Msaada: Tecno laini ya pili haiwezeshi 3G

boniuso

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
757
974
Tecno yangu ni ya promotion, kitu ambacho ni tatizo kwangu ni kuwa line ya 2 haiwezeshi 3g. Pia Nauliza nawezaje kuifanya line ambayo si ya tigo iwe inakubali kuwa ya kwanza???
 
Almost simu zote za laini mbili zinakuruhusu kutumia 3G radio kwenye laini moja pekee. Simu nyingine wame-limit hata laini inayoweza kuwa 3G enabled, i.e. SIM1 or SlM2 only. Ingawa sina hakika na model ya simu yako, lakini general rule ni kwamba utapata 3G kwenye laini moja na sio zote.
 
Back
Top Bottom