Sagungu 1914
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 943
- 617
Jamani naomba kusaidiwa,kuna mdogo wangu alituma maombi ya afya na elimu ya msingi kwa upande wa afya hajachaguliwa kulingana na ushindani uliokuwepo lakini kwa upande wa elimu profile yake inaonesha kuwa bado hawajachaguliwa na ameandikiwa kwamba "wait for the next selection".
Sasa mm nauliza mwisho wa kutuma maombi tena ni 5/8/2016 wakati huo hakuna tangazo lolote kutoka NACTE linalotaka waliotuma kwa upande wa elimu labda wasubiri kutuma tena hadi tarehe fulani ili wasubirie selection za elimu.
Tafadhali mwenye kujua zaidi kwa hili anipe mwanga.