ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,235
- 2,123
Nimepata changamoto za mara kwa mara kwenye mifumo inayohusiana na CRDB ,na nimesikia malalamiko toka kwa watu kadhaa sijajua tatizo ni nini hasa??
1. POS system ni hovyo kabisa ..mara nyingi system iko down na hii imenigharimu sana muda na hela.POS za mawakala nazo ni failure kabisa naona wengi wanazirudisha hata yangu naona operator wangu haitumiii kabisa sasa tunafikiria tutairudisha.
2.Sim banking Vodacom - CRDB , nanunua airtime ya Tshs 2000 ili niweze ku access account yangu ya CRDB meseji inaniambia insufficient fund ..nikiwauliza VODA wanasema nicheki na CRDB , ambao hawajaweza nisaidia chochote hivyo ni mateso makubwa napata kwani nikitaka kutuma au kutoa hela kidogo lazima niende benk au kwenye ATM ambazo ziko mbali.
Naombeni kama kuna msaada wowote