Nahitaji kununua sola, ushauri wenu please

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
277
58
Waheshimiwa nahitaji kununua solar panel pamoja na vifaa vyoote Kwa ajili ya matumizi yafuatayo.

1 Kuwasha taa 10 nje na ndani ya nyumba
2 Kuwasha TV
3 . Redio
4. Kichaji

Naomba msaada kwenye maeneo yafuatayo
A. Ukubwa WA panel
B ukubwa WA inverter
B. Nyaya
C.mahitaji mengine

Nitafurahi kama nitapata makadirio ya bei ya vifaa hivyo

Ahsanteni sana
 

RO7 ZA MGOS

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
985
2,287
Boss watt 100 inafaa kabsa kama utapata OG usinunue SUNDAR...kuna mchna advanced kama Pro solar au reedarstar zpo gd sn.... inverter kwa bongo ni bora za kusuka haizid 50k lln nyingi bado za mchna znaazia 25k ...betry zpo za kenya za maji yasiyoisha nme forget jna ...kwa kifup chek hapo but kuna za mkatana D LIGHT wanakufungia mfumo wote in your house unalipia daily ......
 

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
611
566
Chukua system ya watts 200 ila kama uwezo upo nenda juu zaidi. Hatari ya kuchukua system ambayo iko sawa na vifaa vyako ni kwamba jua lisivyotoa vizuri au matumizi yakienda juu umeme utakata.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom