Ndugu wanaJamii. Natambulisha kwenu hii blog mpya ya mapenzi, michezo na mambo ya kijamii. Lengo la mtandao huu ni kutoa huduma ya elemi kwa wapenzi na wanandoa pamoja na mambo mengine yanayohusu...
Hivi hii dhana kwamba mwanaume ili amridhishe mwanamke kimapenzi ni lazima awe na bunduki kubwa ilitoka wapi?Au ni kweli wenye bunduki ndogo hawawaridhishi ndo mkaanza kulalama mkawapa dili...
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.
Jana nimeenda...
Jamani mimi nina Demu mmoja nilikutanishwa naye kwenye maswala ya bihashara ila wakati huo nilikuwa na interest na huyo aliye nipeleka Baada ya kukutana na huyo Demu nimzuri biashara ikafanyika na...
Kwenye ndoa kuna vibweka sana,ndoa ikiwa haina mtoto utasikia ooh ndoa haijajibu,mara mwanaume hajui shughuli,mara mawifi nao wanakuja juu wakidai wifi yao mgumba,mara mashemeji nao wanakuja juu...
Ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba...
Hivi kwa upande wa akina dada inatokea na wao wakamtazama kijana na kumtamani kimapenzi kama wanaume itutokeapo?Mfano unaona makalio au mguu au kifua ukastukia mwili unasisimkwa,je na akina dada...
Itakuwa vyema kama wana JF tutaanzisha dating hapa jukwaani, itasaidia watu kuelewana zaidi, wenye bahati zao wanaweza kujipatia wachumba. Ni maoni tu!
Je ni nani mwenye makosa,je ni mume anaetambua kabisa yeye ni mume wa mtu anaekwenda kumtongoza mke wa mtu na kwenda kuvuana nguo au ni mke wa mtu anaetambua yeye ni mke wa mtu aliyelipiwa ng'ombe...
Hivi ukiwa na mpenzi wako mpokwenye vituz lakini ukastukia anajifanya anakosea njia utamfanya nini??na ukamwuliza akakueleza plse kiduchu!utamfanyeje?Nando unampenda!!
mi mwanamume, nina wivu ile mbaya kwa mpenzi wangu ,kibaya zaidi yuko mwanza mi niko bukoba kikazi nifanyeje?hii wivu itaniua jamani kwani muda mwingi namuwaza yeye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.