BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 765
Jamani demu wangu (mke wa mtu) kanipigia kibuti nami ni mume wa mtu. Ila huyo dada yuko na mwanaume mwingine. Naona wivu sana sababu bado nampenda sana. Mimi nimeamua kumwambia mume wake kwamba mkewe yuko na jamaa. Mnasemaje jamani mwenzenu naumia.