Search results

  1. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo. Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu. Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya penzi kukolea. Thread hii hapa: Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa? Miaka mingi...
  2. King snr

    Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor. Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua...
  3. King snr

    Msaada usajili wa Trademark Brela kipengele cha Nice description

    Naomba msaada kwenye hii sehemu baada ya kujaza nice class ambayo service yangu imo natakiwa kuweka nice class description Ni zipi hizo? Mfano nice class yangu Ni 42 Kwenye nice description naandika nini?
  4. King snr

    Kukuza mtaji wa biashara ya kompyuta

    Habari wakuu, Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji. Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories. Nilianza biashara hii mtandaoni kwa kuwa napost bidhaa ambazo sina mteja akihitaji naenda kumchukulia changamoto ya...
  5. King snr

    Ni pikipiki gani nzuri kwa bodaboda?

    Habari zenu wakuu, Naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
  6. King snr

    Tuliokosa mkopo awamu ya kwanza na ya pili wenzangu mnajiskiaje

    Binafsi sikuwa na maandalizi mengine yoyote ya kupata tuition fees nilikuwa nategemea Bodi ya Mikopo tu. Nimejitahidi kutafuta direct cost nimepata kwa tabu sana. Sasa Bodi ya Mikopo wametoa batches mbili zote nimekosa mkopo nahisi kukata tamaa ya kwenda Chuo mwaka huu sijui wenzangu mliokosa...
  7. King snr

    Nilisoma half comb nawezaje kwenda kusomea software engineering

    Mtihani wa advance nilifanya masomo ya Chemistry-B Mathematics-C na Education-D Div 1.9 Natamani kwenda kusoma software engineering ila naona guidebook ya TCU inataka physics je hakuna njia nyingine yoyote labda kama wanatoa mtihani kabla ya kuniruhusu kujiunga au ni lazima nikafanye kwanza...
  8. King snr

    Nataka kuachana na UDOM haitaniathiri kwenye mikopo nikitoka advance?

    Mimi ni mmoja wa tuliofukuzwa UDOM sitaki tena kurudi chuo kile kwani wameshanivuruga kisaikolojia nataka kwenda advance. Naombeni ushauri nilikuwa napata mkopo pale UDOM hivi nikiondoka mkopo si unaweza ukawa unaendelea kufika chuoni halafu Mimi nisiupate na vipi nikitoka advance kuna...
  9. King snr

    Elections 2015 Maono kabla na baada ya uchaguzi 2015(acording to apostle Mtalemwa Dionis)

    HAYA NDIYO MAONO NILIYOYAONA KWA NCHI YETU TANZANIA KABLA NA BAADA YA UCHAGUZI. Naliona bendera ya Taifa letu ikiungua na kutoa majivu kisha nikaona zaidi haya. Najua wengine watadhihaki na wengine watatilia maanani. (1)Naliona kiongozi mkubwa wa siasa mwenye mvuto mkubwa nchini akifariki Dunia...
  10. King snr

    Nifanye nini kutimiza malengo yangu

    Siku zote napenda kuwa lab.technician na ndio malengo yangu maana naipenda toka moyoni sasa tatizo linakuja katika kutimiza malengo yangu Nimemaliza kidato cha nne (credit 1.9) sikuchaguliwa kidato cha tano nikachaguliwa special diploma udom(chem&math) sikuwaza kuja kuwa mwalimu na bado siamini...
  11. King snr

    Private school dsm

    Natafuta shule ya private ya aina yoyote ile yenye ada chini ya mil.1 iwepo dar maeneo yoyote yale,iwe inafundisha comb 'cbg&egm',anaeijua anijulishe zaidi ilipo na ada ni shilingi ngapi
  12. King snr

    Unforgotten event katika love

    Katika mapenzi kuna wakati mgumu sana huwa tunapitia hadi kumpata mwenye upendo wa dhati,sijui kama yamekukuta ila mimi yalinikuta haya. Wakati nipo o-level Songea nilitokea kumpenda sana binti mmoja hivi wa kishua nikamtokea akawa ananizungusha tu hanipi jibu la kueleweka kama si upendo wangu...
  13. King snr

    Chunusi zinanikosesha mke

    Habarini wakuu, Nilileta topic ambayo ni 'akiniona anajificha, atakuwa ananipenda au hisia zangu tu?' kutokana na ushauri wa wadau ikanbidi nikamtokee,nilijipanga mtoto wa kiume nikatupia niwezavyo nikaenda kwao. Ile nafika tu wa kwanza kukutana nae ni mama ake basi nikajikaza kiume nikapiga...
  14. King snr

    Akiniona anajificha, atakuwa ananipenda au hisia zangu tu?

    Habarini wana Jf, Kuna sehemu nimeenda kwa mara ya kwanza kusalimia, sasa niliwahi kukutana na msichana flani hivi mzuri siku ya kwanza kukutana nae nilimsalimia akaitikia salamu yangu huku kama akiwa ananionea aibu hivi. Sasa nimegundua kuwa yule binti ni jirani yetu tu kama nyumba ya nne...
  15. King snr

    Msaidieni rafiki yangu, maisha magumu

    Habari zenu JF Nina rafiki yangu katoka mkoani kaja Dar kutafuta maisha yani anapata tabu sana sababu hana kazi na ukiangalia hata sehemu ya kulala ni ya kuunga-unga, naombeni anayeweza kumsaidia amsaidie kazi yoyote yeye amesema atafanya. Ana elimu ya form 4, ana umri wa miaka 19-21, Ni...
  16. King snr

    Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa?

    Habari zetu maG.T's., Nahitaji ushauri nina mchumba ambaye ni mtoto wa binam yangu ananipenda sana nami pia nampenda tatizo linakuja kwa baba ake ni binam yangu ambaye tuko karibu kidogo ila hajui kama mtoto wake na mimi tuko vipi tumejitahid sana kuwa na mapenzi ya siri takriban mwaka sasa...
Back
Top Bottom