Tuliokosa mkopo awamu ya kwanza na ya pili wenzangu mnajiskiaje

King snr

JF-Expert Member
May 25, 2015
1,165
1,461
Binafsi sikuwa na maandalizi mengine yoyote ya kupata tuition fees nilikuwa nategemea Bodi ya Mikopo tu. Nimejitahidi kutafuta direct cost nimepata kwa tabu sana. Sasa Bodi ya Mikopo wametoa batches mbili zote nimekosa mkopo nahisi kukata tamaa ya kwenda Chuo mwaka huu sijui wenzangu mliokosa mnajiskiaje sijui tatizo ni kozi niliyochagua au ni bahati ndiyo haijawa upande wangu.
 
Binafsi sikuwa na maandalizi mengine yoyote ya kupata tuition fees nilikuwa nategemea bodi ya mikopo Tu nimejitahidi kutafuta direct cost nimepata kwa tabu sana sasa bodi ya mikopo wametoa batches mbili zote nimekosa mkopo nahisi kukata tamaa ya kwenda chuo mwaka huu sijui wenzangu mliokosa mnajiskiaje sijui tatizo ni kozi niliyochagua au ni bahati ndo haijawa upande wangu
Utapata we endelea kujianda na shule batch bado nyingi sanaa
 
Back
Top Bottom