Msaada: Taa ya Battery kuwaka kwenye dashboard ya gari

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Msaada kwenye tuta,

Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini?

Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila shida na battery ina miezi miwili Tu bado mpya. Nimesha ichomoa kurudishia lakini wapi
 
Msaada kwenye tuta
Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini? Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila shida na battery ina miezi miwili Tu bado mpya. Nimesha ichomoa kurudishia lakini wapi

Ni tatizo kwenye charging system. Mara nyingi huwa hivo. Alternator.
 
Taa ya battery warning ikiwaka ina maana kuna shida kwenye charging system.
Tatizo linaweza kuwa:
1. Alternator belt iko loose au imekatika.
2. Alternator yenyewe ina shida.
Mwone fundi umeme wa magari atakushauri.
 
Altenetor hiyo ukiendelea kuendesha itakula charger ya betri then lisiwake. Muone fundi umeme atakurekebishia fasta tu
 
Mm kwa nyongeza, jitahid Sana kupata mafundi wazur wa hiyo altenetor.

Mm nimewahi kupata shida Kama yako, na tatizo kweli ilikuwa altenetor lakin kwa bahat mbaya nilijikuta namaliza hela kutengeneza hiyo kitu.

Fund wa kwanza alisema tufungue altenetor tuangalie ndan. Baada ya kufungua akasema tatizo ni blash tuzisafishe. Akafanya hivyo kwa siku mbili tatizo likaisha. Akala hela

Baada ya muda mfupi, tatizo likarudia, nikampa fundi mwingine. Akasema hii ni altenetor mzee tufungue tuangalie ndani. Baada ya kufungua akasema altenetor imekufa kifaa kinaitwa cata out, akanionyesha, nikaenda kununua dukan 45,000 helf. Tukafunga tatizo likaisha. Baada wk taa ya betey ikawaka Tena.

Nilipo ona hivyo nikapeleka gari kwenye gereji ya wachina wapime kabisaa. Wakakuta Kuna kitu katika mfumo wa umeme kinachosababisha kuharibu altenetor.

Wakatengeneza, na mm pia kwa hasira nikanunua altenetor mpya na tatizo halikurudi.

So kwa maoni yangu mm nashauri Kama walivyo sema wakuu wengine kwamba uenda ni altenetor, Basi jitahidi upate fundi mzuri atakae weza kutoa sababu Kama ni altenetor kwann iharibike????

Hapa na mahanisha upate fund wa kukufanyia full scan ya umeme wote. Hawa wengine wa gereji bubu ni pasua kichwa. Yaan utafikir ni Mahita vs P.G.O
 
hizo gereji za wachina zipo wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom