Search results

  1. Sagungu 1914

    Msaada kisheria: Nini maana ya shauri la kesi kuondolewa mahakamani?

    Naomba kujuzwa maana ya shauri la kesi kuondolewa mahakamani,na je kesi inaweza kufunguliwa ten au ndio imeishia hapo?
  2. Sagungu 1914

    Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  3. Sagungu 1914

    Nini maana ya kesi kutupiliwa mbali kisheria?,na je ikiwa imetupiliwa mbali haiwezi kufunguliwa Tena?

    Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.
  4. Sagungu 1914

    Msaada wa kisheria tafadhali

    Ninaomba msaada wenu wadau, eti mtu ukishateuliwa na Wanafamilia na kuthibitishwa na mahakama kuwa msimamizi wa Mali za marehemu, inachukua muda gani kisheria kukoma katika nafasi husika?
  5. Sagungu 1914

    Msaada wa kisheria Kwa mtu aliyekatalia kutoka kwenye kiwanja baada ya usuluhishi wa baraza la ardhi la kata kuamua aondoke

    Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
  6. Sagungu 1914

    Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

    Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi. Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu...
  7. Sagungu 1914

    Naomba kujuzwa kina cha msingi kwa ardhi ya kichanga na iliyo tambalale

    Naomba msaada jamani kwa wenye ufahamu,ni kina kipi kinatakiwa kuchimbwa kwa msingi kwa ardhi ya kichanga na iliyo eneo tambalale. KARIBUNI WADAU.
  8. Sagungu 1914

    Waziri wa elimu ingilia kati kwa huu wizi

    Baadhi ya vyuo vya private kwenye "joining instruction"zao wanawataka wanafunzi waripoti na PESA YA MAJENGO.Sasa swali la kujiuliza hapa inakuaje chuo kikose majengo ya kutosha kwa ajili ya wanafunzi husika.Na je NACTE pamoja wizara ya elimu munalifahamu hili la wazazi kuchangishwa pesa za...
  9. Sagungu 1914

    NACTE Ingilieni Kati Huu ni Wizi wa Wazi Wazi

    Ninaomba nacte mutasaidie kuhusu huu wizi wa baadhi ya vyuo vya private,kwani miongoni mwao wameandikia wanafunzi waende kuripoti na pesa ya majengo(Building contibution).Sasa mimi nauliza hawa wamiliki wa chuo husika inakuaje uanzishe chuo bila kuwa na majengo ya kutosha?,na inakuaje NACTE...
  10. Sagungu 1914

    Waliochaguliwa second selection wameisha tumiwa joinning instruction?.

    Naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyetumiwa joining instruction kwa wale waliochaguliwa second selection,kwani kwenye profile la mdogo wangu hakuna chochote kinachoendelea zaidi ya kuandikiwa PENDING na muda ndio unayoyoma.
  11. Sagungu 1914

    Serikali: hakikini haraka vyeti vya watumishi wa umma ili mabenki yatukopeshe mikopo.

    Mabenki yamegoma kukopesha watumishi mikopo kisa vyeti bado havijahakikiwa kutoka sehemu husika.Unapouliza ni lini zoezi litaisha ili watu waendelee kukopa na wao wanasema hawajui chochote.Mfano wa benki hiyo ni "NMB Kilindi".Je serikali haioni kuwa kuchelewesha uhakiki wa vyeti unatesa ambao...
  12. Sagungu 1914

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yakata Watumishi mara mbili mwezi Agosti 2016.

    Mimi ni mwl niliyeajiriwa mwaka jana(2015) mwezi wa tano na ni munufaika wa mkopo wa elimu ya juu.Wameanza kunikata deni lao kuanzia mwezi wa nne mwaka huu(2016),cha kushangaza zaidi mshahara wa mwezi huu(Agosti) nimekuta mshahara wangu umepungua ikabidi niende kwa Afisa utumishi moja kwa moja...
  13. Sagungu 1914

    Hivi NACTE bado hawajafanya selection za upande wa elimu?

    Jamani naomba kusaidiwa,kuna mdogo wangu alituma maombi ya afya na elimu ya msingi kwa upande wa afya hajachaguliwa kulingana na ushindani uliokuwepo lakini kwa upande wa elimu profile yake inaonesha kuwa bado hawajachaguliwa na ameandikiwa kwamba "wait for the next selection". Sasa mm nauliza...
  14. Sagungu 1914

    Guidebook ya za nacte hazionyeshi upungufu wa wanafunzi

    Jamani nimedownload guidebook ya upande wa afya zijaona upungufu wa wanafunzi wanaohitajika kwenye chuo husika,kwani capacity ya chuo zinaonekana ni zile zile ambazo zilikuwepo kipindi cha mwanzo.Je hiki si chanzo cha kutaka kumkanganya mtumaji wa mara ya pili kwani yeye atakacho angalia ni...
Back
Top Bottom