Je ni kweli kwamba ili kupima Homa ya Ini unatakiwa kupima kwanza UKIMWI?

ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
2,235
2,123
Wataalam..
Huku mtaani nimeambiwa ili nipime Homa ya Ini lazima nipime kwanza UKIMWI. Je kuna ukweli gani katika hili?
 
Hamna ukweli.

Because ni magonjwa tofauti na kila moja ina vipimo vyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu niliwasikiaga sijui redioni au kwenye TV kwamba kuna uhusiano wa kupima magonjwa haya mawili...sikuwaelewa kabisa...sasa sijui sikusikia vizuri au la.....ikanifanya niahirishe kwenda kupima homa ya ini kwa uoga...
 
Tutaanza kijipima HIV nyumbani ndo twende hospital kupima homa ya ini na HIV,
 
Kuna watu niliwasikiaga sijui redioni au kwenye TV kwamba kuna uhusiano wa kupima magonjwa haya mawili...sikuwaelewa kabisa...sasa sijui sikusikia vizuri au la.....ikanifanya niahirishe kwenda kupima homa ya ini kwa uoga...
Sijui uliwasikiaje! Ila nilichokwambia ndo jinsi ilivyo.

Unaweza kupima hivyo vipimo kwa nyakati tofauti. Sio kwamba lazima "eti ni lazima uanze Kupima HIV (Sio kweli).

Unaweza kupima Hepatitis B au C. Ukasepa zako.

Achana na hayo mawazo mengine.

Log out.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu niliwasikiaga sijui redioni au kwenye TV kwamba kuna uhusiano wa kupima magonjwa haya mawili...sikuwaelewa kabisa...sasa sijui sikusikia vizuri au la.....ikanifanya niahirishe kwenda kupima homa ya ini kwa uoga...
Ukikutwa na homa ya ini mara nyingi unapimwa na HIV, lakini vipimo hivyo ni viwili tofauti.

Kwa wanotaka kufanyiwa matibabu kwa njia ya upasuaji huwa lazima wapimwe vyo kabla ya upasuaji.
 
Wataalam..
Huku mtaani nimeambiwa ili nipime Homa ya Ini lazima nipime kwanza UKIMWI. Je kuna ukweli gani katika hili?
Mkuu, sio kweli mim nimepima mwezi huu tarehe 5 na natakiwa tarehe 5/3 nikachome sindano ya pili mim nilipima nikapata majibu nikaanza mchakato wa chanjo labda kama ni mpango wa serikali kupima kwa siri lakin mim sikuambiwa habari za HIV.
 
Sio lazima. Ni ushauri tu kupima yote kwa pamoja kwa vile njia zao za maambukizi zinafanana.
 
Back
Top Bottom