Natafuta soko la sungura

Natafuta soko la sungura

boniuso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
944
Reaction score
1,335
Habarini wana jamvi,

Mimi mwanafunzi wa elimu ya juu. Nimeamua kuanza kujiajiri, mapema nilianza kwa kufuga sungura kwa matumizi ya chakula changu na kama urembo tu kwangu. Lakini kwa sasa nimeona wapo wengi na wanazaliana vizuri basi nikaamua kuufanya iwe fursa kwangu.

Ninanaona kama miamoja hivi na mpango wangu niwawe wengi zaidi. Lakini nataka jua kwanza soko lake likoje, lipo wapi pamoja na bei yake. Nitafurahi kama nitajulishwa. Nipo Tanga Lushoto, contc 0714106228/0766862226.

Ahsanteni
 
Mkuu nenda Instagram katafute kampuni inaitwa TANRABBITS au mcheki humo humo Instagram jamaa anaitwa KING_SEANCARA7B (zote herufi ndogo) atakusaidia kwa kiasi kikubwa
 
Mkuu nenda Instagram katafute kampuni inaitwa TANRABBITS au mcheki humo humo Instagram jamaa anaitwa KING_SEANCARA7B (zote herufi ndogo) atakusaidia kwa kiasi kikubwa
ahsante mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom