Nilisoma half comb nawezaje kwenda kusomea software engineering

King snr

JF-Expert Member
May 25, 2015
1,165
1,461
Mtihani wa advance nilifanya masomo ya
Chemistry-B
Mathematics-C na
Education-D
Div 1.9
Natamani kwenda kusoma software engineering ila naona guidebook ya TCU inataka physics je hakuna njia nyingine yoyote labda kama wanatoa mtihani kabla ya kuniruhusu kujiunga au ni lazima nikafanye kwanza physics ndo nikasome hiyo kozi maana nahisi kazi yangu ipo huko kwenye software Nina mambo mengi nataka kuyafanya ya kiteknolojia naomba mwenye uelewa yeyote anisaidie tu mawazo jinsi gani naweza pata chuo kwenda kusoma hiyo kozi
 
Mkuu chuo kuna masomo ya advance?

Yaani pale juu umeeleza kwamba umesoma advance halafu wanakujliza shule gani unasema TTC chuo kipi ni kipi?
Mm nmesoma nmeona mapicha picha.

Akikujibu uni tag.
Nilichaguliwa toka form four direct kwenda chuo kusomea diploma in education lakini kabla ya kufanya diploma tunafanya kwanza mtihani wa form six then wa diploma ndo unafuata na kozi ni ya miaka mitatu ,hope nimeelezea kidogo
 
wee jamaa bhangi mbayaaa achaa kabisa
 
wee jamaa bhangi mbayaaa achaa kabisa
Mkuu kozi hiyo ni kweli ipo, kozi maalumu kwa ajili ya walimu wa sayansi kwa secondary. Mwanafunzi anachaguliwa direct toka form four kwenda chuo cha ualimu na huko atasoma masomo ya advance na baadae ualimu.
 
Usichokijua uliza take every opportunity to learn usikariri wala kuishi kwa mazoea
Shida sio kulearn ila kuelewa ndo tatizo labda jamaa hajui kujielezea ila kitu kama hichi hakipo kamwe sababu..
1. Kwanza huwezi fanya mtihani wa form six akati wewe unasoma diploma au wewe inakuingia akilini???? Usome diploma alafu uletewe mtihani wa form six???????

Sema hongera labda wewe umelearn something...
 
Mkuu kozi hiyo ni kweli ipo, kozi maalumu kwa ajili ya walimu wa sayansi kwa secondary. Mwanafunzi anachaguliwa direct toka form four kwenda chuo cha ualimu na huko atasoma masomo ya advance na baadae ualimu.
Nashkuru kwa kunisaidia kuelezea af sijui ni kitu gani kigeni kisichoeleweka maana hata mwaka huu wapo waliochaguliwa na tamisemi kwenda hiyo kozi
 
o
Nashkuru kwa kunisaidia kuelezea af sijui ni kitu gani kigeni kisichoeleweka maana hata mwaka huu wapo waliochaguliwa na tamisemi kwenda hiyo kozi
umeeleweka vizuri.. vip ukimaliza diploma yako unapewa vyeti viwili? cheti cha form six na diploma au cheti kimoja tu kati ya hivo?
 
Back
Top Bottom