Search results

  1. CPA

    Mitsubishi Outlander 2022, mnyama Mpya Sokoni

    Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022 Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya Mitsubishi. Nissan walinunua baada ya ile skendo kubwa ya fuel economy scandal, ambayo Kampuni ya...
  2. CPA

    Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

    Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi. Sasa Urussi...
  3. CPA

    Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Commanding post ya Jeshi la ukraine mjini kyieve yenye wanajeshi wengi maafisa yajisalimisha kwa majeshi ya urusi. Wanajeshi hao 61, wamepatiwa huduma muhimu, kama chakula na matibabu toka kwa jeshi la urussi. Inasemekana wamejisalimisha baada ya kuishiwa chakula, risasi na siraha, hii ni moja...
  4. CPA

    Turbo inapandisha oil kwenye engine

    Turbo power ya gari inavujisha oil na kupandisha kwenye engine...je inaweza kurekebishika au ndio imekufa itolewe iwekwe nyingine? Je unaweza kutoa/ku-disconnect turbo na engine ya gari ikaendelea kufanya kazo?
  5. CPA

    Msaada juu ya hizi button kwenye gari

    Nimeambatanisha picha...icho chekundu, kilichoanfikwa MANU, POWER
  6. CPA

    Hili Bus la golden Deer T232DJQ, Mbeya -Tunduma Dereva Linyama ni shida

    Sijwahi kupanda hili basi, ila nimetokewa kuvutiwa na jinsi lilivyokuwa maarufu kwenye stand za mabus. ukienda vijiwe vya stand ukizungumzia ruti ya DSM-MBY -Tunduma , utatajiwa dereva linyama wa bus la golden Deer T232DJQ, maarufu kama Deer 232 (king of the road dsm -Mby -tunduma). ili basi...
  7. CPA

    RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

    Serikali mkoani Arusha imewataka wananchi na taasisi zinazoendelea kutoa rambirambi kwa familia za wanafunzi waliofariki katika ajali ya basi la wanafunzi kufuata taratibu zilizowekwa ili kuepusha migongano isiyo ya lazima. Aidha amesema serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza...
  8. CPA

    Mtifuano wa CHADEMA vs ACT ubunge wa EALA, Lissu awaambia ACT wasitumiwe na CCM

    Utaratibu mpya uliotangazwa unatoa nafasi kwa wabunge wa EALA kwa mwaka 2017 kulingana na idadi ya wabunge wa kila chama kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano. Kwa mujibu wa Mwongozo huo, kutokana na idadi ya wabunge wa vyama kwa kila chama, CCM imepata nafasi za wabunge sita kwenda EALA...
  9. CPA

    TRA yaidai tanesco bilioni 4/-

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) linadaiwa zaidi ya Sh bilioni 4 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) za kodi ya mitambo ya kuzalisha umeme iliyokwama katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutembelea mradi wa uzalishaji wa umeme wa gesi asilia...
  10. CPA

    Movies collection for sale

    kwa wale wapenzi wa movies, ninacollection za movies zaidi ya mia moja (ila sio bongo movies) kwa anahehitaji tuwasiliane bei ni nafuu tu, kuna series ya game of throne kuanzia season 1, narcos, power, game ya assassin creed III. kwa anayehitaji anipm
  11. CPA

    Movies collection

    kwa wale wapenzi wa movies, ninacollection za movies zaidi ya mia moja (ila sio bongo movies) kwa anahehitaji tuwasiliane bei ni nafuu tu, kuna series ya game of throne kuanzia season 1, narcos, power, game ya assassin creed III. kwa anayehitaji anipm
  12. CPA

    Magazeti mawili ya kampuni tofauti, kichwa cha habari kimoja

    leo nilikuwa napitia magazeti nikakutana magazeti 2 ya kampuni tofauti yanakuwa na kichwa cha habar kinachofanana, hii imekaaje? Pasco, jackton manyerere hii sio mambo ya kuharibiana soko
  13. CPA

    Mtaalamu wa tally

    Ewe mfanyabiashara mdogo na wakati ambae mahesabu yako unaweka kwenye daftari, huu ni mwaka wa mabadiliko, hamia kwenye system itakayo kutunzia mahesabu yako vizuri. Natoa training ya jinsi ya kutumia tally, nakuwekea tally kwenye laptop/computer yako, nakutengenezea charts za account...
  14. CPA

    Mtaalamu wa Tally: Natoa mafunzo na kukuwekea programu ya Tally kwenye Kompyuta yako

    Ewe mfanyabiashara mdogo na wakati ambae mahesabu yako unaweka kwenye daftari, huu ni mwaka wa mabadiliko, hamia kwenye system itakayo kutunzia mahesabu yako vizuri. Natoa training ya jinsi ya kutumia tally, nakuwekea tally kwente laptop yako, nakutengenezea chart za account, nakufanyia...
  15. CPA

    makala ya general ulimwengu - gazeti la rai mwema

    Magufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia? Jenerali UlimwenguToleo la 425 30 Sep 2015 KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho...
  16. CPA

    Mfanyakazi aliyemtesa mtoto wa miezi 18 uganda apatikana na hatia

    Hukumu yake kutolewa tar 10/12. Atafungwa jela miaka 18. Hii fundisho kwa watu wote wanaowatesa watoto wadogo. Ugandan maid admits beating toddler - Ugandan maid admits beating toddler BBC News - Uganda maid admits beating toddler after secret filming
  17. CPA

    BBC na mizengo pinda

    BBC imetoa habari kwamba waziri mkuu wa Tanzania ahusishwa tuhuma za rushwa. Ni kweli Pinda kosa lake ni rushwa au kutosimamia vizuri malipo ya escrow? Hapa BBC wamechemka.
  18. CPA

    TISS ya kipindi cha Nyerere ilizuia njama ya marekani kupindua serikali ya tanzania

    Katika pitapita zangu nimekutana na hiyo habar! Kumbe marekani ilitaka kuipindua serikali ya nyerere, Usalama wa taifa ikanyaka mawasiliano. Chezea TISS ya mwl nyerere Source;businesstimes
  19. CPA

    Dawa ya ebola inatibu wagonjwa Marekani tu

    Wale manesi wawili walioambukizwa ebola wamepona! Wameruhusiwa hospital na wameenda ikulu kuonana na Obama. Ukumbuke wameumwa sio zaidi ya wiki moja. Na ukumbuke huko nyuma kuna daktari mwingine aliambukizwa alitibiwa akapona. Ila yule mwafrika toka West Afrika aliyelazwa huko Marekani...
  20. CPA

    Suzuki swift

    Suzuki swift linauzwa! lipo kwenye hari nzuri halijawahi kupata hajali. km 150,000. 1320 cc . la 2004. ac, power window. airbag, CD player, FM radio. nimeshindwa Ku upload picture jf. linapatikana dar. bei ni 6,500,000/=. anaye hitaji ani pm.
Back
Top Bottom