kwa wale wapenzi wa movies, ninacollection za movies zaidi ya mia moja (ila sio bongo movies) kwa anahehitaji tuwasiliane bei ni nafuu tu, kuna series ya game of throne kuanzia season 1, narcos, power, game ya assassin creed III. kwa anayehitaji anipm