RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CPA, May 19, 2017.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Serikali mkoani Arusha imewataka wananchi na taasisi zinazoendelea kutoa rambirambi kwa familia za wanafunzi waliofariki katika ajali ya basi la wanafunzi kufuata taratibu zilizowekwa ili kuepusha migongano isiyo ya lazima. Aidha amesema serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga likiwemo la vifo vya wanafunzi na amesisitiza umuhimu wa kila mmoja kufuata sheria taratibu na maelekezo yanayotolewa na serikali.
  [​IMG]

  Chanzo: www.mitandaoni.co.tz
   
 2. Mussolin5

  Mussolin5 JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2017
  Joined: Apr 23, 2015
  Messages: 17,233
  Likes Received: 61,151
  Trophy Points: 280
  Team Rambirambi
   
 3. fakalava

  fakalava JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2017
  Joined: Jul 16, 2015
  Messages: 4,238
  Likes Received: 5,391
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo siku hizi Serikali inaratibu misiba?
   
 4. d

  dagii JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2017
  Joined: Dec 23, 2013
  Messages: 3,176
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Saaafisana
   
 5. GOOGLE

  GOOGLE JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2017
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 1,878
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Ameongea vizuri sana kama kiongozi wa mkoa! Tatizo la watanzania ni wavivu wa kufikiri siasa hata pasipohitajika na hiyo shule kama ana uwezo aifutie usajiri wake wajinga sana.
   
 6. Manjagata

  Manjagata JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2017
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 4,241
  Likes Received: 1,780
  Trophy Points: 280
  Eti ndo watu wanasema vijana wapewe madaraka!! Upumbavu mtupu. Ina maana watu kutoa rambi rambi imekuwa siasa? Serikali inapewa michango yenyewe inawapiga panga waathirika kwa nini tuendelee kupitishia michango yetu huko? Ujinga wa kiwango cha PhD huu!!
   
 7. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 981
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 180
  Tunaomba kipengele cha kutoka rambirambi kipo ktk kifungu kipi cha sheria za tz au ktk katiba? Naona sasa tutashindwa hata kufarijiana ktk misiba au misiba mmeamua kugeuza mradi wa kitaifa?
   
 8. kisu cha ngariba

  kisu cha ngariba JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 21,122
  Likes Received: 45,930
  Trophy Points: 280
  Mla rambirambi
   
 9. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22,525
  Likes Received: 13,743
  Trophy Points: 280
  Serikali inaratibu kila kitu
   
 10. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22,525
  Likes Received: 13,743
  Trophy Points: 280
  mbona hamjaenda kulilia mic kwenye msiba wa walioangukiwa na miti
   
 11. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22,525
  Likes Received: 13,743
  Trophy Points: 280
  unatoa rambi rambi huku ukiwa na waandishi?
   
 12. Mbulu

  Mbulu JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2017
  Joined: Apr 15, 2015
  Messages: 4,542
  Likes Received: 4,180
  Trophy Points: 280
  Halafu dereva anataka aombewe,Mungu hadhihakiwi
   
 13. Miss Natafuta

  Miss Natafuta JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2017
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 19,051
  Likes Received: 31,561
  Trophy Points: 280
  rambirambi kumbe zinapangiwa na serikali siku hizi?
   
 14. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2017
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 11,112
  Likes Received: 10,447
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa mkoa gari iliyoua haikuwa na Bima tusadie waliofiwa na majeruhi kulipwa fidia na Mumiliki wa shule tunaomba libebe hili baba
   
 15. Root

  Root JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2017
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,955
  Likes Received: 13,785
  Trophy Points: 280
  Mwisho wako mbaya sana
   
 16. Manjagata

  Manjagata JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2017
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 4,241
  Likes Received: 1,780
  Trophy Points: 280
  Ina maana TAMONGSCO siku hizi hawaruhusiwi kwenda na wandishi wa habari wanapoenda kumfariji mwenzao? Ina maana kwenye misiba wandishi hawaruhusiwi?
   
 17. B

  Bekabundime JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2017
  Joined: Aug 6, 2014
  Messages: 1,678
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio mvivu wa kufikiria na pia naona ni Bashite,toka lini serikali ikaingilia mambo binafsi ya wananchi tena kama rambirambi kama upuuzi huu
   
 18. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22,525
  Likes Received: 13,743
  Trophy Points: 280
  kwenye kitoa rambirambi!
   
 19. B

  Bekabundime JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2017
  Joined: Aug 6, 2014
  Messages: 1,678
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa kuwapa madaraka vijana ni kujenga chuki na upuumbavu tu,wengi hawana busara zaidi visasi na ubishoo.
   
 20. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2017
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,003
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Nyani haoni kundule
   
Tags:
Loading...