Napenda kufahamu hili....

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,688
Kuna baadhi ya wanawake ambao huwa na hulka za kiume, mavazi, kampani na vitu vingi afanyavyo ni vya kiume, wengine huwa wababe na wakakamavu kama wanaume, Je wanawake wa aina hii huwa na wapenzi wa kiume? na je huwa wanahisia na hamu ya mambo yetu kama wanawake wengine? Na je hufikishwa kileleni kama wanawake wengine?
 
inategemea.wengine huwa na homons za kiume nyingi na hawa hawawezi kufurahia mapenzi ya wanaume.ila kuna wengine huwa wanapenda tu maisha ya kihivyo.hawa wanasikia raha kama kawaida labda ashindwe kidume
 
Nimekusoma FL
 
Tulikuwa naye mmoja enzi hizo za tuisheni sekondari pale Al-haramain..........ikawa kampani ya kusoma pia..ilinichukua miaka mingi kuja fahamu kuwa alikuwa na feelings kama madem wengine na huwa si ujutii ugunduzi wangu!
 
kuna mmoja namjua ni konda....duh...huyu sijajua bado mwanaume akimtokea wanazungumzaje
 
kulikuwa na jimama moja lilikuwa linatembeza kibano class nzima linachanganya mpaka midume halaf lilikuwaga na ndevu mbili tatu na sauti kama augustino mrema.

NB: mimi halikuwahi kuniletea za kuleta.
 
Ulishawahi kumtokea?
 
Ulishawahi kumtokea?

hapana mkuu! anyway sikuwahi kumfeel kama ni manzi, kichaa alikuwa anapiga ugoro laiv samtaimu, halaf anachimba mkwala watu wampigie donation ya msosi. hili jimama lilikuwaga la ajabu sana.
 
Duh ukiwanae ndani ya nyumba wakati wa majambozi si miguno itafanana, hasa nyumba zetu za kupanga majirani watatoa mijicho mbaya
 
mkuu baada ya maskendo yote niliyokupa bado unampigia mahesabu ya kuwa nae ndani ya nyumba? hehehe hapo class jamaa walifanya ka pati ka dogo baada ya hilo jimama kutimuliwa (lilimtemea mate mwalim). yule mama akiolewa mimi nitakuwa wa kwanza kukata rufaa. kwaufupi HAFAI.
 
Haya mkuu nimekupata! ila nia yangu nilitaka niwafahamu kabla ya kuwajua
 
Back
Top Bottom