Mtaalamu wa tally

Mtaalamu wa tally

CPA

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
809
Reaction score
354
Ewe mfanyabiashara mdogo na wakati ambae mahesabu yako unaweka kwenye daftari, huu ni mwaka wa mabadiliko, hamia kwenye system itakayo kutunzia mahesabu yako vizuri.

Natoa training ya jinsi ya kutumia tally, nakuwekea tally kwenye laptop/computer yako, nakutengenezea charts za account, nakufanyia configuration kwa bei raisi tu! Karibu.

Napatikana DSM, atakaye nihitaji ani pm
 
Back
Top Bottom