Habaria wanajamvi. Naamin wengi wetu ni wazima lakiin kwa wote wenyechangamoto asili ya dunia na iwape nafuu.
Huu ni uzi wa kutiana moyo, faraja na kupeana mawazo changa ili gurudumu la maisha yetu lisonge mbele, kama unavoweza kuona mvua ni nyingi na tope ni jingi muno.
Twende kwenye kichwa...
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi, watanzania tuna shule nyingi na kwasababu mbali zikiwepo za siasa karibia kila mtanzania sasa anaweza kusoma na kupata elimu mpka kidato cha nne, kwa kuwa shule za kata zipo tele tele na elimu ni bure.
Lakin sielewi kama hizi elimu zinatufaa aisee, ifike...
Ee bwana habari wana jamnvi !!!
Moja moja kwenye point, kuna jambo nilikutana nalo kipindi kirefu kidogo ila mpka sasa sijapataga majibu nimeliacha liwe kama kioja tu katika maisha.
Kunasiku miaka ya 2015 nikiwa nasafiri kuelekea iringa pale jkt mafinga (841 kj) nikiwa mujibu na nilipofika...
Wanajamvi habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga taifa.....
Nimekuwa nikiwaza kuwa ni kweli vita vya urusi na ukrane ndio sababu tu ya kushuka kwa uchumi kiasi hiki, yaani vita ndiyo sababu ya kupanda kwa bei ya sabuni, mchele mafuta ya kupikia(yalipanda hata kabla ya uchumi na yameanza...
FAHAMU SABABU ZA UPWEKE NA MADHARA YAKE
Hisia za upweke huwa zinakuja pale unapohisi kuna kitu huna ili uweze kuwa na furaha
Kitendo cha kutamani vitu kutoka nje yako ili uweze kuwa na furaha husababisha huzuni na hasira
Unaweza kutamani kuwa na mtu karibu,kuwa na kipato kadhaa,kazi...
UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA
Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo
Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu
Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
MAKOSA 3 AMBAYO WATU WENGI HUFANYA WANAPOWEKA MALENGO
Kila mtu hujiwekea malengo yake kwa kukusudia kubadilisha maisha yake lakini malengo mengi huwa hayatimii
Watu wengi huwa hawajifunzi ila huiga na kufanya vitu kwa sababu wameona kuna watu wanafanya
Kama utakuwa miongoni wa watu wengi...
KINACHO KUVUNJA MOYO SIO UBAYA WA TABIA ZA WATU BALI MATARAJIO YAKO KWAO
Kama usielewa asili ya tabia za binadamu utapata wakati mgumu sana kuwaelewa na kuishi nao
Alisema Marcus Aurelius miaka takribani 2000 iliyopita "Unayo nguvu ya kudhibiti akili yako tu sio watu au matukio kutoka nje...
VITU 4 AMBAVYO HUFUNDISHWI SHULENI LAKINI NI MUHIMU MAISHANI MWAKO
Shuleni watu hufundishwa kufanikiwa tu ila hakuna somo la kumuelekeza mtu afanye nini anapokuwa katika nyakati ngumu sana
Kila mtu amekaririshwa kuwa soma sana,faulu utapata kazi nzuri kisha utakuwa na maisha mazuri
Hivyo kila...
FAHAMU TABIA YA KUTAKA KUFURAHISHA KILA MTU NA MADHARA YAKE
People pleasing ni tabia ambayo mtu hutaka kumfurahisha kila mtu kwa nyakati zote
Tabia hii huwa na dalili zifuatazo
Kuomba msamaha hata kama hujafanya kosa lolote lengo ni kutaka uonekane mnyenyekevu kwa wengine
Kununua vitu ambavyo...
UNAJISIKIA NAMNA UNAVYOJIFIKIIRIA MUDA MWINGI
Duniani watu wengi hawana furaha kwa 80% kwa sababu wengi hawafikirii bali ni "reactive" badala ya "proactive"
Watu wachache sana takriban 10% ndiyo wenye tabia ya kuwa "proactive" ambapo unaposema proactive ni watu wenye kufikiri kabla ya kutenda...
UNAKUWA KILE UNACHOFIKIRI SANA MUDA MWINGI
"Unakuwa ambacho unafikiri sana muda mwingi" ni msemo ambao unamaanisha kuwa kile ambacho unacho fikiri sana muda mwingi ndiyo inakuwa tabia yako.
Watu wenye furaha hufikiria tofauti kulinganisha na wenye huzuni
Watu wenye furaha huwa wanafikiri...
UKIFAHAMU KUWA BINADAMU TUPO TOFAUTI MAISHA YAKO YATAKUWA TOFAUTI
Katika ulimwengu tunaoishi watu wengi hawajui kuwa tupo tofauti sana hata kama tunaonekana tunafanana.
Kwa hali hii baadhi ya watu huonekana hawaeleweki katika jamii kwa kuwa tofauti kitabia na mienendo yao.
Haramu itabaki...
Hii ni nadharia ambayo inaelezea kuhusu uwezo wa machaguo ambayo kila mmoja anaweza kuchagua.
Hii inaeleza kuhusu nguvu ambayo kila mmoja anayo .Nguvu ya uamuzi ipo kwenye fikra za kila mtu nyakati zote za uhai
Hivyo hakuna mtu anaweza kukuondolea kile unachokiamini mpaka uamue kufanya hivyo...
Kwa wastani binadamu huwa mwenye fikra 12000-50000 kwa siku ambapo katika fikra hizo 80% ya mawazo hayo na fikra hizo ni hasi huku asilimia zingine ndio chanya.
Kwa wastani wa 80% ya fikra hasi kwa siku ndio sababu 80% ya watu duniani hawana furaha huku wakisumbuliwa na tatizo la msongo wa...
Hilo nililolisema naamini kila mmoja wetu humu kama ni mfuatiliaji wa Bunge atakuwa ameliona
1. Hoja za wabunge juu ya kumuongezea rais muda wa uongozi.
Swali fikirishi hapa ni ‘Je, ni kweli hiki ndicho wananchi wa baadhi ya majimbo wanakitaka kutoka kwa wabunge wao?’ Yaani hawataki shule...
Habarini wana jamvi,
Mimi mwanafunzi wa elimu ya juu. Nimeamua kuanza kujiajiri, mapema nilianza kwa kufuga sungura kwa matumizi ya chakula changu na kama urembo tu kwangu. Lakini kwa sasa nimeona wapo wengi na wanazaliana vizuri basi nikaamua kuufanya iwe fursa kwangu.
Ninanaona kama...
Wataalamu wa masuala ya anga za juu wa Marekani wakishirikiana na wengine duniani, wamefanya ugunduzi mkubwa wa sayari saba zenye ukubwa sawa na wa Dunia ambazo zinaizunguka nyota mojawapo kama ilivyo kwa dunia kulizunguka jua.
Wanasayansi hao wa anga za mbali kutoka Marekani, Uingereza na...
Tecno yangu ni ya promotion, kitu ambacho ni tatizo kwangu ni kuwa line ya 2 haiwezeshi 3g. Pia Nauliza nawezaje kuifanya line ambayo si ya tigo iwe inakubali kuwa ya kwanza???
jaman kuna msichana niliachana naye pindi niko form four, tukawa hatuna mawasiliano kabsa, lakin sasa nina mawasiliano naye, lakin tukiwa tuna chat au tunaongea, huwa ana nilaum kwamba mim ndo niliarib mapenzi yetu au huwa ananiuliza kama nampenzi mwingine. huwa nashindwa elewa kwanin anakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.