Unaiba nondo mradi wa maji?

Unaiba nondo mradi wa maji?

Maneno Meier

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
2,466
Reaction score
1,700
unprejudiced
Hakuna Majournalist Tanzania wote ni walala hoi. Mambo ya wakina Menina ndizo story zao.

Wakina Millard Ayo na wakina Mayalla ni wapuuzi watupu. Kazi zao ni kuandika mambo ya udaku udaku mda wote na kutafuta pale Rais anapokosea ndio kwao ni issue kubwa ambayo ulimwengu unapaswa kuijua.

Hawa watu nadhani wanatumiwa au wameshanunuliwa na mabeberu. Hakuna vitu vya maana wanavyoviandika au kuvitangaza zaidi ya umbea na mambo ya kikanga kanga kama mashoga vile. Hawa watu wanaojiita majournalist ni watu wabaya sana kwa Taifa letu. Wako kwa ajili ya kuwapotosha tu watanzania na sioni lolote jingine la maana wanalifanya kqa watanzania.

Malengo yao ni kughubika mafanikio ya Rais na watendaji wake na hivyo ku destroy maendeleo ya watanzania.

Sijaona ma journalist wajinga kama hawa ambao wanasifia wezi wa mali za umma kana kwamba wao haiwahusu. Kwangu mimi nawaona kama watu wenye mawazo ya kinyama kuliko hata wanyama wenyewe, kwani sija wahi ona au kusikia mnyama ambaye ana destroy mafanikio ya himaya yake kama hawa jamaa wanavyo fanya.
 
Back
Top Bottom