Mabadiliko nyumbani baada ya kurudi Safari - Jelly imetumika sana

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Messages
791
Points
1,000

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2017
791 1,000
Wakuu , nilikuwa safarini kwa wiki moja .Sasa nimerudi nimekuta mafuta yangu ya KY Jelly yametumika sana....na pale home nilimwacha kimada wangu na madogo flani . Ushauri wenu wakuu
 

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,467
Points
2,000

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,467 2,000
Aibuuu tumekuwa kama wakenya waloandamana kuhitaji lubricants.
Wanaume wenzangu ambao bado mnajitambua kama mimi Mungu awabariki sana timizeni wajibu wenu kama wanaume mpate baraka kwa kuwaridhisha wake zenu na wengine wanawake mtakao wahitaji kwa hiyari na amani.
 

Forum statistics

Threads 1,364,519
Members 520,767
Posts 33,319,029
Top