Msaada juu ya hizi button kwenye gari

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Nimeambatanisha picha...icho chekundu, kilichoanfikwa MANU, POWER
 
Attachments

  • 20180419_142258.jpg
    20180419_142258.jpg
    169.1 KB · Views: 383
Manu: hii kama una opt kuendesha gari kwa mfumo wa manual....yaan badala ya gar kuigiza gia automatic utaipangia wewe mwenyewe.

Power; hii utabinyeza pale unapoona mazingira ya barabara yanaitaji gari iwe na nguvu kuweza kupitika hasa gari inapokwama kwenye tope na kwenye mchanga au unapopanda mlima.
Asante umetufungua wengi
 
Mkuu unapo bonyezs izo button gari inabid iwe kwenye condition ipi? Mfano neutral au parking au unaweza bofya while gari linatembea. Au vp tupe conditions pls
 
ECT PWR - Haiongezi kasi wala nguvu ila husaidia ku adjust level za gia kulingana na mzigo unao bebwa na gari.
Inaishikilia gari kwenye gia ndogo lakini rpm kubwa.
Mfano unaendesha 120km/h kisha ukakutana na mlima mkali, ukibonyeza PWR engine itaongeza mzunguko kisha gari itarudi gia mbili nyuma na gari itamaintain msukumo ule ule ulikuja nao au chini kidogo ya pale.

NB :Matumizi ya hii button haina Madhara kwa gari.

Kwa MANU hii button inakupa uwezo wa kuendesha gari automatic kama manual mfano unaanzia kwenye L kisha una bonyeza MANU ina iloki gearbox kwenye hiyo gia,ikitembea itadai gia utapeleka kwenye 1,2, hadi D kulingana na aina ya mfumo wako.
Mfano ulikua unaendeshwa gari kwa 80km/h ukibonyeza hii button hata ukiachia mafuta gari itaendelea kua kwenye rpm hiyo hiyo.
Matumizi yake itumie ukiwa una overtake au unapanda vilima vikali.

Onyo:Ukiitumia MANU ovyo bila kujua Inatumikaje utaua engine yako.
Hasa hasa camshaft.
 
asante kwa maelezo mazuli mm nilikuwa celewi hiyo manu bt nina swali hapo gari ni automatic vp utaipangia iingie kwenye manual wakat ni auto na inahiyo button ya manu
 
Manu: hii kama una opt kuendesha gari kwa mfumo wa manual....yaan badala ya gar kuigiza gia automatic utaipangia wewe mwenyewe.

Power; hii utabinyeza pale unapoona mazingira ya barabara yanaitaji gari iwe na nguvu kuweza kupitika hasa gari inapokwama kwenye tope na kwenye mchanga au unapopanda mlima.

Shukran mkuu, vp kuhusu hicho kibutton chenye rangi nyekundu...maana hakina maelezo bali kiwekwa rangi nyekundu tu
 
ECT PWR - Haiongezi kasi wala nguvu ila husaidia ku adjust level za gia kulingana na mzigo unao bebwa na gari.
Inaishikilia gari kwenye gia ndogo lakini rpm kubwa.
Mfano unaendesha 120km/h kisha ukakutana na mlima mkali, ukibonyeza PWR engine itaongeza mzunguko kisha gari itarudi gia mbili nyuma na gari itamaintain msukumo ule ule ulikuja nao au chini kidogo ya pale.

NB :Matumizi ya hii button haina Madhara kwa gari.

Kwa MANU hii button inakupa uwezo wa kuendesha gari automatic kama manual mfano unaanzia kwenye L kisha una bonyeza MANU ina iloki gearbox kwenye hiyo gia,ikitembea itadai gia utapeleka kwenye 1,2, hadi D kulingana na aina ya mfumo wako.
Mfano ulikua unaendeshwa gari kwa 80km/h ukibonyeza hii button hata ukiachia mafuta gari itaendelea kua kwenye rpm hiyo hiyo.
Matumizi yake itumie ukiwa una overtake au unapanda vilima vikali.

Onyo:Ukiitumia MANU ovyo bila kujua Inatumikaje utaua engine yako.
Hasa hasa camshaft.

Shukran mkuu, vp kuhusu hicho kibutton chenye rangi nyekundu (angalia kwenye picha hapo juu)...maana hakina maelezo bali kiwekwa rangi nyekundu tu
 
L mie uwa natumia kwenye matope nilifundishwa hivyo na sijawahi kukwama matopeni
 
asante kwa maelezo mazuli mm nilikuwa celewi hiyo manu bt nina swali hapo gari ni automatic vp utaipangia iingie kwenye manual wakat ni auto na inahiyo button ya manu
Button ya MANU imewekwa kwenye gari automatic ili kumpa Dereva option ya kuendesha gari yake kama manual.
The minute ukipress hiyo button tayari wewe una kua una amua engagement ya gia.
 
Shukran mkuu, vp kuhusu hicho kibutton chenye rangi nyekundu (angalia kwenye picha hapo juu)...maana hakina maelezo bali kiwekwa rangi nyekundu tu
Hiyo ni lock ya gear shift stick.
Ukiibonyeza inaruhusu gear stick tembee... Hebu jaribu then leta mrejesho ili tujifunze zaidi.
 
Sorry vpi kuhusu ile ya over drive inatakiwa iwake au iwe imezima kwenye dashboard?
Inatakiwa isionekane kwenye dashboard (hapo inakuwa ON). Iweke off (kwenye dashboard itaonekana O/D OFF) hasa unapotaka ku overtake, gari hupata power ndani ya muda mfupi)
 
Back
Top Bottom