Dawa ya ebola inatibu wagonjwa Marekani tu

CPA

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
809
Reaction score
354
Wale manesi wawili walioambukizwa ebola wamepona! Wameruhusiwa hospital na wameenda ikulu kuonana na Obama.

Ukumbuke wameumwa sio zaidi ya wiki moja. Na ukumbuke huko nyuma kuna daktari mwingine aliambukizwa alitibiwa akapona. Ila yule mwafrika toka West Afrika aliyelazwa huko Marekani alikufa. Hawa raia wa Marekani wamepona.

Swali:
Kwanini wagonjwa wa ebola wa Marekani wanatibiwa na wanapona, ila wagonjwa wa Afrika wanakufa, tangu nimeanza kusikia huu ugonjwa huko West Africa sijawahi kusikia kuna mgonjwa kapona au Marekani wanayo dawa wanasubiria muda muhafaka waje kuuza kwa bei kubwa watengeneze super normal profit au wapo kwenye majaribio ya ugonjwa waliotengeneza?
 
Kuna watu wana bahati ndugu yangu, hao waliopona ni kati ya watu wenye bahati...
 
kuna bibi alipona na sasa anahudumia wagonjwa kwa kuwa hawezi kuugua tena.

familia yake ya watu 11 iliangamia yote.

hao wamarekani wa kwanza alitibiwa kwa dawa ya majaribio maana ilikuwa haijaidhinishwa rasimi kwa kuwa ilikuwa hatua za awali.

na wengi wapo wamepona sema hufatilii sawasawa.

pia mimi nahisi hii ni western biological propaganda kwa ajili ya kuiendesha afrika.

hii hofu inayotengenezwa inatuondolea kabisa uhuru wetu na kutufanya tuwategemee hawa jamaa na hapo ndo wanakuwa karibu na sisi kama marafiki kumbe ni majambazi yaleyale ya siku zote
 
naona na hili mnata kuliweka kisiasa

miss wangu,this is a political propaganda, hawa jamaa hujui tu wanatumia mbinu nyingi sana kuhakikisha kuwa wanaendelea kututawala. hata makundi yote ya uasi yanapewa msaada na haohao kwa ahadi ya kuwa karibu na hao wanyonyaji
 
Wale manesi wawili walioambukizwa ebola wamepona! Wameruhusiwa hospital na wameenda ikulu kuonana na Obama.

Ukumbuke wameumwa sio zaidi ya wiki moja. Na ukumbuke huko nyuma kuna daktari mwingine aliambukizwa alitibiwa akapona. Ila yule mwafrika toka West Afrika aliyelazwa huko Marekani alikufa. Hawa raia wa Marekani wamepona.

Swali:
Kwanini wagonjwa wa ebola wa Marekani wanatibiwa na wanapona, ila wagonjwa wa Afrika wanakufa, tangu nimeanza kusikia huu ugonjwa huko West Africa sijawahi kusikia kuna mgonjwa kapona au Marekani wanayo dawa wanasubiria muda muhafaka waje kuuza kwa bei kubwa watengeneze super normal profit au wapo kwenye majaribio ya ugonjwa waliotengeneza?

Hili nalo neno mazeeee!
 
miss wangu,this is a political propaganda, hawa jamaa hujui tu wanatumia mbinu nyingi sana kuhakikisha kuwa wanaendelea kututawala. hata makundi yote ya uasi yanapewa msaada na haohao kwa ahadi ya kuwa karibu na hao wanyonyaji

Sawa MASHINGA
 
Last edited by a moderator:
Hapana miss, nauliza tu maana watu wanaangamia west africa sasa hivi watu waliokufa imefikia zaidi ya elfu 5. Niliona kwenye habar kunamtoto familia yake yote wamekufa kwa ebola. Kwa nini hiyo dawa wasipewe liberia?

Ni kweli mkuu sijui kwa nini?
 
Na watuue wote tumechoka sasa ugonjwa unatokea Africa dawa america dah
 
Mkuu CPA, hili mimi nililihisi baada tu ya kufa yule jamaa mweusi kutoka west africa! Nilihisi kabisa jamaa walimpa dawa isiyo ya uhakika ili afe i-discourage wagonjwa wa kiafrica ku-flow kwenda huko US kwa ajili ya matibabu kwa kuhofu kusambaza gonjwa mpaka huko! Na hii inawezekana kufanya hivyo kwa sababu ni ngumu kuwakataza watu kwenda huko!
 
Hii kitu ngumu kumeza! Mi naamini dawa. We fikiria ndani ya wiki wote wamepona kwa pamoja na afya yao ile ile..duuu africa itabaki kuwa africa
 
Last edited by a moderator:
Chriss brown alisha waonyesha njia ya kutokea sijui mnataka tena nini!

I don't know ... But I think this Ebola epidemic is a form of population control. Shit is getting crazy bruh.
 
Back
Top Bottom