Search results

  1. N

    Je ulitokaje kwenye kifungo cha kichawi/kishirikina?

    Wadau Moja kwa moja kwenye mada. Ni ukweli kwamba uchawi upo hata kwenye Biblia imeandikwa. Familia yangu iko kwenye kifungo kibaya cha kichawi na tumemjua huyo aliyetufanyia hivyo baada ya miaka mingi. Evidences ni nyingi toka kwenye vyanzo mbalimbali tofauti , ambavyo vingine havina...
  2. N

    Hivi hakuna njia nyingine ya kupunguza Vitambi/Mafuta mwilini?

    Wataalam Nimekuwa nikijiuliza hivi imeshindikana kweli kufanya surgery ya kuondoa mafuta toka kwenye tumbo? Mi naona jinsi yalivyojirundika sehemu moja tumboni kama mnavyotuaminisha kupitia michoro yenu nk ni kazi rahisi zaidi kama imewezekana kuzalisha mwanamke kwa kisu? Badala ya sijui...
  3. N

    RC Makalla umeyamaliza ya wamachinga, lakini vipi kuhusu Mbuzi wazururaji wa Dar?

    Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria. Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa...
  4. N

    Imani, Miujiza na Upendo, hivi majini ya kiswahili yataelewa kiingereza?

    Wadau nipo najiuliza kwa sauti hili kongamano la kidini ambalo linatrend sana hivi sasa la Imani, Miujiza na Upendo (sina uhakika kama linaitwa hivyo lakini mmenielewa) limenifanya nijifikirishe kwamba mchungaji/ Mtumishi ni mzungu/wazungu. Je, kwenye hiyo miujiza ataweza kuyakimbiza...
  5. N

    Naacha tena kuangalia tamthilia za kibongo

    Baada ya kuacha kuangalia bongo movies na series kwa.muda mrefu kuna siku nikaambiwa sasa wapo vyema wamekuja upya ndani ya sinema.zetu Azam TV..wakati huo kuna tamthilia ya Single Mother na Panguso...kweli nilizifuatilia zilikuwa hot...lakini baada ya kuisha zile tamthilia ..naona sasa...
  6. N

    Ukweli kuhusu biashara ya Vanilla

    Wadau Naomba kujua ukweli kuhusu biashara ya Vanilla ambayo inatangazwa sana na jamaa wa Vanilla International wa Vanilla Village wa kule Njombe. Kwa mahesabu ambayo wamenipa naona faida yake ni mamilioni ya shilingi kwa mfanio ukiwekeza 10m faida yake kwa mwaka huo uikshavuna na kuuza...
  7. N

    Na corona hii michango ya harusi ni ya nini sasa?

    Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu. Kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi Sasa MC, buffet, DJ, Ukumbi, Mapambo, magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini? Naomba mnipotezee na vikao vyenu vya Whatsapp!
  8. N

    Ijue tofauti kati ya Lockup na LockDown

    Wadau...wakati janga la Covid 19 likiendelea , nikiwa bado nipo karantini...limenifikisha kwenye mawazo yafuatayo kuhusu tofauti ya Lockup na Lockdown: Lockup - mahabusu/Jela 1.Ni ruhusa kutembelewa na ndugu,jamaa 2. Niruhusa kujichanganya na watu wengine humo ndani 3.kusalimiana na kwa...
  9. N

    CRDB mnakwama wapi?

    Ndani ya siku hizi mbili naona Sim banking ya CRDB haifanyi kazi na tangu jana usiku ATM zenu hazifanyi miamala hapa Dodoma na hamjatupa taarifa yeyote. Tupeni mwongozo
  10. N

    Je ni kweli kwamba ili kupima Homa ya Ini unatakiwa kupima kwanza UKIMWI?

    Wataalam.. Huku mtaani nimeambiwa ili nipime Homa ya Ini lazima nipime kwanza UKIMWI. Je kuna ukweli gani katika hili?
  11. N

    Hivi ile 5% kati ya 100 % ya akina dada wasio na njaa kali wapo kweli?

    Kwa uzoefu wangu na hali ya maisha ilivyo kwa sasa 95% ya mademu/wadada wanaendekeeza njaa kali kuanzia kuomba kodi , ada,hela ya kusuka, simu , sare za sherehe nk nk....sasa miezi kama minne iliyopita nilikuwa naishi na kademu kanaonekana kanajitambua hakana tamaa....akajtahidi miezi miwili...
  12. N

    CRDB POS na Sim banking inanisumbua, naomba msaada

    Nimepata changamoto za mara kwa mara kwenye mifumo inayohusiana na CRDB ,na nimesikia malalamiko toka kwa watu kadhaa sijajua tatizo ni nini hasa?? 1. POS system ni hovyo kabisa ..mara nyingi system iko down na hii imenigharimu sana muda na hela.POS za mawakala nazo ni failure kabisa naona...
  13. N

    Mabadiliko nyumbani baada ya kurudi Safari - Jelly imetumika sana

    Wakuu , nilikuwa safarini kwa wiki moja .Sasa nimerudi nimekuta mafuta yangu ya KY Jelly yametumika sana....na pale home nilimwacha kimada wangu na madogo flani . Ushauri wenu wakuu
  14. N

    Wivu gani huu? Ile Adhabu aliyonipa itamrudia siku moja

    Mambo ya Dom na ndoa za watu....Majuzi nilikuwa nagegeda demu wangu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu amehamia huku Dom kama mimi...Sasa wakati tupo katikati ya tendo mmewe alikuwa ana piga simu mara kibao inakatika kwani tulikuwa tunaingalia screen inasoma my love husband....mpaka tulipomaliza...
  15. N

    Kuna tofauti kubwa kati ya michepuko wake za watu na michepuko single ladies

    Wadau ,nimehamishiwa Dodoma karibia mwaka sasa....familia iko DSM.. sasa huku maisha ya ubachela yamenifundisha mengi. Nimekuwa na mahusiano na wake wawili za watu ambao familia zao zipo Dar kama mimi , pia nina masingle ladies wawili(ni masingle mothers pia) ambao ni wenyeji hapa Dom.Nimekuwa...
  16. N

    Waliowahi kuzamia Uwanja wa Taifa Zamani tukutane hapa

    Kweli zamani ilikuwa raha sana hasa kwenye ushabiki wa mpira.Manake ilikuwa lazima kuingia uwanjani (uwanja wa bibi) kila mechi muhimu kwa namna yeyote!!!!tatizo kipindi hicho ufukara ulikuwa mwingi hivyo kupewa hela ya kuingia uwanjani ilikuwa ndoto.Nilishawahi kutumia njia zifuatazo...
  17. N

    Msaada...Je kesi hii ni uhaini ,uzembe au uhujumi uchumi?

    Kwa mfano mwananchi kufanya matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kwa mfano kupoteza au kufanya matumizi mabaya ya risasi 30 au zaidi bila manufaa, huwa ni kosa gani kisheria wakuu?
  18. N

    Rais Magufuli, pamoja na ukali wako bado kuna wanaokutania huku Mtwara

    Katika mkoa huu nimefanikiwa kutembelea Halmashauri za Wilaya mbili Newala na Masasi. Kwa mshangao wangu bado nimekuta kuna makaburi ya miaka ile bado hayajafukuliwa kama ifuatavyo; 1.Newala Mpaka leo hakuna maji, ukiuliza sababu eti viongozi wana miradi yao binafsi ya maji wakiongozwa na...
  19. N

    Je Mdada/Mwanamke wa JF uko kwenye kundi gani la mahusiano kati ya Haya?

    Wadau Baada ya uchunguzi wa miaka mingi nimeona kwamba wanawake ambao nimeshawa-date/kuwa nao kwenye mahusiano ,wamegawanyika katika makundi yafuatayo; 1) 60% - Wanafuata hela , hawana mbele wala nyuma 2) 15% - Single Mothers,majukumu yamewazidi wanatafuta pa kutatulia matatizo 3) 10% - Umri...
  20. N

    Ushauri wa bure kwa Menejimenti ya Utumishi wa Umma kuhusu OPRAS

    Nilimsikia kwa kumuona kwenye TV Mh Naibu Waziri ,Ofisi ya Rais Menejeiment ya Utumishi wa Umma, Mary Mwanjelwa akizungumzia kwamba sasa watumishi watapimwa kikamilifu utendaji wao kwa kupitia mfumo wa Open Performance Review And Appraissal System (OPRAS) .Napenda kutoa angalizo kwamba kwa...
Back
Top Bottom