King snr
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 1,165
- 1,467
Mimi ni mmoja wa tuliofukuzwa UDOM sitaki tena kurudi chuo kile kwani wameshanivuruga kisaikolojia nataka kwenda advance.
Naombeni ushauri nilikuwa napata mkopo pale UDOM hivi nikiondoka mkopo si unaweza ukawa unaendelea kufika chuoni halafu Mimi nisiupate na vipi nikitoka advance kuna uwezekano wa kupata mkopo tena?
Naombeni msaada wakuu