Msaada: Nichague kozi gani na chuo gani kati ya hizi?

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Heshima mbele wadau,

Kuna mtoto wa sister namsapoti kachaguliwa masomo ngazi ya cheti (certificate) kozi hizi;

1. IFM (Dar) - Certificate in Taxation
2. Mzumbe University (Moro) - Certificate in Law
3. Chuo cha Utumishi wa Umma Dar (TPSC) - Certificate in Records and Archive Management
4. Chuo Cha Ushirika (Moshi) - Certificate in Accounts and Finance
5. CBE (Dar) Certificate in Records and Archive
6. Chuo cha Uhasibu Kurasini - Certificate in Procurement and Logistic Management
7. Chuo cha Serikali za Mtaa Homboro - Certificate in Human Resources

Nisaidieni kuchagua aende wapi maana I am confused, lengo ni kozi ambayo ataweza kupata kazi kwa haraka na kuweza kujiendeleza.

Ahsanteni
 
2. Ataweza kuwa mwanasheria wa kujitegemea
4. Anaweza kujiajiri ktk biashara binafsi,

Ngoja wengine wasogee
 
Heshima mbele wadau,

Kuna mtoto wa sister namsapoti kachaguliwa masomo ngazi ya cheti (certificate) kozi hizi;

1. IFM (Dar) - Certificate in Taxation
2. Mzumbe University (Moro) - Certificate in Law
3. Chuo cha Utumishi wa Umma Dar (TPSC) - Certificate in Records and Archive Management
4. Chuo Cha Ushirika (Moshi) - Certificate in Accounts and Finance
5. CBE (Dar) Certificate in Records and Archive
6. Chuo cha Uhasibu Kurasini - Certificate in Procurement and Logistic Management
7. Chuo cha Serikali za Mtaa Homboro - Certificate in Human Resources

Nisaidieni kuchagua aende wapi maana I am confused, lengo ni kozi ambayo ataweza kupata kazi kwa haraka na kuweza kujiendeleza.

Ahsanteni
Certificate in Accounts and Finance
 
Back
Top Bottom