Tume Zetu za Uchaguzi : Fanyeni haya kabla ya Uchaguzi 2020

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,281
2,423
Habari za humu ,bila kupoteza wakati naomba nizishauri Tume zetu za Uchaguzi yaani NEC na ZEC. Kwasasa kuna wimbi la wanaodhani ni muda muafaka kua na Tume Huru ya Uchaguzi bila shaka wanazo sababu zao za msingi.

Kwangu mimi kama mzalendo na mlipa kodi kwa serikali basi nashauri kua yafuatayo yafanyiwe marekebish na maboresho asa upande wa wapiga kura. Yaani sifa za mtu kupiga kura ziwe kama ifuatavyo.

1.Awe raia halali wa Tanzania
2. Awe mkazi halali wa moja ya sehemu ya muungano wa Tanzania
3. Awe ametimiza miaka zaidi ya 18 na kuendelea
4.Awe na akili timamu
5. Awe mtu mwenye akili timamu
6.Awe amajiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
7.Awe ni mtu mwenye Kujitegemea na mwenye kipato halali
8.Awe raia ambae amelipa au amalipa kodi kwa serikali yake.
9.Awe amehitimu angalau kidato cha nne
10.Awe ameshiriki katika mafunzo ya kujitolea kujenga Taifa ( JKT) au mgambo.
Huyu mtu apo atajua kweli watafanya maamuzi yaliyo sahii kabisa.
Tume ipo huru sasa basi tufanyeni maboresho katika vipengele vya haki na kanuni kwa mpiga kura.
Ahsanteni
 
Humu wamo hao tume? Watayona haya maoni?Nakushauri ndg badala ya kuja huku mtandaoni , wapelekee walipo
 
Ahsante mkuu ila sio vibaya ata na wewe kujua kua kuna umuhimu wa aya mabadiriko au maboresho. Hii ni kwa nia njema
 
Habari za humu ,bila kupoteza wakati naomba nizishauri Tume zetu za Uchaguzi yaani NEC na ZEC. Kwasasa kuna wimbi la wanaodhani ni muda muafaka kua na Tume Huru ya Uchaguzi bila shaka wanazo sababu zao za msingi.
Kwangu mimi kama mzalendo na mlipa kodi kwa serikali basi nashauri kua yafuatayo yafanyiwe marekebish na maboresho asa upande wa wapiga kura. Yaani sifa za mtu kupiga kura ziwe kama ifuatavyo.
1.Awe raia halali wa Tanzania
2. Awe mkazi halali wa moja ya sehemu ya muungano wa Tanzania
3. Awe ametimiza miaka zaidi ya 18 na kuendelea
4.Awe na akili timamu
5. Awe mtu mwenye akili timamu
6.Awe amajiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
7.Awe ni mtu mwenye Kujitegemea na mwenye kipato halali
8.Awe raia ambae amelipa au amalipa kodi kwa serikali yake.
9.Awe amehitimu angalau kidato cha nne
10.Awe ameshiriki katika mafunzo ya kujitolea kujenga Taifa ( JKT) au mgambo.
Huyu mtu apo atajua kweli watafanya maamuzi yaliyo sahii kabisa.
Tume ipo huru sasa basi tufanyeni maboresho katika vipengele vya haki na kanuni kwa mpiga kura.
Ahsanteni
Mkuu unajua moja ya suala linaloondoa Uhuru wa tume ni ile kuonekana wazi wakiipendelea ccm kwa mfano ile ya returning officer kuikimbia ofisi baada ya kupokea fomu za ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom