema zimefanya udanganyifu na matokeo yao kufutwa wakafanya tena mitihani na kufauru zaidi huku wengine mpaka leo awajui kama watafanya hiyo mitihani tena kama Rweikiza.

Leo hii NECTA na Wizara wwanasema kua mfumo wa kupanga kua hii ni shule ya kwanza na hii shule ya mwisho sio sawa kwakua wanafunzi wanasoma mazingira tofauti. Huu utetezi kwa mtu mwenye uelewa na uzalendo kwwa Taifa lake atalipinga tu.

Jana wakati Waziri ana jibu Bungeni na kupigiwa makofi kulinishangaza sana...nikajiuliza hivi hao wabunge wanaelewa? Hivi kwanini tusiboreshe mazingira yawe sawa?

Hivi Waziri anataka kusema kua ajui kua katika upangaji wa matokeo shule upangwa kwa wingi wa watahiniwa?

Mfano shule yenye wanafunzi zaidi ya 40 na shule iliyopo chini ya watahiniwa 40. Shule hizi upangwa tofauti katka kutafuta shule bora ila Mh.Waziri amenishangaza kutojua ili.

Katibu wa NECTA na Waziri wanasema mfumo wa zamani ulikua unajenga mazingira ya wizi wwa mitihani..aaah.

Kwamba kwa kutoa matokeo yenye kuweka GPA ya shule kunashindwa kuonyesha kua hii ndiyo shule bora? Mfano leo hii KEMEBOS wana GPA kubwa huku wakifuatiwa na Giryaki, St. Francis nk sasa ni mjinga gani atashindwa kujua kua shule iliyofanya vizuri kitaifa ni hii hapa?

Mwisho kabisa, nimeshangaa kua leo wakuu wa shule wanafanya mikataba na walimu wao ya kufaurisha kama moja ya kutekeleza Ilani ya CCM . Ili limeenda mpaka shule za binafsi, hivi tunaweza kujiuliza kua mtindo huu sio kuwa unaenda kutengenza mazingira ya vijana kukalili na kupewa majibu ili mwalimu kuonyesha kua anatimiza wajibu wake? Si hapo walimu waenda kutoa ata mitihani isiyo na kiwango ili kuonyesha kufaurisha kwa kiongozi wake?

Mikataba hii imefika mpaka shule binafsi, hivi ni lini Wizara uwasaidia walimu au watumishi walioko shule binafsi pindi wasipo tendewa haki? Ni lini Wizara iliwai kufuatilia kuona walimu hao wapo kwenye vyama vya wafanyakazi kama CWT ambayo imetekwa na walimu wa shule za umma tu.

Wizara inaweza leo kuja na majibu kua kwanini mtoto afundishwe miaka minane kwa lugha ya Kiswahili alafu miaka minne afundishwe kwa Kiingereza badala ya kuendelea kufundishwa kwa Lugha alio anza nayo masomo.

Wito kwa wahusika, kabla atujafanya maamuzi ni muhimu sana kufanya ata tafiti na tadhimini sio sawa kwa waziri au kaimu katibu kutamumka na kuamua kufanya vitu visivyo na tija kwa Taifa letu.

KUCHEZEA ELIMU NI KUCHEZEA TAIFA
ELIMU NI MOYO NA DAMU YA TAIFA
BISHWEKO-AKIBAZI ITAHWA.
Hakuna tija kutoa orodha ya wanafunzi kumi bora kati ya milioni moja. Kama shule moja tu ina one za saba 60 na wana A zote
 
Hiyo ni shule moja tu
Screenshot_20230202-153658_Chrome.jpg
 
Hakuna tija kutoa orodha ya wanafunzi kumi bora kati ya milioni moja. Kama shule moja tu ina one za saba 60 na wana A zote
Mkuu wewe si mgeni humu, ebu jaribu kuandika basi hoja. Serikali imeamua kujificha kwenye kichaka hicho...pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom