Hili Bus la golden Deer T232DJQ, Mbeya -Tunduma Dereva Linyama ni shida

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Sijwahi kupanda hili basi, ila nimetokewa kuvutiwa na jinsi lilivyokuwa maarufu kwenye stand za mabus. ukienda vijiwe vya stand ukizungumzia ruti ya DSM-MBY -Tunduma , utatajiwa dereva linyama wa bus la golden Deer T232DJQ, maarufu kama Deer 232 (king of the road dsm -Mby -tunduma). ili basi limekuwa gumzo kwenye mitandoni. Kwa wale waliopanda hilo basi tupeni habari zake..Huyu dereva Linyama ni kijana au mtu mzima maana ukienda ubungo stand kila mtu linyama linyama Linyama wa golden Deer.

Hivi golden Deer na New force ni kampuni mbili tofauti au ni kampuni ndani ya kampuni?

upload_2017-12-9_16-6-40.png

hiyo ni muda wa basi uliofika ipogolo- Iringa toka Dsm..wa kwanza Deer 232DJQ dereva Linyama
upload_2017-12-9_16-8-47.png

hilo ndio basi lenyewe
upload_2017-12-9_16-9-47.png

hapo tena Deer akichanja mbuga wengine wakifuata Dereva Linyama
 
Attachments

  • Screenshot_20171209-153456.png
    Screenshot_20171209-153456.png
    95.9 KB · Views: 87
  • Screenshot_20171209-153803.png
    Screenshot_20171209-153803.png
    432.8 KB · Views: 87
  • Screenshot_20171209-154944.png
    Screenshot_20171209-154944.png
    54.4 KB · Views: 85
Ni Mshkaji flani hivi ana mwili mwili... Kuna picha zake kule insta kwenye page hiyo hiyo uliyoscreen shot...
 
Huyu jamaa nimesikia amekata moto juzi kati kwa ajali
Siyo yy...linyama amezaliwa kwenye familia ya udereva..kuanzia baba mpaka watoto wotee...maisha yao yote wameshinda stendi tena wakiwa wadogo kabisaa...kipindi hicho marehemu mzee kimbunga ni dereva wa gari katika vyama vya wakulima..Tanganyika Farmers Assocition..(TFA)..,hivyo watoto walipenda sana fani ya baba yao...so walipomaliza tu la saba wakawa makondakta wa daladala then wakawa madereva humo humo..nakumbuka mwaka 2000 linyama mi napendaga kumuita waubani...na wenzie walituletea fujo yaan sis tumetoka home na hiace ya mashua na mshua yumo ndan ya hiace yake ingawa sio dereva...sasa basi ruti ya gar ya mshua inaanzia kilometa kama 5 kutoka home caz gar ilikuwa inalala home...so hairusiw kupakia abiria mpaka ifike kwenye kituo chake...sasa sisi tupo mbele na wakina linyama wapo nyuma ..linyama kutuona akazan tunapakia abiria akatufukuza sana afu akaja kutublock kwa mbele...mshua akatoa amri vijana shuken washulikien hao...dah zikapigwa ngum haswa mi hapo ni chalii tu naangalia..afu ugomvi ukasiz caz gar ya kina linyama ilikuwa na abiria so walikuwa wanalalamika wanachelewa...kipind hicho ruti hyo nauli watu wazima ni 150Tsh. Wanafunzi 50Tsh.na lita ya mafuta ni 550Tsh. Tukafika town mzee hakuridhika chukua linyama ndani...baada ya kama masaa 2 hiv mzee wake wanafahamiana na mzee wakaongea wakayamaliza...linyama akatolewa na baada kama ya miez michache akaja kuwa dereva wetu...

Kwa udereva wa linyama nikimuongelea kwenye haya mabasi kama una roho nyepes huwez panda...niseme tu linyama anafanya kitu anacho kipenda na ndio kilio mkuza...ana mudu vizur sana udereva na ndio kaz anayo ijua tokea akiwa kijana mdogo kabisaa...ile New Force DPK ya Tunduma anaichapa moto haswa...nimeipanda mara nying sana....kuna muda anamkalisha Saul (scania) kitu ambacho sio cha kawaida..

Juzi juzi akawa maarufu sana...kutokana na memez kwenye mitandao ya simu ikimuonesha mwili wake...ndan ya usukan huku akisema ndugu abiria...na vibaadhi vya maneno maneno huko tik tok kupelekea mpaka baadhi ya makampuni kuingizia baadh ya vimaneno kwa ajili ya kustawisha biashara yao..,

Kuna kampuni moja ya bima ikapachika memez ndugu abiria kampuni ya basi hili lina bima yetu ..,,,na hapo jamaa nusu kibarua kiote nyas caz New force ina hubia na kampun nyingine ya bima...so ile kampun ika report kwa new force iweje mnamtumia dereva wenu kupaisha kampuni nyingine ya bima...basi wauban kuhojiwa akasema yy hajui chochote...ndio jamaa akatafuta mwanasheria kuifungulia mashtaka ile kampuni...kesi ikaunguruma mahakama ya kinondoni...hukumu imekuja kutoka juz hapa...mahakama imeamuru..waubani(linyama) alipwe mil 150...hivyo jamaa kashakuwa milionea.

Cha kujifunza katika haya maisha...Mungu hukuinua wakati sahihi...kikubwa ni kufanya kaz kwa bidii bila kukataa tamaa...kwanza penda unachokifanya hata kama kina maslah madogo...linyama yupo kwenye industry ya magar zaid ya miaka 20....lakin mwez mmoja tu umeamua awe nan...

Huyo ndio mwamba wa kusini...waubani linyama...ana kaka yake huyo anaitwa pongolani...nae ni shidaa...sema kwa sa hiv yy yupo kwenye malori...
 
Mzee unaandika balaa, ila ishu ya bima nikweli kashinda kesi ila alikuwa kashatoka new force kitambo yupo sauli
 
Asante kwa taarifa mkuu...nimekuwa nao nawafaham...hongera sana kwake yule jamaa makampuni yatampenda tuu..anajua kukichezea chombo haswa...na sio bahati mbaya...anapenda anachokifanya na dingi yake aliwakuza kwenye mazingira hayo so experience ina mbeba sana..
 
Siyo yy...linyama amezaliwa kwenye familia ya udereva..kuanzia baba mpaka watoto wotee...maisha yao yote wameshinda stendi tena wakiwa wadogo kabisaa...kipindi hicho marehemu mzee kimbunga ni dereva wa gari katika vyama vya wakulima..Tanganyika Farmers Assocition..(TFA)..,hivyo watoto walipenda sana fani ya baba yao...so walipomaliza tu la saba wakawa makondakta wa daladala then wakawa madereva humo humo..nakumbuka mwaka 2000 linyama mi napendaga kumuita waubani...na wenzie walituletea fujo yaan sis tumetoka home na hiace ya mashua na mshua yumo ndan ya hiace yake ingawa sio dereva...sasa basi ruti ya gar ya mshua inaanzia kilometa kama 5 kutoka home caz gar ilikuwa inalala home...so hairusiw kupakia abiria mpaka ifike kwenye kituo chake...sasa sisi tupo mbele na wakina linyama wapo nyuma ..linyama kutuona akazan tunapakia abiria akatufukuza sana afu akaja kutublock kwa mbele...mshua akatoa amri vijana shuken washulikien hao...dah zikapigwa ngum haswa mi hapo ni chalii tu naangalia..afu ugomvi ukasiz caz gar ya kina linyama ilikuwa na abiria so walikuwa wanalalamika wanachelewa...kipind hicho ruti hyo nauli watu wazima ni 150Tsh. Wanafunzi 50Tsh.na lita ya mafuta ni 550Tsh. Tukafika town mzee hakuridhika chukua linyama ndani...baada ya kama masaa 2 hiv mzee wake wanafahamiana na mzee wakaongea wakayamaliza...linyama akatolewa na baada kama ya miez michache akaja kuwa dereva wetu...

Kwa udereva wa linyama nikimuongelea kwenye haya mabasi kama una roho nyepes huwez panda...niseme tu linyama anafanya kitu anacho kipenda na ndio kilio mkuza...ana mudu vizur sana udereva na ndio kaz anayo ijua tokea akiwa kijana mdogo kabisaa...ile New Force DPK ya Tunduma anaichapa moto haswa...nimeipanda mara nying sana....kuna muda anamkalisha Saul (scania) kitu ambacho sio cha kawaida..

Juzi juzi akawa maarufu sana...kutokana na memez kwenye mitandao ya simu ikimuonesha mwili wake...ndan ya usukan huku akisema ndugu abiria...na vibaadhi vya maneno maneno huko tik tok kupelekea mpaka baadhi ya makampuni kuingizia baadh ya vimaneno kwa ajili ya kustawisha biashara yao..,

Kuna kampuni moja ya bima ikapachika memez ndugu abiria kampuni ya basi hili lina bima yetu ..,,,na hapo jamaa nusu kibarua kiote nyas caz New force ina hubia na kampun nyingine ya bima...so ile kampun ika report kwa new force iweje mnamtumia dereva wenu kupaisha kampuni nyingine ya bima...basi wauban kuhojiwa akasema yy hajui chochote...ndio jamaa akatafuta mwanasheria kuifungulia mashtaka ile kampuni...kesi ikaunguruma mahakama ya kinondoni...hukumu imekuja kutoka juz hapa...mahakama imeamuru..waubani(linyama) alipwe mil 150...hivyo jamaa kashakuwa milionea.

Cha kujifunza katika haya maisha...Mungu hukuinua wakati sahihi...kikubwa ni kufanya kaz kwa bidii bila kukataa tamaa...kwanza penda unachokifanya hata kama kina maslah madogo...linyama yupo kwenye industry ya magar zaid ya miaka 20....lakin mwez mmoja tu umeamua awe nan...

Huyo ndio mwamba wa kusini...waubani linyama...ana kaka yake huyo anaitwa pongolani...nae ni shidaa...sema kwa sa hiv yy yupo kwenye malori...
Una kipaji cha kuandika mkuu
 
Alitesa miaka hiyo kabla Sauli hajaja kutia kitumbua mchanga.
Mkuu hpa naongelea issue ya udereva...kama ni ligi linyama anaijua haswa...tukija kwenye mifumo na uwezo wa chombo...New force ni underdog kwa Saul hyo haina ubishi...swala linakuja namna ya kukichezea hicho chombo na hapa hakuna ubishi linyama yupo vizur...
 
Back
Top Bottom