Search results

  1. Maneno Meier

    Rais Samia acha kuwatesa wahudumu wako wanaokuzunguka kukulinda na barakoa

    Rais wetu nakuomba kuacha kuwatesa wahudumu wako wanaokuzunguka kukulinda kuvaa Barakoa. Ni kitu cha kusikitisha sana nchi ambayo haina hata uwezo mkubwa wa wataalam waliobobea na vifaa vya kitaalam vya kufanya research ya DNA kama Tanzania, leo Rais wake anazungunguka nchi nzima akiwalazimisha...
  2. Maneno Meier

    Rais Samia tafadhali achana na mradi wa BRT. Hauna tija kwa wakazi wa Dar es Salaam mbeleni, Tengeneza Urban Railway System

    Rais Samia, Mama yetu mpendwa nakuomba tafadhali sana kuachana na huo mradi unao endelea hivi sasa jijini Dar es salaam mradi wa BRT. Huu mradi Mama, kwa idadi ya wakazi waliopo hivi sasa Dar na ongezeko la hao wakazi litakalo tokea hadi mwaka 2030, hauta weza kukidhi mahitaji ya wana Dar es...
  3. Maneno Meier

    Rais Samia, nimeukubali msimamo wako. Hongera sana

    Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa kuendeleza SGR yetu kipande cha tatu kati ya Makutupora Singinda na Tabora. Kusema kweli, hotuba...
  4. Maneno Meier

    Rais Samia, kwanini kwenye hotuba yako UN umeshindwa kuinadi Tanzania?

    Awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan kwa kumbadilisha waziri wa ujenzi na uchukuzi, Waziri Chamriho, ambaye kwa mtanzamo wa wengi hatukuona nini anakifanya kwa kupewa majukumu makubwa yale ya kuiongoza wizara yetu nyeti ya Ujenzi na...
  5. Maneno Meier

    Rais Samia, nakuomba angalia upya Mradi wa BRT Dar

    Niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya leo ninayotaka kuizungumzia. Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu, nakuomba chonde chonde kuuangalia upya mradi wa BRT unao endelea kujengwa jijini Dar es salaam. Kwa uzoefu mkubwa nilio nao na analysis yangu ndogo niliyo ifanya naona kuwa huu mradi...
  6. Maneno Meier

    Rais Samia, maisha ya vijana kwa sasa hayaridhishi. Nguvu kubwa itumike kubadili mfumo wao wa maisha

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa nasikitika leo kusema kuwa mpaka kufikia mwaka 2030 kama nguvu kubwa zaidi hazitatumika za kubadili mfumo mzima wa maisha yetu, nahofia vurugu tunazoziona hivi sasa huko Afrika ya Kusini zikitokea tutazishuhudia zikitokea hapa kwetu pia, tena kwa ukubwa...
  7. Maneno Meier

    Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

    Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler! Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
  8. Maneno Meier

    Waziri Mkuu Majaliwa naomba kuwafukuza kazi Wacheleweshaji wa Machinjio ya Vingunguti

    Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa mtendaji wetu mkuu wa serikali yetu tukufu inayo ongozwa na Mama yetu mpendwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nakuomba kwa moyo mweupe na wa huruma kubwa ya watanzania wengi wanaolilia maendeleo yetu na ya vizazi vyetu kwa dhati kuwafukuza na ikibidi...
  9. Maneno Meier

    Rais Samia Suluhu Hassan, Maendeleo ya nchi hayaletwi na Wachuuzi bali huletwa na watu ambao ni Creative

    Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo...
  10. Maneno Meier

    Umeishia wapi mradi wa Commuter Trains Dar?

    Naam! Naipongeza serikali ya ndugu zetu wakenya kwa kutambua umuhimu wa kuondoa kero za wananchi wao wanazopata kila siku ya Mungu kwenye misongamano ya magari barabarani kwa ku-introduce Commuter Rail Network mjini Nairobi. Uamuzi huu ni kitendo ambacho kinatakiwa kuigwa na kila serikali ya...
  11. Maneno Meier

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli huoni kama jitihada zako za kuimarisha miundo mbinu jijini Dar es Salaam inafeli?

    Ni kitu cha kufurahia na kushukuru sana kuona jinsi gani Rais unavyo jitahidi kuliweka jiji letu kuwa mobile kwa jitihada zako kubwa za kimkakati unazozifanya za kudumisha na kuimarisha miundombinu ya usafiri jijini Dar es Salaam kwa kujenga mbarabara, madaraja na Flyovers. Imekuwa ni faraja...
  12. Maneno Meier

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, Bado sijaridhika na sera zako za kuibadilisha Dar

    Nianze moja kwa moja na mada yangu, Kwa mara yangu ya kwanza napenda kumshukuru Mh Tundu Antipati Lissu kwa mawazo mazuri aliyo yatoa jana katika ziara yake ya kutembelea mitaa ya kariakoo kuhusu mobility kwenye jiji letu la Dar. Nikilinganisha mawazo haya na hotuba ya Rais Magufuli leo kwenye...
  13. Maneno Meier

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

    Awali ya yote ningependa kwa unyenyekevu mkubwa kumshukuru mwenyezi Mungu wa mbinguni na mwingi wa rehema kwa kutuwezesha sisi watanzania kuwa na kiongozi wa aina yake katika nchi yetu. Rais Magufuli nina appreciate kazi zako kubwa ulizo zifanya so far katika jitihada zako za kuwaletea...
  14. Maneno Meier

    Rais Magufuli hivi wewe ni jemedali wa aina gani? Ndugu zetu wanavyo pukutika Dar huwaoni?

    Awali ya yote napenda kutoa pole zangu kubwa na rambi rambi kwa ndugu na familia wote nchini waliopata kuondokewa na wapendwa wao na mungu wa mbinguni aziweke roho za wapendwa hao peponi na miili yao mahali patakatifu duniani. Amen! Zaidi ya hayo napenda pia kutoa shukran zangu nyingi na za...
  15. Maneno Meier

    Waziri Ummy Mwalimu, unadhani Watanzania ni wajinga sana?

    Kwa masikitiko yangu makubwa imenibidi ni iweke hii clip yako hapa ili wewe mwenyewe usikie uliyoyasema wakati ukitoa statement yako ya case ya kwanza ya CORONAVIRUS, COVID-19 nchini. Waziri Umy Mwalim kama suala hapa ni sayansi, basi napenda utambue kuwa hata sisi sayansi tunaijua vilevile...
  16. Maneno Meier

    Watangazaji wa idhaa za Kiswahili wa BBC, VOF na DW shame in you!

    Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION. Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja...
  17. Maneno Meier

    Rais Magufuli kama Tanzania ni Tajiri mbona una suasua kumwaga pesa kwenye miradi mingi yenye tija?

    Awali ya yote naomba kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru mungu wa wingi wa rehema kuniwezesha mimi na wapendwa wangu nchini na ughaibuni hasa Ujerumani kuuona mwaka huu mpya wa 2020. Pili nampongeza Rais wetu Mpendwa JPM na watendaji wake wote wa serikali anayo iongoza na ambao wako mstari wa...
  18. Maneno Meier

    Ni sawa kabisa unachosema mtaalamu wa masuala ya utalii

    Ni sawa kabisa unachosema mtaalamu wa masuala ya utalii. Nimependa sana hoja yako. Lakini kitu ambacho sisi hapa tunazungumzia au Mbunge Lema kumaanisha na wewe kupaswa kutuelewa ni kuwa je, lazima iwe Dreamliner ya $ 262 milioni katika kuboresha sekta ya anga? Je, isingetosha ndege ndogo za...
  19. Maneno Meier

    Lema: Magufuli ogopa wanao kupigia makofi na mapambio wanakupoteza kuwa makini nakushauri kwa mara ya mwisho

    Asante sana Mbunge Lema umenena mambo mazuri sana. Hata mimi , kama nimekuelewa vizuri, naona maendeleo ambayo yako nchini ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu na ambayo sio future ya watanzania. Rais Magufuli ana tuaminisha sisi kuwa analeta maendeleo ya watu. Wakati ukweli sio hivyo...
  20. Maneno Meier

    Unaiba nondo mradi wa maji?

    unprejudiced Hakuna Majournalist Tanzania wote ni walala hoi. Mambo ya wakina Menina ndizo story zao. Wakina Millard Ayo na wakina Mayalla ni wapuuzi watupu. Kazi zao ni kuandika mambo ya udaku udaku mda wote na kutafuta pale Rais anapokosea ndio kwao ni issue kubwa ambayo ulimwengu unapaswa...
Back
Top Bottom