Movies collection for sale

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
kwa wale wapenzi wa movies, ninacollection za movies zaidi ya mia moja (ila sio bongo movies) kwa anahehitaji tuwasiliane bei ni nafuu tu, kuna series ya game of throne kuanzia season 1, narcos, power, game ya assassin creed III. kwa anayehitaji anipm
 
soft copy, agent x ninayo, bei ni elfu 20,000/= ila kwa member ya JF nawafanyia elfu 10 tu ukihitaji na series inakuwa elfu 15 tu BABU KIDUDE
 
war room ninayo hizo zingine sina kwa sasa ila ila ukihitaji kufika j3 utapata
 
Back
Top Bottom