Sagungu 1914
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 930
- 579
Ninaomba msaada wenu wadau, eti mtu ukishateuliwa na Wanafamilia na kuthibitishwa na mahakama kuwa msimamizi wa Mali za marehemu, inachukua muda gani kisheria kukoma katika nafasi husika?
Kumbe mtu ukishachaguliwa na familia na kuthibitishwa na mahakama kama msimamizi wa Mali za marehemu Kuna muda inafikia unakoma katika usimamizi huo?Mahakama huwa inatoa kati ya miezi 3 au 4 kwa ajili ya kutambua na kufanya mgawanyo wa Mali za marehemu andapo muda tajwa utazidi basi utaomba kuongezewa muda.
Ndio kuna time frame upande wa mgawanyo kama kutakuwa na usimanizi baada ya mgawanyo basi utaendelea nao ila zoezi umemalizaKumbe mtu ukisha chaguliwa na familia na kuthibitishwa na mahakama kama msimamizi wa Mali za marehemu Kuna muda inafikia unakoma katika usimamizi huo?
Kuna kesi Iko mahakamani Sasa yule mjibu mashitaka anapinga kuwa muda wa msimamizi wa Mali za marehemu umeisha,Sasa nashangaa muda utaishaje na huku huyu mtu kapewa mamulaka kisheria kusimamia Mali za marehemu.Ndio Kuna time frame upande wa mgawanyo kama kutakuwa na usimanizi baada ya mgawanyo basi utaendelea nao ila zoezi umemaliza
Ndio unaisha, maombi ya kuomba kuongezewa muda yaandikwe yarudi mahakamani ataongezewa mudaKuna kesi Iko mahakamani Sasa yule mjibu mashitaka anapinga kuwa muda wa msimamizi wa Mali za marehemu umeisha,Sasa nashangaa muda utaishaje na huku huyu mtu kapewa mamulaka kisheria kusimamia Mali za marehemu.
Inventory should be filed within six months!Ninaomba msaada wenu wadau, eti mtu ukishateuliwa na Wanafamilia na kuthibitishwa na mahakama kuwa msimamizi wa Mali za marehemu, inachukua muda gani kisheria kukoma katika nafasi husika?