Hivi unajisikiaje unapoanzisha uhusiano mpya.

Huwa moyo unadunda sana kama ishara ya aidha kukubaliwa au kukataliwa!
 
uhusiano mpya wallah ni mzuri mkianza na mwendo mzuri lakini ni sumu ya kukudhuru mmojawapo akajabadilika baadae,,i wish u all dah best...
 
hasa ile siku ya kwanza mnapokuwa kwa room.loh........!unakuwa na matarajio makubwa sana pindi unapomwona mwenzio live bila zengwe na ukijaribu kulinganisha na mpenzi wako wa nyuma
 
Duh pale mnapokutana kwa mara ya 1 kula tundi huwa najihisi kama sitafika mshindo vile, lakini inakuwa kinyumbe chake badala ya kufiki mshindo na fika likishindo
 
Baby, darling, dear, my love, sweetheart huwa nyingi sana. Ipe muda tu zinapotea zote
 
Swali tamu hilo. in short kuna utamu wa ajabu unapoanzisha uhusiano mpya na macare yanakuwepo ya kutosha but mkishajuana kila m2, duh hapo ndo kazi inapoanzia utackia macre yamepungua.

Ningependa kupata hisia za watu tofauti wanapoanzisha uhusiano mpya..
 
Teh teh teh......!!!!
Pia unakasoma na katabia kake ndo inakuwa inabore ile mbaya.

hasa ile siku ya kwanza mnapokuwa kwa room.loh........!unakuwa na matarajio makubwa sana pindi unapomwona mwenzio live bila zengwe na ukijaribu kulinganisha na mpenzi wako wa nyuma
 
mimi huwa nasikia uoga furani na ndio maana sipendi mahusiano mapya niliye naye ananitosha nampenda kwa dhati naye ananipenda sasa sikia usipende kuanzisha mahusiano mapya unaweza ukawa huna msimamo simama hapo na ngangania usiachie
 
Mahusiano mapya ni raha sana. Kila mmoja anakuwa anaficha tabia zake mbaya, kwa wanaume huwa wanaonesha kujali sana. Ni sawa sawa na unapopata kazi mpya. Utajifanya mtiifu zaidi mwanzoni ila ukishayasoma mazingira na kuyazoea unashangaa bosi anakutangulia kufika kazini.
 
Back
Top Bottom