CPA JF-Expert Member Mar 1, 2011 809 354 Apr 22, 2018 #1 Turbo power ya gari inavujisha oil na kupandisha kwenye engine...je inaweza kurekebishika au ndio imekufa itolewe iwekwe nyingine? Je unaweza kutoa/ku-disconnect turbo na engine ya gari ikaendelea kufanya kazo?
Turbo power ya gari inavujisha oil na kupandisha kwenye engine...je inaweza kurekebishika au ndio imekufa itolewe iwekwe nyingine? Je unaweza kutoa/ku-disconnect turbo na engine ya gari ikaendelea kufanya kazo?
D domopana Member Jul 29, 2017 17 5 Apr 22, 2018 #2 hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu
hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu
CPA JF-Expert Member Mar 1, 2011 809 354 Apr 22, 2018 Thread starter #3 domopana said: hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu Click to expand... Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani?
domopana said: hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu Click to expand... Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani?
D domopana Member Jul 29, 2017 17 5 Apr 22, 2018 #4 itakuwa haina nguvu na itatoa moshi mwingi sana.ni aina gani ya gari??
stickvibration JF-Expert Member Feb 7, 2017 3,227 5,132 Apr 22, 2018 #5 CPA said: Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani? Click to expand... Ndio utaimaliza kabisa engine Ipaki tu kwanza hio gari siku ukipata nguvu nunua turbo ingine uweke
CPA said: Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani? Click to expand... Ndio utaimaliza kabisa engine Ipaki tu kwanza hio gari siku ukipata nguvu nunua turbo ingine uweke
CPA JF-Expert Member Mar 1, 2011 809 354 Apr 22, 2018 Thread starter #6 domopana said: itakuwa haina nguvu na itatoa moshi mwingi sana.ni aina gani ya gari?? Click to expand... Toyota Hilux 1KZ
domopana said: itakuwa haina nguvu na itatoa moshi mwingi sana.ni aina gani ya gari?? Click to expand... Toyota Hilux 1KZ
Shuleless JF-Expert Member Aug 12, 2015 4,923 6,171 Apr 23, 2018 #7 CPA said: Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani? Click to expand... Unatoa tu ila kuna cost utaingia kidogo. Nenda gtptz watakutengenezea.
CPA said: Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani? Click to expand... Unatoa tu ila kuna cost utaingia kidogo. Nenda gtptz watakutengenezea.