Ijue tofauti kati ya Lockup na LockDown

ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
2,235
2,123
Wadau...wakati janga la Covid 19 likiendelea , nikiwa bado nipo karantini...limenifikisha kwenye mawazo yafuatayo kuhusu tofauti ya Lockup na Lockdown:

Lockup - mahabusu/Jela
1.Ni ruhusa kutembelewa na ndugu,jamaa
2. Niruhusa kujichanganya na watu wengine humo ndani
3.kusalimiana na kwa mikono,kukumbatiana inawezekana
4.Hakuna haja ya kuziba pua wala midomo
5.Unaweza ukaishi bila kunawa nawa wala kuoga oga
6.Gharama ya maisha hakuna


LockDown
1.Hakuna ruhusa ya kutembeleana
2.Ndugu/jamaa haruhusiwi kukuona /kukutembelea
3. Si ruhusa kusalimiana kwa kushikana mikono
4.Ukitaka kutoka nje kidogo lazima uzibe midomo na pua
5.Muda wote inakupasa kunawa na maji tiririka na sanitizer etc
6.Gharama ya maisha inaongezeka kununua barakoa,sanitizer ,bili ya maji nk

Kwa sababu hizo hapo juu mi naona ni bora utafute sababu ya kuwekwa Lockup kama vile kuiba ndoo ya maji tiririka kuliko kuwekwa Lockdown...
Au mnasemaje wadau?
 
Back
Top Bottom