mnyama

Asperoris is an extinct genus of archosauriform reptile known from the Middle Triassic Manda Beds of southwestern Tanzania. It is the first archosauriform known from the Manda Beds that is not an archosaur. However, its relationships with other non-archosaurian archosauriforms are uncertain. It was first named by Sterling J. Nesbitt, Richard J. Butler and David J. Gower in 2013 and the type species is Asperoris mnyama. Asperoris means "rough face" in Latin, referring to the distinctive rough texture of its skull bones.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mnyama aliyeishi miaka milioni 240 iliyopita agundulika Tanzania

    NB: Translation ya baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika Dinosaria- Dinasours 🦕 Visukuku- Fossils 🦴 Wanasayansi wamegundua spishi mpya ya mnyama wa kale aliyeishi takribani miaka milioni 240 iliyopita. Kiumbe huyo aliyekula mimea, aliyepewa jina la Dinodontosaurus isiyavamanda...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wallah Simba akishinda leo nipigwe ban ya week nzima. Nimetizama Mnyama kaliwa

    Azam ni moja ya Team kali sana kwa sasa. Ina Kocha ambaye pia ni rafiki yetu Yanga. Anajua kuwa Mikia ni maadui zetu Leo Mikia wakijitahidi sana ni Draw. Hashindi. Labda ashinde njaa mbwa huyo. Azam wametoka kumaliza hii game kwa mtaalamu wetu wa siku zote ambaye anazuia sisi Wananchi...
  3. Kigongoi kwetu

    JamiiForums Tanzania Unyama wa Mwanadamu: Ukatili na Madhara Yake

    Kama ni kweli kabisa binadamu anaweza kumteka mwenzie kwa sababu kamkosoa au ametofautiana nae katika hoja na mawazo tofauti nakuamua kumuua; huyo ni MNYAMA. Kama ni kweli mwanadamu anashindana na kikundi kingine lakini alie kwenye kiti anatumia vyombo vyenye silaha kumwaga damu na wakati...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huyu mnyama Elephant Shrew anapatikana wapi Tanzania?

    Na anaitwaje kwa kiswahili? Ana dili gani?
  5. bless on

    JamiiForums Tanzania Chapa ya mnyama unabii na pesa za kidijitali

    Miaka ile wakati nasoma Biblia ikiwa imeandika kwamba siku hizo hutouza wala kununua kitu mpaka uwe na chapa ya mnyama nikawa nashangaa sana. How? Tunaenda sokoni, dukani, tunanunua mahitaji yetu, sasa hii chapa ya mnyama itatumikaje? Nikaona ebu tusubiri labda ni nyakati ambazo sisi tutakuwa...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Platypus mnyama wa ajabu zaidi, duniani. Anataga, ananyonyesha na anaishi majini

    Platypus ni mnyama wa kipekee sana anayepatikana porini mashariki mwa Australia na kisiwa cha Tasmania. Platypus Ni mmoja wa mamalia wachache duniani wanaotaga mayai badala ya kuzaa watoto hai. Platypus ni wa kundi la mamalia linaloitwa monotremes, ambalo pia linajumuisha Short-beaked Echidna...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Mnyama gani humpendi?

    I don't like bat
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukikataliwa na Mungu unakosa sifa zote za ubinadamu, unakuwa mnyama si mnyama, ndege si ndege na watu wanakususa!

    Kuna mtu kakataliwa na Mungu aliyemuumba, Mungu anatumia umma kumwadhibu, Farao yule wa Misiri, alifanywa moyo wake kuwa mgumu ili aendelee na ushetani wake ili aje kujionea ukuu wa Mungu kwa macho yake, ndivyo ilivyo sasa katika nchi Fulani, mtu huyo katiwa ugumu wa moyo ili aone ni sawa kwa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kombe la CRDB: TRA United yaangukia kwa Mnyama, Yanga ikipelekwa jeshini

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu wa 2025/2026, ambapo vigogo wa soka nchini wamepangiwa vibarua vizito mwezi Mei. Katika ratiba hiyo, klabu ya Simba SC itakuwa mwenyeji wa TRA United ya Chobwedo...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nchi ilipofika mnyama wa serengeti analindwa vizuri kuliko raia

    CCM imeifikisha nchi sehemu mbaya sana, kwa sasa raia unawindwa kama paka na ukipatikana unapigwa kama mbwa mwizi na kuteswa ikiwezekana uuwawe kabisa. Why ? Ni hawa matajiri wanafanya haya? Au vigogo wanaopora haki za raia wa kawaida ? Inahitaji kuandamana hadi viongozi watusikie?
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mazingira yetu: Kati ya mnyama na binadamu, nani hatunzi mazingira?

    Tusipochukua hatua sasa. Tutaimaliza hii dunia wenyewe.. Kwako unaona ni mrija mmoja, amazing chupa moja ama kipande kimoja! Lakini umeshawahi kuwaza mkiwa 100,200 1000 na zaidi?
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wachinjanji wa wanyama, si busara kuchinja mnyama wengine wakiangalia mwenzao akichinjwa

    Nimesikitika sana kuona unyama wanaofanyiwa wanyama na wachinjaji wa Ng'ombe. Nimeona jamaa wakichinja huku Ng'ombe wengine wakiangalia ajabu kuna Ng'ombe walikuwa wanahalisha na kulia machozi kabisa wengine wakikojoa. Hakika nimejifunza kitu siku zote nilijua wanyama hawana akili kumbe wanazo...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Soon Diadora na Simba wanahamia kwenye raba. Mpo tayari?

    Mdogo mdogo tunatoa vyombo vya kiulayaulaya. Niliwahi kuwaambia Italy ndiyo Mecca ya fashion na kamwe hawatoi vitu vibovu. Baada ya kuwaonjesha jezi moja tu tena imevaliwa na mchezaji mmoja, nchi nzima imezizima inaongelea huo uzi. Hakukuhitajika sijui video za Amapiano, sijui warembo...
  14. ephen_

    JamiiForums Tanzania Mzazi: Mnyama wa ajabu aitwaye upendo wa kweli

    Nyuma ya mtoto aliye imara kuna mzazi aliyepambana kimyakimya. Naona wazazi ni watu wanaotakiwa kuheshimiwa sana. Si kwa sababu tu wanatulea, bali kwa sababu ya uzito wa jukumu walilobeba tangu siku ya kwanza tulipoingia duniani. Uzazi sio tu tendo la kuleta kiumbe hai, bali ni safari ya maisha...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mnyama anaua mara moja binadamu anaua mara tatu

    Tumewapa wanyama hadhi ya uhayawani kwakuwa hawana utashi wa kibinadamu... Lakini nina hakika tumewaonea Sana Mnyama anaua tu pale anapohisi hatari kubwa na anafanya hivyo kwa njia ya kujitetea.. Akipata nafasi hukimbia.. Hana kisasi Mnyama anaua tu pale anapoumwa njaa ili apate chakula. Na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge anasakwa kama mnyama, bunge limekaa kimya!, nini tafsiri yake?

    Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!. Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Suala la CAS sisi Yanga tutakunywa Soup tu Nyama ya huyu Mnyama ni Kharamu

    Mi nadhani ni wakati sasa Yanga tususie Ligi nzima ikiwa ni kweli tunaona kuna uonevu katika hii Ligi ambayo inaongozwa na TFF na Board ya Ligi. Toka amekuwa Rais huyu jamaa Yanga hatujawahi fanikiwa katika Ligi. Miaka yote Simba wanapewa Ubingwa. Hata Makombe mengine wanabeba Simba tu. Tunaona...
  18. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Tujiburudishe na vichekesho: Mpe ex wako jina la bidhaa, kampuni, mnyama au eneo!

    Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu. Naanza: Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat. Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu. Nike - kila muda alikua anataka we “just do it”. Kunguru - alikua mweusi...
  19. Shobi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi inaongoza kwa kuwa na wengi Simba Duniani, Kwanini waliweka mnyama mpole kwa Twiga kuwa Nembo

Back
Top Bottom