wajisalimisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Makamanda kadhaa wa HAMAS wajisalimisha kwenye hospitali ya Shifa

    Huwa mnaambiwa mjitoe mhanga ili muwahi mabikira 72, ila makamanda wanaogopa kufa wanakamatwa hai.... The IDF announced on Thursday that in its four-day operation in Shifa Hospital in northern Gaza, it has now killed around 140 terrorists from Hamas and Islamic Jihad, as well as arrested around...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  3. L

    Jeshi la Ethiopia lasema washukiwa 233 wa uasi wajisalimisha

    Jeshi la Ulinzi wa Taifa la Ethiopia (ENDF) limesema kuwa washukiwa 233 wa uasi kutoka kikosi cha ukombozi wa Oromo (OLA) wamejisalimisha katika siku za karibuni. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari ENDF limesema, washukiwa wengine watano wa uasi wa OLA wamekamatwa na wengine 44...
  4. S

    Russia yafanya kufuru Ukraine, wanajeshi 1,730 wa Ukraine na wa nchi za NATO wajisalimisha kwa majeshi ya Russia huko Azovstal, Mariupol

    Muda umewadia wa ukweli kujulikanwa na uongo wa Zelensky, NATO na vyombo vya habari vya kimagharibi kuanikwa. Baada ya Zelensky, NATO na vyombo vya habari vya kimagharibi kuzungumza uongo kwa muda mrefu kuwa Zelensky anashinda vita mitandaoni, hatimaye wameanza kuumbuka. Mpaka leo hii...
  5. S

    Video: Wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 900 waliojificha Azovstal, Mariupol wajisalimisha kwa majeshi ya Russia

    Russia imesema wanajeshi wa Ukraine mia tisa na hamsini na tisa (959) waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol wamesalimu amri hadi kufikia jana (juma nne). Kati ya hao 959, wnajeshi 80 walikuwa wamejeruhiwa na kati yao 51 walipelekwa hospitali iliyo chini ya...
  6. CPA

    Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Commanding post ya Jeshi la ukraine mjini kyieve yenye wanajeshi wengi maafisa yajisalimisha kwa majeshi ya urusi. Wanajeshi hao 61, wamepatiwa huduma muhimu, kama chakula na matibabu toka kwa jeshi la urussi. Inasemekana wamejisalimisha baada ya kuishiwa chakula, risasi na siraha, hii ni moja...
  7. J

    Manyara: Ngariba 37 wajisalimisha, wakabidhi visu vya kukeketea

    Katibu Tawala Mkoa wa Manyara, Caroline Mtapula amewataka mangariba katika Wilaya ya Simanjiro kuacha kukeketa watoto wa kike na kuwaozesha wakiwa katika umri mdogo kwani wanahaki ya kupata elimu, ni haki ya kila mtoto kike kupata elimu. Mtapula amesema kuwa mtoto wa kike anayestahili kwenda...
  8. Analogia Malenga

    Maelfu ya wanamgambo wa Boko Haram wajisalimisha Nigeria

    Jeshi la Nigeria linasema karibu wanamgambo 6000 wa Boko Haram wakiwemo makamanda , wapiganaji na familia zao wamejisalimisha kwa mamlaka katika muda wa wiki chache zilizopita. Cameroon pia ilikuwa imetangaza kujisalimisha kwa mamia ya ya wanamgambo Boko Haram nchini humo hivi karibuni. Jeshi...
Back
Top Bottom