Rais Samia Suluhu Hassan, Maendeleo ya nchi hayaletwi na Wachuuzi bali huletwa na watu ambao ni Creative

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,469
1,697

Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo la aina yeyote lile la maisha. Nchi kama hiyo always itatoboa au kufanya vizuri kiuchumi na wananchi wake wataishi vizuri na kwa amani bila hata ya kutumia nguvu kubwa za Dola kwenye kutatua matatizo yao madogo madogo ya ndani, kama ilivyo katika baadhi ya nchi za Ulaya; Ujerumani, Sweeden na Norway.

Baada ya kusema hayo ningekuomba Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, kutumia nguvu zako zote na rasilimali zetu zote kwenye kuhakikisha kuwa vijana wanahamasishwa kuwa na mwamko wa ubunifu wa hali ya juu katika jitihada za kutatua matatizo tunayo kabiliana nayo badala ya vijana hao kuwa dump kwenye propaganda za uchuuzi wa commodoties za wachina na wazungu na kuwafanya wengine wakimbie nchi na kwenda kuteseka ughaibuni, wakitegemea kupata unafuu wa maisha wasio upata.

Tutumie resources zetu kwenye kujenga Taifa lenye watu ambao ni creative.

Katika uzoefu wangu wa kufanya kazi kwenye makampuni tofauti ya uundaji ya wazungu nchini Ujerumani kama Product Developer na Design Engineer nimekuja kubaini kuwa siri yao kubwa ya maendeleo ya kiuchumi yako kwenye creativity. Wajerumani ni watu ambao wako very creative. Na kitu ambacho kinawafanya wawe creative namna hii ni kujiamini kwao na Discipline ya kazi. Wajerumani wanajiamini sana katika vitu wanavyo vibuni na kuvitengeneza. Na hicho ndiyo kitu kinacho wafanya wenzetu wapate maendeleo ya kweli katika uchumi.

Watanzanian wenzangu hii hapa chini ni formula ua tuseme ufunguo wa maendeleo ya maisha ya binadam popote pale ulimwenguni.

PRODUCT CREATION = FUNCTION + DESIGNING + MANUFACTURING

Sioni haja ya kuelezea nini maana ya Products Creation, kwani ni mategemeo yangu kuwa kila mmoja wetu anaelewa nini namaanisha. Na katika falsafa hii ya Product Creation, kitu cha kwanza cha kuzingatia ni kitu kiitwacho FUNCTION. Na Function hapa sio kitu kingine bali ni matumizi ya hiyo product au kazi yake.

PRODUCT
Product hapa namaanisha physical substance ambayo binadam anaweza kuiona kwa macho yake na kuishika na ikiwa imetengenezwa kwa material kama; nguo za kuvaa, pete, heleni, saa, pikipiki, gari, mashine za kusaga unga au kitendea kazi chochote kile kingine kama kisu, jembe na vifaa vingine vya jikoni, mashambani, maofisini na kwenye usafiri .

FUNCTION
Katika Function ningependa nitoe mifano miwili mitatu hivi ili nieleweke vizuri. Matumizi au kazi moja wapo ya nguo za kuvaa kwa mfano ni kufunika maumbile ya binadam ili yasionekane wazi na vile vile kumpendezesha mtu na bila kusahau kuonyesha status ya mtu kama ana senti mfukoni au fukara kwa mfano.

Matumizi au kazi ya kisu, hiyo inajulikana ni kukata au kugawanya vitu kuwa vipande vipande na vile vile kinaweza kutumika kama silaha ya kujilinda zidi ya hatari inayoweza sababiswa na binadam mwingine au wanyama wakali.

Kazi za pete ni kama urembo na vile vile inatumika kama ishara ya kuonyesha hali ya mtu kama ameolewa, ameoa au kuchumbiwa na kadhalika.

DESIGNING
Baada ya kujua maana ya Function sasa naomba tuingie kwenye Designing (kubuni) Designing ni kama ilivyo kwenye Function nayo ina mambo mengi ya kuyazingatia.

Kitu cha kwanza cha kukizingataia ni efficacy. Hapa namaanisha madhumuni ya kutengeneza kitu ili kufikia lengo lililo kusudiwa kwa ubora zaidi. Kwa mfano matumizi/kazi ya pete ni: Ornament(mapambo) yaani kumpendezesha mtu na kutoa ishara ya hali ya mtu kuhusu marital Status yake, kama kaoa au kaolewa au kuchumbiwa na kadhalika.

Malkia na wafalme nao pia wamo katika kudai aina za pete wanazo zihitaji za kuonyesha kuwa wao ni watu wa aina gani.

Katika ku-design aina na mwonekano wa hiyo pete ili malengo yake yaliyokusudiwa yaweze kuonekana na kumfanya mlengwa/mteja aweze kuvutiwa na kuwa tayari kuinunua, hapa ndipo wabobezi, Industrial Designer, Design Engineer na Product Designer kwa kushirikiana na manufacturers ndiyo wako kwenye element yao.

Naomba izingatiwe pia kuwa kwenye aspect ya Designing, Design na Function ya kitu kama pete, peke yake havitoshi. Hapa aina na quality ya material, upatikanaji wake, ubora wa product itakayo tengenezwa na mda wake wa matumizi na vile vile bila kusahau mkondo mzima wa gharama itakayo chukua kutoka upatikanaji wa material mpaka kwenye manufacturing process yake, inabidi nazo ziwe kwenye Designing Processes kuwa concidered. Design engineering team kwenye Designing Departements kwa kushirikiana na wataalam kwenye manufacturing industries ndiyo wenye kubeba huo mzigo mkubwa wa kuhakikisha kazi hiyo ya uzalishaji inafanyika kwa matarajio yaliyo wekwa.

Nitoe mfano mmoja wa product ambayo inauzwa sana nchini Tanzania na ambayo inatengenezwa locally na watanzania wenyewe, jiko la mkaa. Jiko la mkaa ni product au item ambayo ina fullfill function yake kwa 45%. Lakini pamoja na hayo jiko hili jiko huwezi liuza Ulaya wala Asia, kwasababu halina soko. Na matatizo yanayo sababisha jiko letu la mkaa likakosa soko kwenye hayo mabara kwa mfano ni primarilly sio competative katika Design yake. Design ya hilo jiko kwa macho ya wenzetu, linaonekana ni ovyo sana. Halina mvuto kabisa. Zaidi ya hilo halina quality nzuri kwa sababu material yanayo tumika kutengeneza jiko hili sio suitable kwa kazi (Function) iliyo kusudiwa na hivyo kuto kidhi malengo.

Kama nilivyosema hapo juu kuwa ufanisi (efficiency) wa hili jiko katika Function yake ni 45% na hizo zilizobaki ni energy ambayo inapotea hewani bila kuwa na matumizi yeyote yenye tija, jambo jingine amblo lina sababisha hili jiko letu lisiwe competative katika masoko ya kimataifa mbali na efficiency ni hathari zinazotokana na design yake.

Katika hathari za hili jiko kulingana na nature ya Design yake pia ni katika kuhatarisha maisha ya watoto kwa kuwafanya wapate majeraha ya kuungua kirahisi na vile vile kuunguza nyumba, kwasabau halina mechanism yoyote ile inayoweza kuzuia madhara kama haya yasitokee, kama za kupunguza au kuzima moto kwa haraka au sensa/ishara za kumpa mtu tahadhari za joto kali.

Sababu nyingine kubwa ambayo inaifanya hili jiko letu la mkaa lisiwe na soko ni katika aspect ya mazingira. Kwa vile hili jiko linatumia mkaa ambao unatokana na ukataji wa miti holela, lina msukumo mkubwa sana kwenye kurahisisha uharibifu wa mazingira, na hiki ni kitendo kibaya sana katika maisha ya leo ambayo binadam anatakiwa kufanya awezalo kuyaweka mazingira yake katika hali nzuri kiasi kwamba hata vizazi vyetu vijavyo navyo viweze pata nafasi ya kuishi katika ulimwengu ambao una mazingira mazuri na rafiki tuliyo waachia, globally.

Kwa sababu hii ya kukosekana kwa concept nzuri katika ku-design hili jiko na mengineyo mengi kunawafanya hata wale watengenezaji, au niseme local manufacturers, wasiwe na uwezo mkubwa wa kupanua wigo wao wa maarifa wa kutengeneza products ambazo ni bora, competative na robust, ambazo kwa namna moja au nyingine zingewawezesha hao local manufacturers na vile vile wafanya biashara wetu kupata faida kubwa na kuwa katika position nzuri kiuchumi, na hivyo pia kuchangia kwenye ku-boost uchumi wetu na kusababisha kuongezaka kwa ajira kwa vijana wetu na kadhalika. Pia ingekuwa chachu ya uchimbaji na uendelezaji wa matumizi ya material mengine ambayo yanapatikana nchini kama chuma na kadhalika. Hivi ndivyo maendeleo ya nchi yanaletwa.

Kukosekana kwa wataalam walio bobea kwenye Designing na Manufacturing, kwa mtazamo wangu, kumesababisha nchi yetu kuwa na jamii ambayo mda wote inawaza shughuli za kutoa huduma kama; mama ntilie, Boda boda na wachuuzi kama wamanchinga na wafanya biashara wakubwa wanao agiza bidhaa kutoka China na nchi nyingine za Asia. Kwa hali hii nchi haiwezi kuwa na jamii ya watu ambao wanajiamini, wakati wote itakuwa na wananchi wanyonge na wasio ridhika.

Hali hii ya unyonge na uoga imetokana primarilly na mpango mahususi ulio wekwa na wazungu huko nyuma wakati wa uvamizi wa makoloni katika kudhihaki tamaduni zetu na kuwadhalilisha role models wetu. Zaidi ya hayo wazungu walihakikisha kuwa sisi hatuuamini uwezo wetu kwa kutotupa sisi nafasi ya kujiendeleza wenyewe kwa kutengeneza products zetu wenyewe ambazo zingeweza ku-compete na products zao kwa malengo ya kutufanya sisi tuendelee kuwa wategemezi wa products zao, kwa maana nyingine sisi tutumike kama soko la products zao. Na ndiyo maana ukiangalia elimu waliyotupa ni elimu ya kutupumbaza na kutulemaza sisi tuendelee kuwa consumer wa products zao.

Masomo mengi waliyo kuwa wakitufundisha ni yale masomo ambayo wao walikwisha yaona kuwa hayatatusaidia sana sisi kujiendeleza wenyewe. Na kwa vile wazee wetu waliopita nao hawakupata nafasi hiyo ya kunusa masomo yanayo husu Creation of any Products nao kwa kutojua, waliendeleza system ile ile ya elimu ambayo wakoloni waliwaachia na pengine kuongeza mambo mengine kidogo ambayo mwisho wake ni kupata karatasi za kutundikwa sebuleni na kutafutia kazi maofisini.

Tunapoishi maisha yetu bila picha yoyote ya wazi ya wapi tunaelekea au nini tunataka kufanya na talanta na fursa tulizo nazo, tunapoteza siku, wakati na zawadi ya maisha ambayo Mungu ametubariki nayo. Tunapokimbilia kuwa na maisha ya kuwa na vitu vya kifahari kama magari na kadhalika bila kujua jinsi gani wenzetu hivi vitu wanawezaje kuviunda, kunatufanya sisi psycologically kuzidi kuchanganyikiwa na kuamini kabisa hatuna uwezo huo.

Kwa sisi watu wa zama za kale tutakuwa na kumbu kumbu ya jinsi nchi kama Hungary na Rasia kwa mfano, zilivyo weza kuwa na products za magari ambayo wazee wetu walikuwa wakiyatumia. Waangalieni hivi sasa wahungary na warusi waliko tukizingatia kuwa walikuwa mbali sana katika uzalishaji wa products na hata kuwashinda waamerika na wazungu wa West. Uwezo wao wote walio kuwa nao wa kutengeneza vitu ulififia kwa sababu baada ya kuanguka kwa Soviet Union hawakuiamini tena teknolojia yao kuwa ni optimum pamoja na kuwa ilikuwa na Function nzuri. Tatizo kubwa walilokuwa nalo hapa sio Function na Manufacturing processes bali ni activity kwenye Designing.

Ombi langu kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni kwamba kama una dhamira ya kuleta maendeleo ya kweli nchini, basi serikali yako hainabudi kutoa nafasi na ushirikiano mkubwa kwa wana Diaspora wazawa wanaotaka kuja kuleta maarifa ya jinsi ya ku-create products. Hii haihusiani chochote na uwekezaji wala kutaka ajira. Mwekezaji mara nyingi anataka kuongeza production kwa kuajiri watu wachahe kama cheap labor ili aendelee kutajirika zaidi. Machineries zote anazileta kutoka nje. Vijana wetu wanapata faida gani? Ajira ndogo labda. Mwisho wa siku nchi inabaki pale pale wala haipigi hatua.

Mwekezaji anatafuta fursa za kuneemeka yeye na familia yake wakati mtaalam katika Product Creation analifanya Taifa liwe na wataalam wengi wanaoweza tumia akili zao na resources zilizopo nchini mwao katika ku-design na kutengeneza items au products mbali mbali zitakazo wawezesha ku-compete na products za nchi nyingine. I know it sounds like a fairytale, but it is like that. Kuwa na viongozi ambao wana Vision peke yake bila kuwa na vijana wenye ability ya kuwa Creative kwenye Designing na manufacturing haisaidii kitu, kwasababu competion kubwa ya products iko kwenye Design na sio kwenye Function peke yake.

Watu wenye uwezo na utaalam huu wa kuwafundisha vijana wetu mashuleni na vyuoni wanakosekana nchini kwetu kwa sababu ya kukosekana kwa infrastrucure. Wengi wenye uwezo huu wako nje wakiwanufaisha wazungu. Kama serikali yetu na viongozi walio pewa dhamana hawataamka na kuchukua hatua zinazo husika za kuwarudisha wataalam wetu hawa kwa kuwajengea uwezo wa miundombinu inayo husika ili waje fanya mambo yao yatakayo saidia kubadili taswila ya Taifa kwenda kwenye maendeleo ya kweli na badala yake kuendelea kuendesha maisha ya watanzania kwa misingi ya Business as usual kama ilivyo sasa, itatu kost vibaya sana hapo baadae, kwani huko tuendako dunia inaelekea kwenye uhaba wa resources. Kwa hali hiyo vizazi vyetu vijavyo vitakuwa na wakati mgumu sana wa kimaisha, kwani sisi tutakuwa hatujawaandalia uwezo utakao wawezeshesha wao kutumia rasilimali zetu kuzalisha bidhaa ambazo zita compete na za mataifa mengine na vile vile uwezo wa kutumia rasilimali zetu kujilinda wenyewe dhidi ya predators.

Mwaka 2050 dunia itakuwa na population ya kama watu bilion tisa hivi na Tanzania itakuwa na watu takribani zaidi ya milion 100 na Dar es salaam watu zaidi ya milion 30. Tuna miundo mbinu gani tumeiandaa ya kugarantii mobility yao, wakati hivi sasa, pamoja na resources zote hizi tulizo nazo, tunashindwa jenga miundo mbinu ya uhakika na ya haraka ili kuweza ondoa foleni ziliyopo na kukabili hali ya umasikini ambayo vijana wetu wengi wanayo?

Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, Makam wa Rais Dr Philip Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa na viongozi wengine wote wa Serikali na Chama Tawala nawaomba chonde chonde changamoto hii inayo nukia kutuvuruga siku za usoni kuivalia njuga kwa kutafuta njia mbadala za kisayansi na kiteknolojia ili kuweza kuokoa jahazi. Nina wasi wasi mkubwa sana tusipo weka misingi imara ya kitaalam vijana wetu huko mbeleni kuwa watumwa kwenye nchi yao na rasilimali zao. Wengi wao hawazijui dhamira mbaya walizo nazo wazungu na wachina juu ya chi yao. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Hili sio suala la Rais bali ishu ya kijamii kuanzia mfumo wa malezi ya familia,elimu ,siasa na itikadi ..
 
Watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri hawawezi kukuelewa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa mchango wako mkuu. Ni kweli unachosema na nakiri kuwa ni changamoto kubwa kwa baadhi ya watu kuweza kunielewa.

Ningeomba ushauri wako njia ya kufanya ili niweze eleweka vizuri na ujumbe wangu kuwafanya wengi waweze kunielewa hata kama unavyodai kuwa wana uwezo mdogo wa kufikiri.

Kwa upande wangu ni kiri tu kuwa kwa nature ya studies zangu imekuwa vigumu kidogo kujieleza kwenye lugha yangu ninayo ipenda ya kiswahili, kwa sababu maneno mengi ya kitaalam nina tumia kijerumani labda na kiingera kidogo.

Lugha zote tatu; kiswahili, kijerumani na kiingereza hakuna hata moja nina iweza vizuri. It is somehow strange!

Nafikir hilo unalijua toka nyumbani wanafunzi walio chukua masomo ya sayansi mara nyingi katika lugha ni changamoto kwao. Ni hali ambayo nimekua nayo.

Nitajitahidi niwezavyo kujipambanua zaidi kwenye maelezo.
 
Hili sio suala la Rais bali ishu ya kijamii kuanzia mfumo wa malezi ya familia,elimu ,siasa na itikadi ..
Unaweza ukawa uko sawa. Hata hivyo sijui kama utakubaliana na mimi kuwa kiongozi wa nchi ndiye mwenye uwezo mkubwa sana wa kubadili mwelekeo wa maisha ya watu anao waongoza na hivyo nchi nzima. Mifano iko mingi sana.

Naomba soma history ya King Henry VIII.

Queen Elizabeth I.

na Queen Victoria hawa wote ni wa England

Mfumo wa maisha tunayo ishi hivi sasa ulimwengu mzima, kwa kiasi kikubwa hawa wafalme watatu wa uingereza walichangia na pia dini ya kikrsto na kiislam.

Yote uliyo sema ni sahihi ila kiongozi ndiye anaye weza kuamua mkondo gani nchi ichukue.

Sina haja ya kuwafananisha viongozi wetu JMK na JPM, nafikiri tifauti zao katika uongozi umezishuhudia.
 
Hii sio overnight process ni jambo linaanzia kwenye familia.Nchi kama hii watu walalamishi kodi hawataki kulipa,wakilipa tija haionekani sasa unategemea nini?
Nakubaliana na wewe kuwa sio overnight process. Lakini pakiwa na nia njia nayo itapatikana. Unajua kwa nini?

Kiongozi yeyote yule wa nchi anawatendaji wake ambao yeye mwenyewe anawateua ili wamsaidie kutekeleza vision yake ya kuiongoza nchi.

Kama hawapi mawadha anayo fikiria untegemea mtu wa kulipa kodi atafanya nini?

Think twice!
 
Maneno Meier nimekuelewa sana kuna mwaka kikwete alifukuza madaktari wakakimbilia Namibia,Botswana na maeneo mengine yaani anatupa pesa ndani ya maji ,kisa cha kuwatimua ni kudai haki zao za mishahara sasa viongozi wote wa Tanzania akili zao ndio zimeishia humo badala ya kutafuta suluhu wao hukimbilia kuita polisi na kuwafunga magerezani .Kwa mitindo hii ya kufikiri tutaendelea vipi ?Leo pale Mtwara hatujui hatma ya gesti yetu.Niseme tu viongozi wa Tanzania wanafikiri wanayofanya leo ni mazuri kwao lakini 2050 sio mbali hizo Hotel,Mahekalu yatakuja kuondolewa kirahisi na hao watu wasiokuwa na kazi
 
Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo la aina yeyote lile la maisha. Nchi kama hiyo always itatoboa au kufanya vizuri kiuchumi na wananchi wake wataishi vizuri na kwa amani bila hata ya kutumia nguvu kubwa za Dola kwenye kutatua matatizo yao madogo madogo ya ndani, kama ilivyo katika baadhi ya nchi za Ulaya; Ujerumani, Sweeden na Norway.

Baada ya kusema hayo ningekuomba Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, kutumia nguvu zako zote na rasilimali zetu zote kwenye kuhakikisha kuwa vijana wanahamasishwa kuwa na mwamko wa ubunifu wa hali ya juu katika jitihada za kutatua matatizo tunayo kabiliana nayo badala ya vijana hao kuwa dump kwenye propaganda za uchuuzi wa commodoties za wachina na wazungu na kuwafanya wengine wakimbie nchi na kwenda kuteseka ughaibuni, wakitegemea kupata unafuu wa maisha wasio upata.

Tutumie resources zetu kwenye kujenga Taifa lenye watu ambao ni creative.

Katika uzoefu wangu wa kufanya kazi kwenye makampuni tofauti ya uundaji ya wazungu nchini Ujerumani kama Product Developer na Design Engineer nimekuja kubaini kuwa siri yao kubwa ya maendeleo ya kiuchumi yako kwenye creativity. Wajerumani ni watu ambao wako very creative. Na kitu ambacho kinawafanya wawe creative namna hii ni kujiamini kwao na Discipline ya kazi. Wajerumani wanajiamini sana katika vitu wanavyo vibuni na kuvitengeneza. Na hicho ndiyo kitu kinacho wafanya wenzetu wapate maendeleo ya kweli katika uchumi.

Watanzanian wenzangu hii hapa chini ni formula ua tuseme ufunguo wa maendeleo ya maisha ya binadam popote pale ulimwenguni.

PRODUCT CREATION = FUNCTION + DESIGNING + MANUFACTURING

Sioni haja ya kuelezea nini maana ya Products Creation, kwani ni mategemeo yangu kuwa kila mmoja wetu anaelewa nini namaanisha. Na katika falsafa hii ya Product Creation, kitu cha kwanza cha kuzingatia ni kitu kiitwacho FUNCTION. Na Function hapa sio kitu kingine bali ni matumizi ya hiyo product au kazi yake.

PRODUCT
Product hapa namaanisha physical substance ambayo binadam anaweza kuiona kwa macho yake na kuishika na ikiwa imetengenezwa kwa material kama; nguo za kuvaa, pete, heleni, saa, pikipiki, gari, mashine za kusaga unga au kitendea kazi chochote kile kingine kama kisu, jembe na vifaa vingine vya jikoni, mashambani, maofisini na kwenye usafiri .

FUNCTION
Katika Function ningependa nitoe mifano miwili mitatu hivi ili nieleweke vizuri. Matumizi au kazi moja wapo ya nguo za kuvaa kwa mfano ni kufunika maumbile ya binadam ili yasionekane wazi na vile vile kumpendezesha mtu na bila kusahau kuonyesha status ya mtu kama ana senti mfukoni au fukara kwa mfano.

Matumizi au kazi ya kisu, hiyo inajulikana ni kukata au kugawanya vitu kuwa vipande vipande na vile vile kinaweza kutumika kama silaha ya kujilinda zidi ya hatari inayoweza sababiswa na binadam mwingine au wanyama wakali.

Kazi za pete ni kama urembo na vile vile inatumika kama ishara ya kuonyesha hali ya mtu kama ameolewa, ameoa au kuchumbiwa na kadhalika.

DESIGNING
Baada ya kujua maana ya Function sasa naomba tuingie kwenye Designing (kubuni) Designing ni kama ilivyo kwenye Function nayo ina mambo mengi ya kuyazingatia.

Kitu cha kwanza cha kukizingataia ni efficacy. Hapa namaanisha madhumuni ya kutengeneza kitu ili kufikia lengo lililo kusudiwa kwa ubora zaidi. Kwa mfano matumizi/kazi ya pete ni: Ornament(mapambo) yaani kumpendezesha mtu na kutoa ishara ya hali ya mtu kuhusu marital Status yake, kama kaoa au kaolewa au kuchumbiwa na kadhalika.

Malkia na wafalme nao pia wamo katika kudai aina za pete wanazo zihitaji za kuonyesha kuwa wao ni watu wa aina gani.

Katika ku-design aina na mwonekano wa hiyo pete ili malengo yake yaliyokusudiwa yaweze kuonekana na kumfanya mlengwa/mteja aweze kuvutiwa na kuwa tayari kuinunua, hapa ndipo wabobezi, Industrial Designer, Design Engineer na Product Designer kwa kushirikiana na manufacturers ndiyo wako kwenye element yao.

Naomba izingatiwe pia kuwa kwenye aspect ya Designing, Design na Function ya kitu kama pete, peke yake havitoshi. Hapa aina na quality ya material, upatikanaji wake, ubora wa product itakayo tengenezwa na mda wake wa matumizi na vile vile bila kusahau mkondo mzima wa gharama itakayo chukua kutoka upatikanaji wa material mpaka kwenye manufacturing process yake, inabidi nazo ziwe kwenye Designing Processes kuwa concidered. Design engineering team kwenye Designing Departements kwa kushirikiana na wataalam kwenye manufacturing industries ndiyo wenye kubeba huo mzigo mkubwa wa kuhakikisha kazi hiyo ya uzalishaji inafanyika kwa matarajio yaliyo wekwa.

Nitoe mfano mmoja wa product ambayo inauzwa sana nchini Tanzania na ambayo inatengenezwa locally na watanzania wenyewe, jiko la mkaa. Jiko la mkaa ni product au item ambayo ina fullfill function yake kwa 45%. Lakini pamoja na hayo jiko hili jiko huwezi liuza Ulaya wala Asia, kwasababu halina soko. Na matatizo yanayo sababisha jiko letu la mkaa likakosa soko kwenye hayo mabara kwa mfano ni primarilly sio competative katika Design yake. Design ya hilo jiko kwa macho ya wenzetu, linaonekana ni ovyo sana. Halina mvuto kabisa. Zaidi ya hilo halina quality nzuri kwa sababu material yanayo tumika kutengeneza jiko hili sio suitable kwa kazi (Function) iliyo kusudiwa na hivyo kuto kidhi malengo.

Kama nilivyosema hapo juu kuwa ufanisi (efficiency) wa hili jiko katika Function yake ni 45% na hizo zilizobaki ni energy ambayo inapotea hewani bila kuwa na matumizi yeyote yenye tija, jambo jingine amblo lina sababisha hili jiko letu lisiwe competative katika masoko ya kimataifa mbali na efficiency ni hathari zinazotokana na design yake.

Katika hathari za hili jiko kulingana na nature ya Design yake pia ni katika kuhatarisha maisha ya watoto kwa kuwafanya wapate majeraha ya kuungua kirahisi na vile vile kuunguza nyumba, kwasabau halina mechanism yoyote ile inayoweza kuzuia madhara kama haya yasitokee, kama za kupunguza au kuzima moto kwa haraka au sensa/ishara za kumpa mtu tahadhari za joto kali.

Sababu nyingine kubwa ambayo inaifanya hili jiko letu la mkaa lisiwe na soko ni katika aspect ya mazingira. Kwa vile hili jiko linatumia mkaa ambao unatokana na ukataji wa miti holela, lina msukumo mkubwa sana kwenye kurahisisha uharibifu wa mazingira, na hiki ni kitendo kibaya sana katika maisha ya leo ambayo binadam anatakiwa kufanya awezalo kuyaweka mazingira yake katika hali nzuri kiasi kwamba hata vizazi vyetu vijavyo navyo viweze pata nafasi ya kuishi katika ulimwengu ambao una mazingira mazuri na rafiki tuliyo waachia, globally.

Kwa sababu hii ya kukosekana kwa concept nzuri katika ku-design hili jiko na mengineyo mengi kunawafanya hata wale watengenezaji, au niseme local manufacturers, wasiwe na uwezo mkubwa wa kupanua wigo wao wa maarifa wa kutengeneza products ambazo ni bora, competative na robust, ambazo kwa namna moja au nyingine zingewawezesha hao local manufacturers na vile vile wafanya biashara wetu kupata faida kubwa na kuwa katika position nzuri kiuchumi, na hivyo pia kuchangia kwenye ku-boost uchumi wetu na kusababisha kuongezaka kwa ajira kwa vijana wetu na kadhalika. Pia ingekuwa chachu ya uchimbaji na uendelezaji wa matumizi ya material mengine ambayo yanapatikana nchini kama chuma na kadhalika. Hivi ndivyo maendeleo ya nchi yanaletwa.

Kukosekana kwa wataalam walio bobea kwenye Designing na Manufacturing, kwa mtazamo wangu, kumesababisha nchi yetu kuwa na jamii ambayo mda wote inawaza shughuli za kutoa huduma kama; mama ntilie, Boda boda na wachuuzi kama wamanchinga na wafanya biashara wakubwa wanao agiza bidhaa kutoka China na nchi nyingine za Asia. Kwa hali hii nchi haiwezi kuwa na jamii ya watu ambao wanajiamini, wakati wote itakuwa na wananchi wanyonge na wasio ridhika.

Hali hii ya unyonge na uoga imetokana primarilly na mpango mahususi ulio wekwa na wazungu huko nyuma wakati wa uvamizi wa makoloni katika kudhihaki tamaduni zetu na kuwadhalilisha role models wetu. Zaidi ya hayo wazungu walihakikisha kuwa sisi hatuuamini uwezo wetu kwa kutotupa sisi nafasi ya kujiendeleza wenyewe kwa kutengeneza products zetu wenyewe ambazo zingeweza ku-compete na products zao kwa malengo ya kutufanya sisi tuendelee kuwa wategemezi wa products zao, kwa maana nyingine sisi tutumike kama soko la products zao. Na ndiyo maana ukiangalia elimu waliyotupa ni elimu ya kutupumbaza na kutulemaza sisi tuendelee kuwa consumer wa products zao.

Masomo mengi waliyo kuwa wakitufundisha ni yale masomo ambayo wao walikwisha yaona kuwa hayatatusaidia sana sisi kujiendeleza wenyewe. Na kwa vile wazee wetu waliopita nao hawakupata nafasi hiyo ya kunusa masomo yanayo husu Creation of any Products nao kwa kutojua, waliendeleza system ile ile ya elimu ambayo wakoloni waliwaachia na pengine kuongeza mambo mengine kidogo ambayo mwisho wake ni kupata karatasi za kutundikwa sebuleni na kutafutia kazi maofisini.

Tunapoishi maisha yetu bila picha yoyote ya wazi ya wapi tunaelekea au nini tunataka kufanya na talanta na fursa tulizo nazo, tunapoteza siku, wakati na zawadi ya maisha ambayo Mungu ametubariki nayo. Tunapokimbilia kuwa na maisha ya kuwa na vitu vya kifahari kama magari na kadhalika bila kujua jinsi gani wenzetu hivi vitu wanawezaje kuviunda, kunatufanya sisi psycologically kuzidi kuchanganyikiwa na kuamini kabisa hatuna uwezo huo.

Kwa sisi watu wa zama za kale tutakuwa na kumbu kumbu ya jinsi nchi kama Hungary na Rasia kwa mfano, zilivyo weza kuwa na products za magari ambayo wazee wetu walikuwa wakiyatumia. Waangalieni hivi sasa wahungary na warusi waliko tukizingatia kuwa walikuwa mbali sana katika uzalishaji wa products na hata kuwashinda waamerika na wazungu wa West. Uwezo wao wote walio kuwa nao wa kutengeneza vitu ulififia kwa sababu baada ya kuanguka kwa Soviet Union hawakuiamini tena teknolojia yao kuwa ni optimum pamoja na kuwa ilikuwa na Function nzuri. Tatizo kubwa walilokuwa nalo hapa sio Function na Manufacturing processes bali ni activity kwenye Designing.

Ombi langu kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni kwamba kama una dhamira ya kuleta maendeleo ya kweli nchini, basi serikali yako hainabudi kutoa nafasi na ushirikiano mkubwa kwa wana Diaspora wazawa wanaotaka kuja kuleta maarifa ya jinsi ya ku-create products. Hii haihusiani chochote na uwekezaji wala kutaka ajira. Mwekezaji mara nyingi anataka kuongeza production kwa kuajiri watu wachahe kama cheap labor ili aendelee kutajirika zaidi. Machineries zote anazileta kutoka nje. Vijana wetu wanapata faida gani? Ajira ndogo labda. Mwisho wa siku nchi inabaki pale pale wala haipigi hatua.

Mwekezaji anatafuta fursa za kuneemeka yeye na familia yake wakati mtaalam katika Product Creation analifanya Taifa liwe na wataalam wengi wanaoweza tumia akili zao na resources zilizopo nchini mwao katika ku-design na kutengeneza items au products mbali mbali zitakazo wawezesha ku-compete na products za nchi nyingine. I know it sounds like a fairytale, but it is like that. Kuwa na viongozi ambao wana Vision peke yake bila kuwa na vijana wenye ability ya kuwa Creative kwenye Designing na manufacturing haisaidii kitu, kwasababu competion kubwa ya products iko kwenye Design na sio kwenye Function peke yake.

Watu wenye uwezo na utaalam huu wa kuwafundisha vijana wetu mashuleni na vyuoni wanakosekana nchini kwetu kwa sababu ya kukosekana kwa infrastrucure. Wengi wenye uwezo huu wako nje wakiwanufaisha wazungu. Kama serikali yetu na viongozi walio pewa dhamana hawataamka na kuchukua hatua zinazo husika za kuwarudisha wataalam wetu hawa kwa kuwajengea uwezo wa miundombinu inayo husika ili waje fanya mambo yao yatakayo saidia kubadili taswila ya Taifa kwenda kwenye maendeleo ya kweli na badala yake kuendelea kuendesha maisha ya watanzania kwa misingi ya Business as usual kama ilivyo sasa, itatu kost vibaya sana hapo baadae, kwani huko tuendako dunia inaelekea kwenye uhaba wa resources. Kwa hali hiyo vizazi vyetu vijavyo vitakuwa na wakati mgumu sana wa kimaisha, kwani sisi tutakuwa hatujawaandalia uwezo utakao wawezeshesha wao kutumia rasilimali zetu kuzalisha bidhaa ambazo zita compete na za mataifa mengine na vile vile uwezo wa kutumia rasilimali zetu kujilinda wenyewe dhidi ya predators.

Mwaka 2050 dunia itakuwa na population ya kama watu bilion tisa hivi na Tanzania itakuwa na watu takribani zaidi ya milion 100 na Dar es salaam watu zaidi ya milion 30. Tuna miundo mbinu gani tumeiandaa ya kugarantii mobility yao, wakati hivi sasa, pamoja na resources zote hizi tulizo nazo, tunashindwa jenga miundo mbinu ya uhakika na ya haraka ili kuweza ondoa foleni ziliyopo na kukabili hali ya umasikini ambayo vijana wetu wengi wanayo?

Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, Makam wa Rais Dr Philip Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa na viongozi wengine wote wa Serikali na Chama Tawala nawaomba chonde chonde changamoto hii inayo nukia kutuvuruga siku za usoni kuivalia njuga kwa kutafuta njia mbadala za kisayansi na kiteknolojia ili kuweza kuokoa jahazi. Nina wasi wasi mkubwa sana tusipo weka misingi imara ya kitaalam vijana wetu huko mbeleni kuwa watumwa kwenye nchi yao na rasilimali zao. Wengi wao hawazijui dhamira mbaya walizo nazo wazungu na wachina juu ya chi yao. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Including optimal human resource organization and proper political environment.
 
Maneno Meier nimekuelewa sana kuna mwaka kikwete alifukuza madaktari wakakimbilia Namibia,Botswana na maeneo mengine yaani anatupa pesa ndani ya maji ,kisa cha kuwatimua ni kudai haki zao za mishahara sasa viongozi wote wa Tanzania akili zao ndio zimeishia humo badala ya kutafuta suluhu wao hukimbilia kuita polisi na kuwafunga magerezani .Kwa mitindo hii ya kufikiri tutaendelea vipi ?Leo pale Mtwara hatujui hatma ya gesti yetu.Niseme tu viongozi wa Tanzania wanafikiri wanayofanya leo ni mazuri kwao lakini 2050 sio mbali hizo Hotel,Mahekalu yatakuja kuondolewa kirahisi na hao watu wasiokuwa na kazi
Ili tuweze piga hatua kubwa kwa mda mfupi nchi yetu haina budi kuwa na viwanda mama.
Mpaka sasa hivi Tanzania, kama nchi yenye chuma nyingi, gesi asilia nyingi na Helium nyingi, ina uwezo wa kuanzisha hivi viwanda kwa nguvu zetu wenyewe kutokana na rasilimali tulizo nazo.

Viwanda mama vya kuzalisha chuma, Liquified Natural Gas vita kuwa ni mwaarubaini wa matatizo yetu ya ajira.

Chuma ikichakachuliwa ina uwezo wa kutoa products nyingine kem kem. Hali hiyo itasababi watu hasa vijana kuwa na maarifa mapana ya matumizi ya haya madini, na hivyo kuzalisha ajira nyingi.

Kitendo cha kuwasweka vijana wetu kwenye mambo ya uchuuzi na kuifanya nchi yetu iwe jalala la vitu visivyo na thamani kubwa na quality nzuri, hiyo naona sio sahihi. Tunapoteza nguvu kazi yetu ya baadae.

Na wawekezaji wasio na tija, sidhani kama huo ni mpango wa maana ambao utatuwezesha sisi kufikia malengo tunayo yakusudia.

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kunaserikali zimeshindwa ku-maintain hiyo pace ya maendeleo ya uchumi kama wa East Germany. Hawawezi kitu. Miaka arbaini ya socialism wamekufa kabisa. Na hilo ndilo tatizo ambalo sisi pia linatukumba. Socialism ni adui wa vichwa vya binadam.

Tumelemaa sana. Kiasi amnacho kumwambia mtu kuwa anaweza na akakubaliana na wewe, inakuwa vigumu.

Kila kitu hakiendi bila serikali na serikali nayo haiwezi kupanga na kutaribu vizuri mambo ya maendeleo. Wizi na ubadilifu wa mali za umma ni kitu cha kawaida Tanzania. Kila mmoja anataka kuwa tajiri na pesa ya wizi na dhulma kwa wanyonge.

Miradi yetu ya miundo mbinu ambayo serikali inaifanya ya SGR , Bwawa la Mawlim Nyerere na ujenzi wa meli zetu Mwanza na Kigoma baadae ni midogo sana ni miradi midigo sana ukilinganisha na wimbi kubwa la ongezeko la watu.
 
Back
Top Bottom