Recent content by Mwenda_Pole

  1. Mwenda_Pole

    Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

    Kwamba Rais Sadam Hussein ni hatari sana na anatengeneza Siraha za sumu
  2. Mwenda_Pole

    Msaada: Nichague kozi gani na chuo gani kati ya hizi?

    Heshima mbele wadau, Kuna mtoto wa sister namsapoti kachaguliwa masomo ngazi ya cheti (certificate) kozi hizi; 1. IFM (Dar) - Certificate in Taxation 2. Mzumbe University (Moro) - Certificate in Law 3. Chuo cha Utumishi wa Umma Dar (TPSC) - Certificate in Records and Archive Management 4. Chuo...
  3. Mwenda_Pole

    Mbagala: Mkandarasi wa Barabara ya Mwendokasi aomba kuongezewa Miezi 7

    Problem nyingine wanatumia hizi normal steel kujengea stand yaan hizi tunazojengea ma grill ya nyumba. Mtaniambia. Kutu hapa haipiti 5 years vitaanza kuangukam strabag walikua wanatumia non corrosive materials kwenye zile stand.
  4. Mwenda_Pole

    Waturuki hawazidi 200 wanatujengea reli wa TZ Milioni 64

    Heshima mbele wakuu, Mimi ninaishi Dodoma eneo linaitwa Ntyuka, hivyo basi kila siku ninavyokwenda kazini ninavuka hii reli inayojengwa (mradi wa SGR). Hii inanipa fursa ya kuona maendeleo ya ujenzi siku baada ya siku. Kwa kipindi hiki kifupi nime observe au kujifunza haya yafuatayo; 1. Hawa...
  5. Mwenda_Pole

    Nahitaji kununua sola, ushauri wenu please

    Waheshimiwa nahitaji kununua solar panel pamoja na vifaa vyoote Kwa ajili ya matumizi yafuatayo. 1 Kuwasha taa 10 nje na ndani ya nyumba 2 Kuwasha TV 3 . Redio 4. Kichaji Naomba msaada kwenye maeneo yafuatayo A. Ukubwa WA panel B ukubwa WA inverter B. Nyaya C.mahitaji mengine Nitafurahi kama...
  6. Mwenda_Pole

    Msaada: Taa ya Battery kuwaka kwenye dashboard ya gari

    Ok nawashukuru Sana Kwa maoni yenu..mwingine kama ana wazo tofauti
  7. Mwenda_Pole

    Msaada: Taa ya Battery kuwaka kwenye dashboard ya gari

    Msaada kwenye tuta, Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini? Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila shida na battery ina miezi miwili Tu bado mpya. Nimesha ichomoa kurudishia lakini wapi
  8. Mwenda_Pole

    Ni kifungu gani cha Sheria kinachosema kudai Katiba Mpya ni kosa?

    Fanya kazi wewe usipoteze muda..Katiba haiwezi kukuletea ugali mezani
  9. Mwenda_Pole

    Ulaya pamenishinda narudi bongo

    Hahaha yawezekana chief
  10. Mwenda_Pole

    Ulaya pamenishinda narudi bongo

    Kinachomsumbua jamaa na kumfanya atamani kurudi bongo baada ya kufika huko na kukaa kipindi hiki kifupi ni kitu wanaita"home sickness". Ulaya hasa Scandinavia mfumo wao wa maisha ni tofauti sana ukilinganisha na tz. Huko kila mtu yupo busy na mishe zake hakuna muda wa kukaa vijiweni kupiga soga...
  11. Mwenda_Pole

    Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

    Kwa uelewa wangu kutokana na kutembea nchi kadhaa pamoja na kuona kupitia media mbali mbali ni kwamba treni ya mizigo haina muonekano Sawa na treni za abiria. Hii upo hivyo China, Japan, ujerumani, Sweden na hata Korea kwenyewe. kuna picha mdau mmoja ame share hapa akijaribu kulinganisha utaona...
  12. Mwenda_Pole

    Kuahirishwa kwa Simba na Yanga ni failure ya

    Piga kura hapo juu
  13. Mwenda_Pole

    Msaada: Mgogoro best yangu na mke wake

    Kuna best angu kaniomba ushauri nimeshindwa kumsaidia. Ipo hivi leo mida ya mchana alimchukua wife wake kutoka home akamshusha kituo cha mwendo kasi. akampatia tsh 90,000 kwamba aende kariakoo yy na watoto wake wawili akawafanyie shopping ya sikukuu. Masaa kadhaa yakapita. Jamaa akasema ngoja...
  14. Mwenda_Pole

    Hii imekaaje? Kuanza Nursery mpaka upitie baby class - mandatory!

    Wakuu heshima mbele, leo kuna kisa mtu kanisimulia nimebaki nashangaa. Alienda katika shule fulani binafsi kuchukua form kwa ajili ya kumuandikisha mtoto wake Nursery School. Cha kushangaza wamemkatalia wanasema anatakiwa afanye interview la sivyo anatakiwa aanze au awe na record za Baby Class...
  15. Mwenda_Pole

    Msaada: Lodge/hotel/guest in Shinyanga

    Msaada wadau Natarajia kwenda shinyanga wiki ijayo. Naomba kujua Guest/Lodge au hotel nzuri ya gharama kati ya 20,000 na 30,000 kwa siku. Mimi ni mgeni kabisa Shinyanga. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom